ngono

  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Ngono ni tendo la kubadilishana nishati na DNA

    KUTOKA KATIKA KITABU CHA MAFUNDISHO YA SIRI. ngono ni ibada takatifu ngono ni tendo la kubadilishana nishati na DNA. dna inashikilia habari zote kuhusu mtu huyo ikiwa ni pamoja na kiwewe, matatizo ya akili na kila kitukuhusu mtu huyo. kila mtu ambaye umewahi kumbusu au kufanya naye ngono...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba imeshindikana kutengeneza miziki, comedy, n.k. bila vionjo vya Ngono, Vilevi, n.k. ? Tunapata taabu sana kuangalia tv na watoto

    Imekuwa too much sasa, Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
  3. Brojust

    JamiiForums Tanzania Moderator safi sana, Futeni kabisa nyuzi za ngono na uwasherati, Nyeto, na mambo yote yanayoamsha hisia.

    Kwa hili nawapongeza sana JF, Tena ingieni kabisa kwenye database zenu futeni kabisa mambo ya kula tunda kimasihara. Swali kidogo; Hivi Miss world na world most sexiest woman nani mzuri kusema ukweli ? Nawasilisha.
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania FEMINA HIP popote mlipo uzi wangu uwafikie, rudisheni program yenu ili muwaokoe vijana na janga la ngono, mimba za utotoni na mapenzi ya jinsia moja

    https://feminahip.or.tz/ FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakuu najua mnapombeka, Mkesha wa Krismas, vichwani mnawaza ngono tu "Msisahau kupima ". Jamaa kaponea tundu la Sindano Gridi ya Taifa!

    Mwaka Fulan niliwah ishi sehem , Sasa pale nikafahamiana na Jamaa Mmoja darasa la Saba ila ana helaaa ( jamaa wa migodini). Hivo tumekua washikaji tu wa salaam na mastori ya Maisha. Muda fulan kanipigia Simu, Oyaaa kuna Manzi nmempima HIV Kwa kipimo Cha mdomo, Et kuna kamstari...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Asilimia 95 ya vijana nchini humiliki video za ngono kwenye simu

    Vijana vijana vijana! Nimewaita mara 3 kumbe hali ndiyo ipo hivi kuwa umiliki wa video za ngono ni mkubwa kuliko kumiliki maarifa mazuri na pesa. Mbona hii ni balaa sana! =================== Imeelezwa kuwa zaidi ya asilimia 95 ya vijana nchini wameathiriwa na ukuaji wa kasi ya teknolojia ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Unyanyasaji na Rushwa ya ngono vinawaathiri Wanawake Wafanyabiashara Stendi ya Kuu ya Magufuli (Dar), Serikali ifuatilie haya madai

    Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo. Wanawake hawa, wanaojishughulisha kama mamalishe, Wabeba mizigo, makarani na wauzaji wa vinywaji, walinishirikisha changamoto nyingi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kupata upendo/ Mapenzi sio pesa lakini kupata ngono ni pesa

    Hii natoa testimony 5 ambazo zitakudhirishia mapenzi sio pesa 1. Mpenzi wa kwanza. Wakala wa pesa kupitia mitandao ya simu. 👉Huyu demu mimi nilikua naenda kuweka miamala na Sina maisha miamala yangu ilikuwa haizidi elfu kumi (alifunguliwa duka LA huduma za fedha mkoa x na jamaa ake) nilikua...
  9. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli kwamba ukifanya ngono na baadhi ya wanawake wanakuachia nuksi na laana?

    Wakuu hivi kuna ukweli kwamba ukifanya ngono na baadhi ya wanawake au ukifanya ngono na hawa dada poa unaweza kupata laana na nuksi ambao inaweza kupelekea mambo yako yako kwenda mlama? Sasa ninachojiuliza hizo laana na nuksi wanazipataje? Kwanini wasipewe watu wengine ila ni wao? Na utajuaje...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ili la kuacha Halmashauri ziwapangie Ajira Mpya vituo vya kazi, limezalisha Rushwa ,hususan Rushwa ya Ngono !!

