Binti asimulia Polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,378
8,121
Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.

“Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya Septemba 21, mwaka huu wakiwa na magari mawili; wakavunja milango na kuwatoa nje wote waliokuwemo ndani huku wakimtembezea kipigo kila aliyekuwa mbele yao,” amesema binti huyo

Amesema mlango wake ulipovunjwa na yeye kutolewa nje kwa vipigo, alimkuta baba yake na ndugu wengine wakiwa tayari wametolewa nje huku wakipigwa kulazimishwa kuonyesa silaha zilipofichwa.

“Baada ya kuwajibu kwamba sifahamu bunduki ilipo na wala sijawahi kumwona baba yangu akiwa na bunduki, askari wale waliendelea kunishambulia sehemu mbalimbali za mwili huku watuamuru mimi na baba kuvua nguo zote,” amesema Tabitha akionyesha huzuni usoni kabla ya kushindwa kuendelea kusimulia tukio hilo

Binti huyo ametoa simulizi hiyo mjini Musoma leo Septemba 25, 2022 wakati familia mbili kati ya tatu zilizopoteza wapendwa wao katika tukio hilo walipokutana na waandishi wa habari kusisitiza msimamo wa kutozika hadi uchunguzi huru na wa kina ufanyike kujua sababu na jinsi ndugu zao walivyopigwa risasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu hakupatikana kuzungumzia tuhuma za askari wake kudaiwa kuwavua nguo baba na binti yake mbele ya wanafamilia wengine baada ya msaidizi wake aliyepokea simu yake ya kiganjani kueleza kuwa kiongozi huyo alikuwa kwenye ibada.

Msimamo wa familia

Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma, familia ya Mwise Simon na Mgare Mokiri wamesisitiza kutozika hadi uchunguzi wa kina utakapofanyika kubaini sababu na mazingira ya vifo vya ndugu zao.

"Tume huru tunayoomba iundwe ichunguze siyo tu mauaji ya Serengeti, bali pia ya watu wengine waliofia katika mikono ya polisi katika matukio mbalimbali wakiwemo wale waliodaiwa kuwa ni Panya Road," alisema Catherine Ruge, ambaye ni mpwa wa marehemu Mwise Simon

Catherine ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bavicha) amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala hilo kama alivyofanya kwa kifo cha mfanyabiashara wa madini Mussa Hamisi wa Mtwara aliyefia mikononi mwa polisi.

Watu hao waliouwawa na askari polisi kutoka mikoa ya Mwanza, Mara, Simiyu na Tarime/Rorya ambao walikuwa wanafanya operesheni ya kusaka watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi.

Mwingine aliyepigwa risasi katika tukio hilo lililotokea usiku wa kumakia Septemba 22, mwaka huu ni Mairo Togoro (56) ambaye familia yake haikuwepo kwenye mkutano wa waandishi wa habari mjini Musoma.

MWANANCHI
 
POLICCM wapo juu ya KATIBA
JamiiForums1966179623.jpg
 
SERIKALI YA CCM IJIUZULU SASA…
Huu ni unyama usiosimulika…
JIUZULJIUZULU
JIUZULU JIUZULU CCMMMMM
MMESHINDIKANA
Binti pole sana kwa kudhalilishwq
Baba yako amekufa kwa mateso kwa aibu Ameenda na moyo mzito…
Papa May Your Soul RIP
KAMWAMBIE AJE NA HASIRA KALI
KILA MMOJA AHUKUMIWE VILE WAMEMHUKUMU BABA YAKO
 
Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.

“Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya Septemba 21, mwaka huu wakiwa na magari mawili; wakavunja milango na kuwatoa nje wote waliokuwemo ndani huku wakimtembezea kipigo kila aliyekuwa mbele yao,” amesema binti huyo

Amesema mlango wake ulipovunjwa na yeye kutolewa nje kwa vipigo, alimkuta baba yake na ndugu wengine wakiwa tayari wametolewa nje huku wakipigwa kulazimishwa kuonyesa silaha zilipofichwa.

“Baada ya kuwajibu kwamba sifahamu bunduki ilipo na wala sijawahi kumwona baba yangu akiwa na bunduki, askari wale waliendelea kunishambulia sehemu mbalimbali za mwili huku watuamuru mimi na baba kuvua nguo zote,” amesema Tabitha akionyesha huzuni usoni kabla ya kushindwa kuendelea kusimulia tukio hilo

Binti huyo ametoa simulizi hiyo mjini Musoma leo Septemba 25, 2022 wakati familia mbili kati ya tatu zilizopoteza wapendwa wao katika tukio hilo walipokutana na waandishi wa habari kusisitiza msimamo wa kutozika hadi uchunguzi huru na wa kina ufanyike kujua sababu na jinsi ndugu zao walivyopigwa risasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu hakupatikana kuzungumzia tuhuma za askari wake kudaiwa kuwavua nguo baba na binti yake mbele ya wanafamilia wengine baada ya msaidizi wake aliyepokea simu yake ya kiganjani kueleza kuwa kiongozi huyo alikuwa kwenye ibada.

