nguo

  1. JamiiForums Tanzania Hofu na wasiwasi watanda ndani ya CCM; wasutana wakigombania bongo. Nani katwaa ubongo usio wake?

    Wahenga walisema ujanja kupata...wakati wa mwendazake viongozi na wanachama wa CCM kwa kuonesha utii walifanya kama tunavyoshuhudia kwenye hii picha hapa chini. Walipigana vikumbo kukabidhi akili zao kwa bwana mkubwa lakini kwa bahati mbaya bongo ziliwekwa kwenye ndoo bila kuwekewa alama...
  2. JamiiForums Tanzania Wapinzani aliharibu kabisa hii nchi, CAG awavua nguo ya ndani

    Ukiangalia trend za majadiliano mitandaoni utaona dhahiri watanzania wameingia ubaridi toka jana ilipotoka taarifa ya Dr Abbas kukanganya na kufuatiwa na ya Msigwa kufafanua vyombo vipi vya habari vifunguliwe._ Jambo lililovurugika zaidi Waziri mwenye dhamana alipoomba wamiliki wa magazeti...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chimbo la nguo za watoto za mtumba Jijini Dar

    Hello ladies and gentlemen... Anaefahamu chimbo zuri hapa Dar, wanapouza nguo za watoto nyepesi yaani (lightbaby) grade one kutoka Canada na UK anijuze. Ukinijuza na bei itakuwa poa. Nawasilisha. Pia soma: Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tunashona nguo za kike na za kiume za aina zote

    Habari Wadau, Sisi tunajihusisha na ushonaji wa nguo za aina zote kwanza, Nguo za Harusi ( Suti na Magauni) Uniform za Maoffisi na Mashuleni Mishono ya Vitenge Casual Wear etc Karibuni Ofisi zetu zipo kinondoni Manyanya opposite na American Chips. Mawasiliano 0737610682
  5. JamiiForums Tanzania Special Thread: Tujikumbushe matukio ya zamani ya wasanii wa Bongo Fleva

    Jamani kwa wale wapenzi wa muziki wa bongo flevaa hebu tujikumbushie matukio, bifu yaliyowahi kubamba miaka ya nyuma ENZI za bongo FLEVA kitambo hiko yaliyowahi kuhit. 1.moja kati ya matukio ilikuwa ni DUDUBAYA KUMPIGA MR.NICE NA KUMUUMIZA . 2.TUKIO LA WATU KULA UGALI KATIKA UZINDUZI wa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kirusi cha Corona kwenye nguo kinaishi siku mbili

    Huyu ni mwanasayansi gani asiyetambua ukweli? Kirusi cha Corona kwenye nguo uhai wake siku mbili na kwenye vyuma kinaishi hadi siku nne. Kontena tuka huko kwa mabeberu usafirishaji unachukua wiki tatu hadi mwezi kufika Tanzania. Sasa virusi gani tunavyoletewa toka kwa mabeberu? Propaganda...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Watu tulio single tunavaa nguo za rangi gani Siku za Valentini?

    Wakuu mambo, Mpo poa. Sasa wajumbe nipo hapa najipanga kwaajili ya valentine day kesho jinsi nitavyo toka huko kitaa. Sasa napata kizungumkuti kuhusu rangi ya nguo ya kuvaa kesho kwa sisi tulio single. Hivi ni rangi gani ya nguo inafaa kuvaliwa kwa sisi tulio single.
  8. JamiiForums Tanzania Ili kujikinga na maambukizi ya Corona nakushauri usivae nguo nyingi

    Vijidudu/virusi vya corona vinaweza kuishi kwa muda kadhaa kwenye nguo, ngozi ya mwili, vitasa vya milango na maeneo kadhaa mbalimbali kama vile simu, samani, viti, mikoba, kalamu, madaftari, nk. Ndio maana tunasema tunawe mikono mara kwa mara na kuepuka kujishikashika usoni, puani na mdomoni...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Harmonize ni mwanajeshi wa kikosi gani hadi avae nguo za jeshi, anaogopwa?

    Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi. Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya? Ni mara...
  10. JamiiForums Tanzania Katika msimu huu wa mvua naombeni tujuzane mbinu za kukausha nguo

    Sehemu nyingi sahizi kuna mvua hapa nchini. Ni neema na baraka kwavile tutapata vyakula. Ila sasa kuna hii ishu ya nguo wakuu, Wewe unadili nayo vipi?
  11. JamiiForums Tanzania Kwa hii Simba ya hawa wachezaji, Yanga tusiposhinda Natembea Bila Nguo Kabisa. Babu amehakikisha

    Yanga tuna bao 2 Simba 0. Ushihidi ni huu uzi. Yanga tumeadhamilia kushinda hii match. Wakati Simba tayari wanaonekana kushindwa hii match mapema sana. Hivyo nawashauri wana Yanga tuanze sherehekea Mapinduzi Cup. Na hili kombe kwa kweli halina sababu ya kutotua Jangwani. Iwe mvua iwe jua...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wafanyabiashara wa maduka ya nguo Kariakoo

    Jamani tusaidiane katika hili nisijekupigwa huko Kariakoo naombeni msaada kwa wale watu wa mikoani mnaochukua nguo Kariakoo nielekezeni machimbo ya nguo za kike wanapouza kwa bei rahisi nisaidieni. Kila nikienda naishia tu kwenye nguo za bei jamani nielekezeni tafadhari pia maduka ya urembo...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Je, Hivi ni kweli kuna baadhi ya sabuni za Unga huwa zinapausha nguo ukizitumia zaidi ya mara moja au mara kwa mara?

    Wakuu habari za Wakati huu Twende kwenye mada Nilikuwa nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo? Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku uvaaji wa nguo fupi kwenye mabaa na sehemu zingine zinazotoa huduma za chakula na vinywaji

    Habari wadau. Uvaaji wa nguo fupi kwenye baadhi ya mabaa na mighahawa limekuwa ni kama jambo la kawaida ingawa kwakweli halipendezi na ni udhalilishaji wa utu wa mwanamke. Na Kwasababu hakuna sheria inayokataza jambo hili, inaonekana pia ni sera ya baadhi ya wamiliki wa mabaa na mighahawa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, TAWA kuua wanyama kiholela haikubaliki

    Mhe. Waziri wa Maliasili na Utalii, naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA). Wenzetu wa TAWA wamekosa weledi na hawatumii kabisa taaluma zao katika kushughulikia Wanyama waliopo nje ya Hifadhi, hakika wanachofanya siyo Profesionalism na Kinahamasisha...
  16. JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa kushona nguo za kike

    Habari za asubuhi? Anahitajika fundi mzuri wa kushona nguo za kike. Eneo la kazi ni Tabata Aroma, Dar es salaam. Kama unahisi hii ni kazi yako na inakufaa, wasiliana na Dalali - 0744033555
  17. P

    JamiiForums Tanzania Serikali ikimulike kiwanda cha nguo cha urafiki. Huu ni ushauri wa bure kwa waziri wa viwanda atakayeteuliwa

    Baada ya uchaguzi kuisha na uteuzi wa Waziri Mkuu na uundwaji wa Baraza la Mawaziri kukamilika, ninaishauri SERIKALI kupitia kwa Waziri wa VIWANDA, biashara na uwekezaji akimulike kiwanda cha NGUO cha urafiki kinachojulikana Kama (TANZANIA-CHINA FRIENDSHIP TEXTILES CO) kilichopo Ubungo jijini...
  18. JamiiForums Tanzania Indonesia: Kila mwaka katika Kisiwa cha Sulawesi wafu hufukuliwa, kubadilishwa nguo, kuvutishwa sigara n.k, kama ishara ya kudumisha mapenzi kwao

    Kila mwaka huko kaitika Kisiwa cha Sulawesi, Tana Toraja, Indonesia, wafu hufukuliwa kutoka makaburini ili kubadilishwa nguo na kuwatembeza Kijini hapo, watu wa eneo hilo wa kabila la Toraja wana mila ya ajabu inayoiitwa Ma’nene ambayo wanaamini mtu akifa bado yuko nao kwa hiyo inawalizimu...
  19. JamiiForums Tanzania Najisikia poa kuona mwanamke kavaa boxer kama nguo ya ndani

    Sijui nina tatizo au la, ila mimi nachukia sana kuona mwanamke kavaa kyupi, Na vise versa naenjoy kuona KE akivaa boxer, nakua na amani Nakumbuka mwaka fulani nilikua na date na tom boy yeye alikua anavaa boxer tu, huwezi mkuta kavaa kyupi, siku ya Kwanza kuonana nae alikua kavaa pensi, afu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanaovaa nguo za CCM kwenye mkutano wa Kampeni kwanini baada ya mkutano huzivua kabla ya kurejea makwao?

    Mikutano mingi ya Chama cha Mapinduzi inapomalizika eneo la tukio watu wenye uniform za chama upotea au kuzibadilisha na hivyo kutoonekana wakiwa wamezivaa kurejea makwao. Miaka ya nyuma mtaani watu walikua wanaona fahari kuzivaa kuanzia bodaboda, mama ntilie, wajumbe na watu wengine. Ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…