Pamoja na kuwa nimekula nyama aina nyingi. Kuanzia kuku, nguruwe, samaki, mbuzi, bata, panya, nyama pori n.k ila hakuna nyama ambayo inaweza kumpita ng'ombe kwa kutokinaisha.
Unaweza kuila kila siku na maisha yakaendelea. Ila nyama nyingine huwa ni mtihani sana kuila kila siku....
Tumpe...