Yaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na gundu kumbe ilikua kitu kidogo sana halafu nilichogundua wazee ukimfata demu akiwa na wenzake utoboi...
Huyu Jamaa anaitwa Chibu. Chibu alikuwa tayari ameshinda tuzo nyingi sana za muziki, mpaka akawa mshindi wa tuzo za mwimbaji bora Afrika Mashariki. Sasa baada ya mafanikio hayo, akaamua kufanya sherehe kubwa ya kusherehekea ushindi wake.
Lakini Chibu hakuwa mtu wa kufanya mambo ya kawaida...
Mko poa wakuu,
Kuna hii tabia ya mtu akifua nguo zake Kisha akianika kwenye kamba harafu akiwa ametoka hayupo huku nyuma hutakiwi kuzitoa kwenye kamba mpaka mwenyewe arudi ata zinyeshewe na mvua zikiwa zimeshakauka hapendi yani!?
Akija mwenyewe atazianua, basi ujaribu kuzitoa labda Kuna mvua...
Kamisheni ya Utalii Zanzibar imewataka Watalii, Wafanyabiashara na Wadau wa utalii Zanzibar kuheshimu maadili ya Dini na Utamaduni uliopo Zanzibar kipindi hiki cha kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani.
Kamisheni imesema ni lazima Migahawa na sehemu za chakula zilizo nje ya Hoteli zifungwe hadi...
Sijui ata brand izi zilipotelea wapi. Ila enzi zake zilisumbua sana.
Phat Farm: Hawa walikua na nguo, na viatu. ((P))
FUBU
DADA: Hawa majeans yao yalikua na mifuko ya nyuma mikubwa, kaunta buku haukunji.
G-Unit: Hii ilikua clothing line ya wakina 50 Cent na wenzie.
Sean John: Nadhani...
Binafsi sijajua ni kipi kilichopo kwenye akili ya Elon Musk, pengine ana uraibu wa ngono kwasababu matukio yake ya kashfa za ngono yanafuatana
Baada ya kununua Twitter akabadilisha jina na kuitwa X lakini pia akaruhusu maudhui ya ngono hata za ulawiti
X ni alama ya utambulisho wa ponografia kwa...
Azam Sports Wamefuata Picha za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu.
Mara ya kwanza walipost hii, kabla ya kufuta picha zote zinazomuonesha Tundu Lissu
Katika Mchezo wa ngumi uliokiwa Ukirushwa Azam TV, Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo, alivaa t-shirt yenye picha ya Mwenyekiti...
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram
"Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia wakajitamburisha kuwa ni Polisi wakamchukua na kuondoka nae Ofisi yao ipo mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja...
Je, Wenje na Peter Msigwa wakivaa nguo za CCM na kuvaa kale kakofia kalikoandikwa mama mitano Tena, tutawachumu au tutawapa zawadi gani?
Mimi nitawachumu kwa busu la kenge.
"Nyokorikoooooo" wewe je utawafanyaje?
Boashara yoyote inayofanywa na msanii hakikisha haumuungishi, mkiacha kuwaungisha mauzo yatashuka, mwisho wa siku ataishia kufunga tu biashara yenyewe.
Na si hivyo tu, hakikisha pia bidhaa zozote zinazotangazwa na msanii hununui, mauzo yakiporomoka ubalozi atavuliwa.
Kama mifumo yetu ni dhaifu kiasi hiki basi maadui zetu siku wakiamua kutufanyia ubaya ni dakika tuu
Kabil analeta mafunuo ya kutisha Sana.. Anatufunulia uchi wa nchi tunauona mpaka ndani.. Kuna vitu vikubwa Sana anatufundisha kuhusiana na usalama wa nchi kwenye upande wa hifadhi na ulinzi...
Za asubuhi
Sisi wengine umri wetu ni mdogo sana na tunapenda maendeleo na amani kwenye nchi yetu itawale na tupate mafanikio na kutimiza ndoto zetu kama nyinyi wazee na viongozi vijana mliopo serikali na popote pale mnapotoa huduma na kujipatia ridhiki.
Kwahali inayoendelea kwasasa nchini sio...
Wakuu Mungu ndo kila kitu kwangu na ananijua vizuri nje na ndani , nami nashukuru kwa kila jaribio kwangu.
Vijana wangu walienda salimia siku ya tarehe 27 huko Misumi kwa siku mbili kwamba warejehe nyumbani tarehe 29 , ikiwa ni pamoja na kutimiza haki zao za kikatiba ,mpaka wanaagq iyo siku...
Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano?
Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu?
Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini?
Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
Jina la biashara ni thriftwaika au kwa namna rahisi Waika Mitumba
Ni wauzaji wa nguo za mtumba za kike na watoto kwa bei ya jumla na Rejareja
Tunaouzoefu wa miaka zaidi ya minne (4) kwenye biashara hii..Na kwa uzoefu wetu tunatambua kuwa hitaji kubwa zaidi kutoka kwa watu kwenye bidhaa hizi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.