Msimamo wa familia

Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma, familia ya Mwise Simon na Mgare Mokiri wamesisitiza kutozika hadi uchunguzi wa kina utakapofanyika kubaini sababu na mazingira ya vifo vya ndugu zao.

"Tume huru tunayoomba iundwe ichunguze siyo tu mauaji ya Serengeti, bali pia ya watu wengine waliofia katika mikono ya polisi katika matukio mbalimbali wakiwemo wale waliodaiwa kuwa ni Panya Road," alisema Catherine Ruge, ambaye ni mpwa wa marehemu Mwise Simon

Catherine ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bavicha) amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala hilo kama alivyofanya kwa kifo cha mfanyabiashara wa madini Mussa Hamisi wa Mtwara aliyefia mikononi mwa polisi.

Watu hao waliouwawa na askari polisi kutoka mikoa ya Mwanza, Mara, Simiyu na Tarime/Rorya ambao walikuwa wanafanya operesheni ya kusaka watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi.

Mwingine aliyepigwa risasi katika tukio hilo lililotokea usiku wa kumakia Septemba 22, mwaka huu ni Mairo Togoro (56) ambaye familia yake haikuwepo kwenye mkutano wa waandishi wa habari mjini Musoma.

MWANANCHI

HiI ndiyo serikali ya awamu ya SITA inayosaka ridhaa ya kuongoza 2025
 
Swali, baada ya kipigo hizo bunduki walizipata au wamewaua kufuta ushahidi.

Polisi wa Tanzania hawajui kupeleleza, WATAKUPA KIPIGO HADI UKIRI KOSA HATA KAMA HUJAFANYA.

division four na zero!
 
usimuamin mtu yaan mtu akuvamie tu bila sabab , hv kwann wasitafute sabab nyingine mbali na kusema walionewa , Wabongo tukiangalia muvi za kihindi ukiwaambia hv bas wanameza kichwan hz story
 
Ndg tema mate chini unaweza ukasingiziwa na wabaya wako ikala kwako.
 
Pumbavu kabisa, hivi unadhani polisi waache familia zote zilizopo hapo afu waje moja kwa moja kwenye familia iyo na kutaka bunduki nasema Tena achani upumbavu, kwenye swala la mtu kutumia bunduki kufanya ujambazi. Hilo halina simile kabisa ni chuma chumani tu pumbavu, hivi mnadhani bila kuwapiga chuma so washenzi mngekua mnaandika hapa au ndio mngekua mnalalamika kama wanavyowasumbua panya road
 
usimuamin mtu yaan mtu akuvamie tu bila sabab , hv kwann wasitafute sabab nyingine mbali na kusema walionewa , Wabongo tukiangalia muvi za kihindi ukiwaambia hv bas wanameza kichwan hz story
Polisi huwa wanawajua majambazi ndio mana wakaruka nyumba zote wakaenda kwa hao jamaaa...
 
Hata kama wanajua ni jambazi
Walishindwa kutumia mbinu za kiupelelezi kuwatia hatiani

Tukiwambia elimu ya dvs zero haifai kuwapati upolisi mnatubishia...

Shida polisi wamevulugwa mishahala kiduchu..maisha mabovu, elimu hamnazo unategemea Nini Kama sio kukubambikizia kesi, kuua, kutesa, kuwalinda viongozi wezi na wajinga..

Watanzania nao Ni wajonga wajinga hawajui haki na Sheria tupilia mbali wajibu wao. Tunadhani hatima yetu ipo kwa wanasiasa.

Umasiki na ujinga Ni vitu vibaya Sana kwenye jamiii..

Masikini lazima ufanywe daraja tu na wanasiasa. Utaonewa utanyanyaswa tu.. .
 
Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.

“Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya Septemba 21, mwaka huu wakiwa na magari mawili; wakavunja milango na kuwatoa nje wote waliokuwemo ndani huku wakimtembezea kipigo kila aliyekuwa mbele yao,” amesema binti huyo

Amesema mlango wake ulipovunjwa na yeye kutolewa nje kwa vipigo, alimkuta baba yake na ndugu wengine wakiwa tayari wametolewa nje huku wakipigwa kulazimishwa kuonyesa silaha zilipofichwa.

