new

  1. M

    JamiiForums Tanzania Live longer breakthrough - new jab could lead to '50% reduction in ageing'

    Live longer breakthrough - new jab could lead to '50% reduction in ageing' Express UKDec 27, 2023 11:02 AM Scientists have found how to target a disease protein that underlines health problems associated with ageing. An injectable treatment that promises a dramatic reduction in ageing is...
  2. JamiiForums Tanzania New member

    Hello, ninafuraha kubwa kuwa miongoni mwa member humu ndani.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Merry christmass TAnesco & Happy new year

    Ninakupenda sana na kukuhitaji kila wakati,ingawa wewe unihitaji kihivyo,ninakulipa kwa wakati kukuonyesha mimi ninakujari sana sijari kama utanilipa kwa wakati,mwaka mzima ninavumulia mateso yako unajua sina ujanja wa kuachana na wewe,ueleweki mchana uuleweki usiku penzi lako aliniweki kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna wimbi kubwa la wamiliki wa Trekta hizi Hybrid kuziuza miezi michache baada ya kuzitumia au kuzikopa

    Tuambiane ukweli, kwanini watu wengi wanaziuza Trekta hizi za kisasa, Mahindra, Swalaj, Tafe, New Holland TT75, miezi michache baada ya kuzitumia? Zamani mtu akinunua trekta tegemea umuone nayo miaka kibao.
  5. JamiiForums Tanzania Naftal Benet: Tusipoifuta Hamas na kuwapiga islamists terrorists wataipiga mabomu London na New York

    NAFTAL BENET anahojiwa sasahivi kwenye kipindi cha hard talk BBC anasema yeye mwenyewe kama komando alishiriki vita ya 2002 na kuwateketeza magaidi. Pia anasema waaipoipiga HAMAS sasa na kuvunja vunja magaidi ya kiislamu basi kuna siku yatazilipua LONDON NA NEW YORK. Na mwisho amemalizia kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tanganyika Law Society new Song in Judiciary Tanzania

    On 17-12-2023 will have their extraordinary meeting to discuss their welfare in respect of their member who have been admonished by the judiciary unreasonably. One point TLS is failing without knowing is that, amongst other reason is that, State Attorneys and public advocates are also members...
  7. JamiiForums Tanzania Wenyeji nipokeeni

    Hodi hodi uwanjani, Wenyeji nifungulieni, Clamyidia mi mgeni, Wenyeji nipokeeni. Ninagonga mlangoni, Majirani tusiwaamsheni, Clamyidia nifungulieni, Wenyeji nipokeeni. Naskia JF sio gengeni, Hakuna stori za vijiweni, Great thinkers wamesheheni, Clamyidia nipokeeni. Insta na FB ndio kwetu...
  8. JamiiForums Tanzania Kampuni za simu zinazotarajiwa kutambulisha bidhaa mpya

    Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo la teknolojia, wakiahidi kubadilisha mtazamo wako kidijitali kama kijana.. Miongoni mwa vifaa...
  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA Brand new decorated pallet beds for sale

    Habari , karibu katika kampuni ya GCC wauzaji na watengenezaji wa vitanda aina ya PALLET (PICHANI) vitanda ni brand new design na ina meet your standards , ni kuanzia ngazi mbili na kuendelea , Picha & video Video Pia waweza. Weka order ukatengenezewa kwa muda wa siku. 4 , kwa order...
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Offer 200,000/- transcend 4tb external drive brand new

  11. JamiiForums Tanzania Why Tanzania needs a New President from 2025

    Tanzania needs a new president from 2025 for a number of reasons, including: To address the country's economic challenges. Tanzania's economy has grown steadily in recent years, but it still faces a number of challenges, including high poverty rates, high unemployment rates, high levels of...
  12. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Allion new model (17.5)

    Engine size Cc 1990 (valvematic) Year 2008 Mileage km 59000 only! Full option (cruise control) Full Ac Bei 17.5m GARI HAINA DALALI. Call 0752506120
  13. JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Allion new model

    Year 2008 Engine cc1990 (valvematic) Mileage 59000km Full option (cruise control) HAINA DALALI Call 0752506120
  14. JamiiForums Tanzania New to JamiiForums

    Hello guys, Nimekuwa nikiifuatilia JamiiForums kwa kipindi kirefu, lakini ilikuwa ni kupitia kwa Mitandao yake ya kijamii, but now here i am. New member of this Forum.
  15. JamiiForums Tanzania New York! Mafuriko ya kutisha katika jiji kubwa zaidi huko USA!

    "Hii ni dhoruba inayotishia maisha," gavana Wa New York alisema. Mvua ya mwezi mmoja ilianguka kwa masaa machache tu ijumaa, wataalam wa hali ya hewa walisema. Hadi 20 cm ya mvua ilianguka katika sehemu zingine za jiji. Mamlaka za jiji zilitangaza hali ya dharura. Video inaonyesha watu...
  16. JamiiForums Tanzania New WhatsApp Update

    Jamani watu hawa na apps zao tumechoka ma ads yao au ma updates ya ajabu tu when ni matajiri tayari; Yaani update ovyo sana hii
  17. JamiiForums Tanzania Je, button ya Uhuru wa kujieleza imezimwa?

    Chawa walikuja na mbwembwe kwamba karejesha uhuru wa habari na kujieleza. Hila kiuhalisia anadidimiza uhuru wa kujieleza. Juzi kati Ney Wamitego aliachia ngoma yake, ambayo badae akaitwa BASATA akaitwa na Polisi. Siku kadhaa zimepita Dada wa kule mbeya naye akaachia kibao chake "Mnatuona...
  18. JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  19. JamiiForums Tanzania Ukipita Chato usiku ni kama uko New York au Jerusalem ya kwenye biblia, zile taa sijawahi kuona mkoa wowote

    Mji umesimikwa taa za solar toka nyamirembe moaka buzirayombo kwa upande wa ziwani ni zaidi ya kilometa 20. Yaani kama unapita na basi ukitokea Mganza usiku kwenda Geita utasema ni New York au Jerusalem wanayoimba walokole,pita mchana sasa ni Chalinze copy copy kasoro airport. Yaani zile...
  20. JamiiForums Tanzania Whatsapp New Feature

    Naomba kujua waliofanikiwa ku update whatsapp ikaja na feature mpya ya ku edit meseji uliyotuma ikiwa na makosa atusaidie tusipata hiyo kitu ikiwa inafanya kazi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…