ngono

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Yani haya mambo ya ngono kuleta mikosi utayasikia tu kwa sisi mafukara

    Tabu inapokuwa kali katika jamii , watu huwa huwaza mambo ya kufikirika kuwa ndio sababu ya wao kupitia ukata na mateso. Zamani mvua zisiponyesha walijua wameudhi miungu au mababu sasa leo ambapo wamegundua kuwa mvua ni geographical issue sasa wataleta stori za ngono ndio sababu ya vijana kuwa...
  2. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Thamani ya mwanamke ni ipi kwenye mahusiano?

    ✍️Mwenyekiti nimegundua kuwa ukiondoa ngono (sex) kwenye mahusiano mengi ya siku hizi, utagundua kuwa asilimia kubwa ya wanawake hawana mchango mwingine wowote kwenye mahusiano, totally nothing. Kitu pekee wanawake wengi wanachochangia katika mahusiano yao ni ngono na ngono pekee (sex and only...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi shindana na ambaye anasema sababu ya kushindwa kwake ni ufinyu wa rasilimali na taarifa ila sisi tunasema ni dhambi za ukoo na kufanya ngono

    Kwa nchi hii fukara yenye watu wenye mindset mgando, rasili za mchongo, pesa iliopo kwenye mifuko ya wachache ila kutotoboa na tabu zako unadanganya watu ni kutokana na makosa ya mababu zako waliofanya na pia ngono inakuua kiroho ndio maana haupati mwanga maishani mwako 🚮🚮 Acha ngozi nyeupe...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kufanya Matusi, Ngono ni majina mabaya yaliyopachikwa kwenye kizuri ili kionekane kibaya

    Wahuni sio watuwazuri. Kitendo cha watu wa jinsi 2 tofauti kuungana kimwili ni kitendo chenyeraha isiyo kifani hasa ikichagizwa na miguno. Sasa sijui katokea mtu wapi huko eti anadai kitendo kile kinaitwa kufanya matusi.
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli gani mabinti wengi wazuri wa bar, hotel na benki hupata kazi hizo baada ya hongo ya ngono?

    Ni kweli mameneja/wakurugenzi wengi wa bar, hotel na benki hutaka kupewa ngono kwanza na mabinti kabla ya kuwapa kazi?
  6. verify

    JamiiForums Tanzania Hali ya kua na mawazo baada ya kufanya ngono

    Mara nyingi mtu hujuta baada ya kufanya ngono isiyo sahihi kwa sababu tamaa huisha, lakini matokeo yake hubaki — hisia za aibu, huzuni, kutotimia kwa matarajio, na hisia ya kujidharau. Mwili hushiba kwa muda, lakini roho huumia kwa muda mrefu. Na mara nyingi hii hali huwakuta watu wenye tabia...
  7. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO

    KAMA MWANAUME Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO. Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo Ndani ya ngono kuna BARAKA LAANA UZIMA MAUTI KUPATA KUKOSA Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa Unaweza kukufanya uwe kipofu kama...
  8. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Tamaa ya Ngono, Adui Mkubwa wa Mwanadamu

    KAMA MWANAUME Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO. Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo Ndani ya ngono kuna BARAKA LAANA UZIMA MAUTI KUPATA KUKOSA Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa Unaweza kukufanya uwe kipofu kama...
  9. Surya

    JamiiForums Tanzania Ngono kama silaha

    Ngono kama Silaha Katika maisha ya kila siku, ngono imekuwa si tu njia ya kuonyesha mapenzi, bali pia chombo chenye nguvu cha ushawishi na udhibiti katika mahusiano. Tendo hili linaunganisha watu kihisia na kimwili, lakini linapoweza kutumiwa vibaya, linaweza kugeuka kuwa silaha inayoweza...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Na hii ndio maana halisi ya neno NGONO

    Mwalimu na nguli wa lugha ya Kiswahili kutoka BAKITA Mzee Sigala anatuelezea maana halisi ya neno ngono Je na wewe pia ulikuwa una elewa hivyo ukisikia neno ngono? Soma pia: Ondoa Mikosi Inayosababishwa na Ngono kwa Njia Hii
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kumbe ilikua inawezekana serikali kuwasiliana na X/Twitter wakazuia maudhui ya ngono yasionekane Tamzania bila kuifungia!.