“Baada ya kuwajibu kwamba sifahamu bunduki ilipo na wala sijawahi kumwona baba yangu akiwa na bunduki, askari wale waliendelea kunishambulia sehemu mbalimbali za mwili huku watuamuru mimi na baba kuvua nguo zote,” amesema Tabitha akionyesha huzuni usoni kabla ya kushindwa kuendelea kusimulia tukio hilo

Binti huyo ametoa simulizi hiyo mjini Musoma leo Septemba 25, 2022 wakati familia mbili kati ya tatu zilizopoteza wapendwa wao katika tukio hilo walipokutana na waandishi wa habari kusisitiza msimamo wa kutozika hadi uchunguzi huru na wa kina ufanyike kujua sababu na jinsi ndugu zao walivyopigwa risasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu hakupatikana kuzungumzia tuhuma za askari wake kudaiwa kuwavua nguo baba na binti yake mbele ya wanafamilia wengine baada ya msaidizi wake aliyepokea simu yake ya kiganjani kueleza kuwa kiongozi huyo alikuwa kwenye ibada.

Msimamo wa familia

Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma, familia ya Mwise Simon na Mgare Mokiri wamesisitiza kutozika hadi uchunguzi wa kina utakapofanyika kubaini sababu na mazingira ya vifo vya ndugu zao.

"Tume huru tunayoomba iundwe ichunguze siyo tu mauaji ya Serengeti, bali pia ya watu wengine waliofia katika mikono ya polisi katika matukio mbalimbali wakiwemo wale waliodaiwa kuwa ni Panya Road," alisema Catherine Ruge, ambaye ni mpwa wa marehemu Mwise Simon

Catherine ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bavicha) amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala hilo kama alivyofanya kwa kifo cha mfanyabiashara wa madini Mussa Hamisi wa Mtwara aliyefia mikononi mwa polisi.

Watu hao waliouwawa na askari polisi kutoka mikoa ya Mwanza, Mara, Simiyu na Tarime/Rorya ambao walikuwa wanafanya operesheni ya kusaka watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi.

Mwingine aliyepigwa risasi katika tukio hilo lililotokea usiku wa kumakia Septemba 22, mwaka huu ni Mairo Togoro (56) ambaye familia yake haikuwepo kwenye mkutano wa waandishi wa habari mjini Musoma.

MWANANCHI
I said hawa mbwa wataua Kila MTU kwa kisingizio Cha Wahalifu, Watu wakajifanya hawaelewi, haya ngoja tuone. Poleni sana kwa wahanga
 
Hata kama wanajua ni jambazi
Walishindwa kutumia mbinu za kiupelelezi kuwatia hatiani

Tukiwambia elimu ya dvs zero haifai kuwapati upolisi mnatubishia...

Shida polisi wamevulugwa mishahala kiduchu..maisha mabovu, elimu hamnazo unategemea Nini Kama sio kukubambikizia kesi, kuua, kutesa, kuwalinda viongozi wezi na wajinga..

Watanzania nao Ni wajonga wajinga hawajui haki na Sheria tupilia mbali wajibu wao. Tunadhani hatima yetu ipo kwa wanasiasa.

Umasiki na ujinga Ni vitu vibaya Sana kwenye jamiii..

Masikini lazima ufanywe daraja tu na wanasiasa. Utaonewa utanyanyaswa tu.. .
Ili aendelee kutuangamiza wakati akipelelezwa
 
Nikikumbuka lile tukio la Rasta wa Iringa kukamatwa na kupigwa na kuswekwa ndani kumbe jamaa wamefanana Nywele tu na Mharifu mwingine inasikitisha sana.
 
Hata kama wanajua ni jambazi
Walishindwa kutumia mbinu za kiupelelezi kuwatia hatiani

Tukiwambia elimu ya dvs zero haifai kuwapati upolisi mnatubishia...

Shida polisi wamevulugwa mishahala kiduchu..maisha mabovu, elimu hamnazo unategemea Nini Kama sio kukubambikizia kesi, kuua, kutesa, kuwalinda viongozi wezi na wajinga..

Watanzania nao Ni wajonga wajinga hawajui haki na Sheria tupilia mbali wajibu wao. Tunadhani hatima yetu ipo kwa wanasiasa.

Umasiki na ujinga Ni vitu vibaya Sana kwenye jamiii..

Masikini lazima ufanywe daraja tu na wanasiasa. Utaonewa utanyanyaswa tu.. .
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom