news

  1. U

    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

    Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kumjuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi! Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya...
  2. U

    Mwanamuziki Mkongwe Nchini Hussein Jumbe Amevunjika Mguu Wake Baada ya Kuota Akipambana Na Jogoo

    Amesema ndoto hiyo ya ajabu imemfanya avunjike mguu wake. Mwanamuziki huyo Kiongozi wa bendi ya Talent amedai ndoto hiyo siyo ya kawaida kabisa na ameamua kumuachia Allah aliye mjuzi wa mambo yote. Anadai Jogoo huyo wa ndotoni alijaribu kumdonoa na yeye aliamua kupambana nae kikamilifu kwa...
  3. Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

    Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA , ameondoka nchini humo leo Jumanne kwenda Ubelgiji huku akisema “sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu.” Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
  4. Kwanini uchaguzi wa Tanzania ni world news?

    Huwa najiuliza Tanzania yetu ni nchi ya kawaida na tupo kivyetuvyetu kutokana na utamaduni wetu ni very conservative na lugha yetu ya mambo yote haijulikani to the outside world lakini utashangaa namna tupo effective kwenye worlds headlines Kuna jambo la kawaida tu linaweza kutokea Tanzania...
  5. ‘Peaceful protest’ of congratulations! - Daily News

    Tatizo la kuingiza waswahili kwenye fani za uandishi ambao kiingereza kwao ni kigumu. Daily News ya leo imetoa mpya kabisa. Picha ya Mkuu wa Mkoa Tanga akipokea maandamano ya amani kupongeza uchaguzi. Ati Daily News kwa kiingereza wanatafsiri kuna "peaceful protest of congratulations"- yaani...
  6. D

    Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

    Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni. Stay tuned!
  7. GE2020 Adhabu ya mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia yatupiliwa mbali

    BREAKING NEWS: Adhabu iliyokuwa inamkabili mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia ya kutokufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kampeni imetenguliwa rasmi hii leo.
  8. Project: NAIROBI EXPRESSWAY (News & Updates)

    About time we started updating our little brothers from down south about the major progress Kenya is making as a country. Nitaanzia jiji kuu huku East & Central Africa, providing daily updates hadi likamilike🔥🔥
  9. GE2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

    Violence Alert Tanzania Election "Tunapigwa mabomu nje ya hotel ya Gaprena Kahama, kwasababu watu wamesindikiza gari na hawataki KUONDOKA" Inadaiwa Mtu mmoja amepigwa mguuni na risasi ya moto. Aliyepigwa risasi alikuwa mpita njia, anafahamika kwa jina la Kiwasha Masele.. Anapelekwa...
  10. Ngozi Okonjo-Iweala, aliemgaragaza Amina Mohammed, aukwaa Ukurugenzi Ukuu WTO

    Alyemgaragaza Amina Mohammed aukwaa ukurugenzi WTO!
  11. Singida: Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Nicholas Andrea Gui auawa kwa kukatwa mapanga

    Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kwenye mashamba yake. Amepatikana akiwa amefariki. Nimepata taarifa wakati huu nikitoka kwenye Mkutano wa Kampeni Kijiji cha Mayaha, Kata ya Minyughe. Nimewasiliana na OCD Wilaya ya...
  12. U

    Jackline Mengi afunguka na kusema hajabadili wala kuhamisha kitu chochote cha Marehemu mumewe

    Amesema bado anamkumbuka sana Mumewe mpendwa na hajawahi Kuhamisha au kubadili kitu chochote Nyumbani kwa Marehemu Mumewe Mpendwa
  13. Mechi ya Simba ya Yanga yasogezwa mbele hadi Novemba 7

    Soka letu ni la ajabu sana
  14. Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe apata ajali Mkoani Kigoma, asafirishwa kwa ndege kwenda Dar

    Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe amepata ajali mida hii huko Kigoma kusini akiwa na watu wengine wanne jumla watu 5 wote wazima japo kiongozi ana majeraha anapelekwa hospitali habari zaidi kufuata baadaye. ====== Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe amepata ajali...
  15. Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  16. M

    GE2020 Kamati ya Maadili yatolea ufafanuzi adhabu dhidi ya Lissu kumfungia kampeni. Yasema ameadhibiwa na Kamati ya Vyama 15 vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu

    KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais. Wajumbe 15...
  17. Baada ya kukutwa na Corona, Rais Donald Trump afikishwa Hospitali kwa Helikopta

    Rais Donald Trump amefikishwa Hospitali ya Jeshi baada ya kupata maambukizi ya COVID19 Kwa mujibu wa Daktari wake Sean Conley, Rais huyo amepewa kingamwili ya majaribio na alikuwa na uchovu lakini yupo katika hali nzuri White House imesema Rais Trump atakuwa Hospitali kwa siku kadhaa. Pia...
  18. GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
  19. Museveni visit to Chato

    MY TAKE: 2 days after signing a Host Agreement, Museveni is paying JPM a visit in Chato. Waiting to see if Uhuru will invite himself this time to Chato and offer a word of an apology to JPM as far as Kenya's COVID19 harsh treatment towards Tanzanians is concerned!
  20. Total yafikia makubaliano na Uganda, yakaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kupitia Tanzania

    Uganda na kampuni ya Total ya ufaransa zimefikia makubaliano ambayo yanaifanya kampuni hiyo ya mafuta na washirika wake kukaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kwenda nchi ya jirani ya Tanzania, kampuni hiyo ilisema Ijumaa. Uganda iligundua hifadhi ya mafuta miaka 14 iliyopita lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…