nguo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Figisu figisu za TFF dhidi ya CEO wa SIMBA (Barbra) mechi ya leo zawavua nguo

    Wakati akiingia eneo la VVP kwa ajili ya kutazama mechi ya Leo, CEO wa Simba Babra Gonzalez akiwa ameambatana na wanafamilia watatu (tena) watoto alizuiliwa na maafisa wa TFF kuwaingiza watoto hao kwa kisingizio kuwa watoto hawaruhusiwi kuingia VVP.... Kwa kuona hivyo akaamua kuondoka yeye na...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Nauza nguo kwa bei nafuu

    Karibuni vunja Bei kariakoo online wauzaji wa nguo za kiume pamoja na viatu Utapata jeans kardet vest T-shirt shirt kwa Bei pouwa Njoo WhatsApp 0657710078
  3. JamiiForums Tanzania Sehemu ya kuanikia nguo huwa inasahaulika katika ramani na ujenzi wa nyumba

    Usafi wa nguo hufanyika kila mara na hii inategemea ukubwa wa familia au wingi wa wakazi. Kuna wanaofua kila siku, kila baada ya siku au mara moja kwa wiki. Wengine Hufua kwa mashine na kukausha kwa dryer, hawa siwaongelei hapa kwani ni wachache sana. Nguo kuanikwa hovyo hovyo kunapoteza...
  4. JamiiForums Tanzania Taratibu za misiba, ni nguo zipi anavalishwa marehemu

    Huwa najiuliza sana ni nguo zipi ambazo marehemu anavalishwa hususan kwa wakristo maana waislam inajulikana tayari. Ni nguo aina ipi marehemu huvikwa ?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya wapi wanauza nguo za kike grade A mtumba

    nahitaji nguo za kike nzuri za mtumba grade A naomba mnisaidie mlioko mbeya napataje na soko gani
  6. JamiiForums Tanzania Zari akemea wanaomkosoa kwa kuvaa chupi nyeusi ndani ya nguo nyeupe

    Mwanasoshalaiti na mjasiriamali Zari Hassan amewakemea watu ambao wamekuwa wakimkosoa baada ya video inayoonyesha chupi aliyovalia kusambaa mitandoni. Kwenye video hiyo ambayo ilirekodiwa wakati wa sherehe za kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, Zari anaonekana akiwa anasakata densi huku akiwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fikiria unapata nguo Kama hizi kwa 5000 tu Bei ya jumla

    Kichwa cha habari kinajieleza, niunganisheni wadau.. nguo kali mno, nicheki kwa 0738664971 tunauza jumla na rejareja. Mfanyabiashara usipate tabu ya kufungiwa usichojua kuna nini ndani, nimekurahisishia nguo Kali kwa bei poa
  8. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nguo mtumba za watoto zinauzwa elfu 3000 tu

    Karibuni mjipatie mtumba mzuri kwa bei ya jumla ya shilingi elfu 3 tu ukichukua nguo kuanzia 20.. Rejareja ni elfu 6 ... Namba kwa mawasiliano zaidi ni 0738664971 Ukurasa wangu wa instagram ni bnl_clothes_shoes_bags
  9. JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi msipuuzie hali kwenye vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji

    Timu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu ziko radhi kupigwa faini kuliko kuingia vyumbani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kufulia nguo

    Habari wapendwa, Nina shida na mashine used ya kufulia nguo kg 7-10 Nipo Mbeya mjini.
  11. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nguo za kike zinauzwa

    Karibu kwenye duka letu tunauza nguo za kike Product. Woman clothes whatsapp no. +255620882741
  12. JamiiForums Tanzania Hivi, Nawe ni Mmoja Kati ya Waliokuwa Hawavui Nguo za Shule Wakifika Home...?

    Uzi tayari...! 👊🏾
  13. JamiiForums Tanzania Kama kweli Magufuli aliletwa na Mungu basi uchaguzi wa 2025 utakua ni patashika nguo kuchanika

    Hicho ndicho kilichonijia kichwani leo nikiwa natafakari mwenendo wa siasa za Tanzania kwa sasa. Maswali ni je nani atakubali kusimama na ni nani atakubali mwenzake kusimama. Itakua nipatashika nguo kuchanika ndani ya vyama na nje ya vyama.
  14. JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo na vifaa vya watoto mwaka 0 hadi 12

    Ninahitaji kuanzisha biashara ya hii katika mkoa flani ila sina uzoefu hivyo ukinipa uzoefu wako utakuwa umeniboost sana pa kuanzia
  15. JamiiForums Tanzania Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

    Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake. Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ) nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya Bidhaa za Mitumba( Second hand products)

    Habari wakuu! Leo ningependa niweze ku-share na nyinyi wana JF juu ya fursa za kibiashara, hususani biashara ya bidhaa za mtumba kama,nguo,viatu,Bags etc. Mimi napatikana Dar es salaam, na nina hamu ya kufanya hizo biashara, lakini kwa bahati mbaya sijuwi hasa ni Chimbo zipi hapa Dar, na ni...
  17. JamiiForums Tanzania Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

    Habari zenu wakuu natumahi mu wazima wa afya. Leo nimekuja na hili baada ya kuona matukio yakufanana yahusishayo Nguo. TUKIO LA KWANZA (1): Kuna jamaa yangu tulifahamiana nae yeye ni ndugu yake na binamu yangu. Yeye ni Upanga Boy (Mzaliwa wa kata ya Upanga wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka ya nyuma ilikuwa dili kumvua nguo ya ndani binti, siku hizi wanavua wao

    Miaka ya nyuma ilikuwa raha sana kwenda kuchapa demu. Kwanza unamsotea kutongoza halafu kama amekukubali anakupa penzi kwa mbinde. Kumvua nguo ya ndani inakua ugomvi na unakula mzigo kijasho kinakutoka. Siku hizi mabinti wakiingia geto wanavua kabla hata mwanaume hajavua!
  19. JamiiForums Tanzania Hizi nguo kama za EFF ya Malema Afrika Kusini ndiyo CHADEMA wanavaa siku hizi?

    Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi. Ni mavazi rasmi ya Chadema? Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema? Yanaashiria nini? Wenye clips au picha naomba muweke.
  20. JamiiForums Tanzania Zifahamu athari za kuvaa nguo za ndani zikiwa mbichi

    “Kuvaa nguo ya ndani ambayo ni mbichi kunatengeneza fangasi ukeni, fangasi inaathari kubwa ikiwemo ya kula hadi mfumo wa uzazi, hivyo upo uwekezano mkubwa hasa kwa mwanamke kupata tatizo la uzazi.” Hiyo ni kauli ya Dk Elizabeth Lema kutoka Hospitali ya Cornwell Tanzania ambaye amefunguka na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…