    Sijui Hilo wazo alilitoa nani, ni wazo la kijinga kupindukia. Nani asiyejua Halmashauri zetu zilivyo?. Mdogo wangu ananipigia simu, Brother Kuna MTU hapa ananilazimisha mapenzi ndio Sasa anipangie Kituo kilicho Maeneo ya Mjini. Mdogo wangu anaenda mbali anadai, Kuna Rafiki yake katembea na...
  11. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Maksi za Chupi zamponza Mhadhiri / Lecturer, Jela miaka 20 kwa kosa la kuomba Ngono ili kumfaulisha mwanafunzi wake

    Tatizo hili limekuwa sugu sana, Karibu kila chuo kuna wahadhiri hunyanyasa mabinti kwa kutumia kisingizio "Mwalimu na mwanafunzi wa chuo wote ni watu wazima" wengine wamewahi kufumaniwa baada ya wanafunzi kupeleka ushahidi wa kunyanyaswa lakini wanaishia kuhamishwa vituo vya kazi, kuonywa au...
  13. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Tusingekuwa tunaangalia video za ngono Kuna vingi tusingevijua

    Kuna vitu tulipaswa tusivione wala kuvijua kabisa kwa usalama wetu kwa bahati mbaya au nzuri likaja jitu linaloitwa mtandao(INTERNET) lijuzi la kila kitu kuanzia mazuri mpaka mabaya ingekuwa zama za kina Adam na Hawa basi lile tunda la kati ndio internet yenyewe. Porno zimeimpact lifestyle ya...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Guinea Ikweta, amteua Zenón Avomo kurithi Mikoba ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya video za ngono 400

    Zenón Avomo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) akichukua nafasi ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya ukiukaji wa maadili katika ofisi ya umma. Kashfa hiyo iliibuka baada ya uchunguzi kubaini uwepo wa video zaidi ya 400...
  15. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na connection za ngono zinazorushwa

    HABARI ZA LEO NDUGU ZANGU WATANZANIA NA WASIO WATANZANIA! Leo kuna jambo la msingi sana naomba kushirikiana nayi, ni muhimu sana kama utazingatia. Sio Tanzania tu, na sio Africa tu, ni dunia nzima, pamekuwa na tabia ya kusambaziana leaked pornographic videos, wengi wanaziita connections. Kwa...
  16. Zegota

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za kiafrica ni kama zimelaaniwa. Kulikuwa na haja gani serikali za Equatorial Guinea kuvujisha video za ngono

    Wakuu habarini. Hizi serikali zetu ngozi nyeusi zinapenda sana mambo ya kipuuzi ili kuzima ajenda zao Kwa wananchi Kwa serikali yenye watu wenye akili kulikuwa na haja gani ya kuvujisha zile video za ngono? Walienda kuchunguza kashfa za rushwa? Kwa nini baada ya kukutana na hizo video...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Hapa BONGO kuna zaidi ya uchafu wa Equatorial Guinea. Ni vile tu sheria haziruhusu kuweka video za ngono mitandaoni

    Watanzania wanajitia kushanga namna Baltasar alivyoweza kuwatafuna wanawake wenye kazi zao ama wake za vigogo 400. Hapa bongo ni zaidi ya Equatorial Guinea, ni vile tu sheria zetu zimekuwa kali na huwazuia watu kuposti video za ngono mitandaoni. Vinginevyo tungeona machafu zaidi ya hayo...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanapenda kufanya mapenzi na wanawake wengi tofauti wakati wanawake ni kinyume chake?

    Kwa nini wanaume wanapenda na huona furaha au ufahari kufanya ngono/mapenzi na wanawake wengi tofauti tofauti wakati wanawake wao hupendelea kuwa na mpenzi mmoja tu au wachache? Wanawake wachache ndio huwa na michepuko isiyo ya kuchuna , wengine wengi wanaofanya mapenzi na wanaume tofauti mara...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Usiposhiriki ngono unakuwa umeyamudu maisha kwa asilimia 50% unabakiza kupambania 50 kirahisi

    Habari wapendwa! Katika maisha kila kitu kinashortcut! Hakunaga njia ndefu isiyokuwa na shortcut! Mimi ni moja ya waumini wa kutafta shortcut! Yaani mimi li unipitishe njia ndefu huwa ni lazima nichungulie hatari ya kupita shortcut kama nazimudu au la! Ndiyo maana nina imani iko siku tutapata...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji wa ngono utaisha lini

    Kila siku kunatolewa taarifa za udhalilishaji baada ya kupungua ndio unaongezaka Hukumu zinaongezwa lakini bado binaadamu hawashituki na hukumu hizo Wadau wanaweka makongamano kujadili hili ili wajuwa tatizo ni nini bado wana majibu yale wanawake hawajistri,mporomoko wa maadili...
Back
Top Bottom