    UK wamefanya hivyo bila kuigunga X, sasa ingawa sio sababu halisi ya kufungiwa kwa X, kwanini Jerry silaa wasiwasiliane na uongozi wa X wakazuia haya maudhui wanayosema hayafai kwa mlaji kuliko kuofungia kabisa?
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Siri gani iliyojificha hapa? Tafadhali Wabobezi na Wakomavu wa Ngono karibuni mtufafanulie

    Kwanini ukitoka kufanya Ngono ya ghafla na Mwanamke uliyempata juu kwa juu (kumtongoza kwa haraka na akakukubalia) ukishamalizana tu nae (bila ya Kuona) na ukitoka nje ya Loji au Gesti ukisema utongoze tena Wanawake wengine Wawili Watatu hakuna anayekukatalia na kwamba wote watakukubalia tu...
  13. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Thomas Partey, Mchezaji wa zamani wa Arsenal akabiliwa na mashitaka ya ubakaji mara tano na shambulio moja la kingono

    Salaam Members! Thomas Partey, mchezaji wa zamani wa Arsenal, afunguliwa mashtaka ya ubakaji mara tano na shambulio la kingono moja, imetangazwa na Huduma ya Mashtaka ya Umma (Crown Prosecution Service). Kesi hii kubwa imeiacha klabu ya Ligi Kuu ya England (Premier League) ikikumbwa na...
  14. G

    JamiiForums Tanzania MADHARA YA UTANDAWAZI NA MUINGILIANO WA KIUTAMADUNI: Ni ngumu sana mwanaume wa sasa kuchomoka kwenye mitego ya Ngono.

    Nimeona video moja, Shehe kijana akilalamika hapa Dar kuwa wanapitia wakati mgumu sana watumishi wa Mungu kutokana na kuzungukwa na mazingira ya Ngono. Hii ni kweli na kwa wanaume wa sasa, bila kuwa na tabia ya kujitambua na kuwa na subira na kujiheshimu, ni ngumu sana kukabiliana na mazingira...
  15. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu ukifanya sana ngono unapoteza nuru usoni ?

    Nafikiri sex inawanufaisha Wanawake Ila kwa wanaume is waste of time Ukitazama Vijana Ambao hugonoka wamepoteza Sana Nuru . Binafsi nipo na 30 yrs now nimeacha Sex kwa muda wa mwaka mmoja na nimeacha kutumia vinywaji vya dukani even junk food Ila nimerudi early 20 Nuru imewaka uwezo wa...
  16. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Ondoa Mikosi Inayosababishwa na Ngono kwa Njia Hii

    Ngono na watu wengi husababisha mikosi na kutofanikiwa kwa mambo yako. Upo uwezekano kwamba, unaanzisha mambo mbalimbali lakini hayafanikiwi. Katika utaalamu, kila mtu unayefanya naye ngono huenda akaja na baraka au akaja na nuksi. Kwa wale waliotulia katika ndoa zao, huenda ngono ikawa chanzo...
  17. John Sin

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke mchepuko ambae anapenda ngono yani very sensitive with high libibo

    Kama umekizi vigezo hivo Kuna uwezokano ukaolewa kabisa kabisa muhimu uwe nasifa hzo, angalau mara 3 Kwa siku itakua vyema. Kama UPO serious njoo pm mbwembwe peleka Kwa ma uncle
  18. Isenye

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kufanyia ngono na mwanamke meingine kwenye kitanda ulichokua unalalia na mkeo?

    Mke kanikimbia siku ya tatu leo,niko tu mwenyewe hapa home,naona ugwadu umenikamata sio poa.nafikiria kuvuta manzi mwingine tu hapa mtaani nimgongee hapa hapa home. Je ni sahihi kulala na mwanamke mwingine kwenye kitanda mnacholalia na mkeo?
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kule Twitter (X) ati Njaa55 wanataka kupambana na maambukizi huku wakishiriki ngono.

    Kweli Mzee Mbowe alizungukwa na vijana wa hovyo, waliendekeza pombe na nyama choma. Waligawa vyeo kwa wadada kwa rushwa ya ngono. Walijua wazi Lissu akiingia biashara yao imeisha. Mbowe bado anahitajika kwenye siasa za Chadema bila kuwa kiongozi mkuu wa chama kama alivyo Mhe.Zitto. Anachopaswa...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume na mwanamke hawafanani hamu ya ngono?

    Mwanaume anaweza ku-do mara 100 na mwanamke ila katika 100 hizo ni mara 20 ndio unakuta mwanamke alikuwa na appetite na utayari wa kweli. Yani ni kama Mwanaume ni sex machine inayotembea muda wote yupo tayari ila mwanamke hisia zake hadi azicollect at a specific time ndio maana muda mwingine...
Back
Top Bottom