netanyahu

Benjamin "Bibi" Netanyahu (born 21 October 1949) is an Israeli politician, serving as the prime minister of Israel since 2022, having previously held the office in 1996–1999 and 2009–2021. He is chair of the Likud party. Netanyahu is the longest-serving prime minister in Israel's history, having served a total of over 16 years.
Born to secular Jewish parents, Netanyahu was raised in West Jerusalem and the United States. He returned to Israel in 1967 to join the Israel Defense Forces and served in the Sayeret Matkal special forces as a captain before being honorably discharged. After graduating from the Massachusetts Institute of Technology, Netanyahu worked for the Boston Consulting Group and moved back to Israel in 1978 to found the Yonatan Netanyahu Anti-Terror Institute. Between 1984–1988 Netanyahu was Israel's ambassador to the United Nations. Netanyahu rose to prominence after election as chair of Likud in 1993, becoming leader of the opposition. In the 1996 general election, Netanyahu became the first Israeli prime minister elected directly by popular vote, and its youngest. Netanyahu was defeated in the 1999 election and retired from politics, entering the private sector. He returned and served as minister of foreign affairs and finance, initiating economic reforms, before resigning over the Gaza disengagement plan.
Netanyahu returned to lead Likud in 2005 and was leader of the opposition between 2006–2009. After the 2009 legislative election, Netanyahu formed a coalition with other right-wing parties and became prime minister again. He led Likud to victory in the 2013 and 2015 elections. Netanyahu made his closeness to Donald Trump, a friend since the 1980s, central to his appeal from 2016. During Trump's presidency, the US recognized Jerusalem as capital of Israel, Israeli sovereignty over the Golan Heights, and brokered the Abraham Accords, normalization agreements between Israel and the Arab world. Netanyahu has faced criticism over expanding Israeli settlements in the occupied West Bank, deemed illegal under international law. In 2019, Netanyahu was indicted on charges of breach of trust, bribery and fraud, and relinquished all ministerial posts, except prime minister. The 2018–2022 Israeli political crisis led to a rotation agreement between Netanyahu and Benny Gantz. This collapsed in 2020, leading to a March 2021 election. In June 2021, Netanyahu was removed from the premiership, before returning after the 2022 election.
Netanyahu's coalition pursued judicial reform, which met with protests in early 2023. In October 2023, Israel suffered a large-scale attack by Hamas-led Palestinian groups, triggering the Israel–Hamas war. Due to failure to anticipate the attack, Netanyahu has been criticized for presiding over Israel's biggest intelligence failure in 50 years, and faced protests calling for his removal. Netanyahu's government has been accused of genocide, culminating in the South Africa v. Israel case before the International Court of Justice in December 2023. In May 2024, Karim Khan, the prosecutor of the International Criminal Court, announced his intention to apply for an arrest warrant for Netanyahu, and other members of his cabinet, for war crimes and crimes against humanity, as part of the ICC investigation in Palestine.

View More On Wikipedia.org
  1. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Mkwara wa Ali Rajinani kwa Trump na Netanyahu

    Ali Larijani 67, katibu mkuu wa usalama wa taifa Iran kauliwa leo na makombora ya Israel Jijini Tehran. Ni wiki iliyopita tu alikuwa akizunguka mitaa ya Tehran kwa mbwembwe akiwadhihaki Trump na Netanyahu wawe makini karibuni watakuwa eliminated. Badala yake leo kawaishwa faster kuzimu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Michezo ya akili: Wakati uvumi wa kifo cha Netanyahu ukienea, Israel imefanikiwa kuwaua Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Iran na mkuu wa Basij

    Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
  3. mager6

    JamiiForums Tanzania Kwanini Netanyahu waziri mkuu wa Israel wanamuita bibi?

    Msaada kwa wajuzi wa mambo. Huyu jamaa najua anaitwa Ben, na namuona kwenye media ni kidume ipi siri ya yeye kuitwa bibi?
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

    Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
  5. hamis77

    JamiiForums Tanzania Leo Jumapili: Netanyahu awasalimia magaidi wanaomzushia kifo

    HABARI MPYA: Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametoa ujumbe wa video kuthibitisha kuwa yuko hai, na pia akaonyesha mkono wake baada ya uvumi mtandaoni kudai kimakosa kwamba alikuwa na vidole sita. Tafasiri ya mazungumzo hayo ya Kiebrania: Muuza kahawa: Shalom! Karibu. Benjamin...
  6. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

    Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Namshauri Ayatollah Khamenei Jr. atoe fatwa dhidi ya Netanyahu na Trump

    Kama wao wamesema watamsaka wamuue, kwanini naye asiwafanyie kama Ayatollah Khomeini did to Salman Rushdie? Jino kwa jino ili waonje ladha ya dawa yao waone utamu wake. Nimeudhika namna walivyoua mahululaini wa kiajemi. Poleni waamini na mnaongojea kufa na kupewa hao wadude. KKKKK. Naomba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wairani wengi wameendelea kujitokeza barabarani wakishangilia na kutoa shukrani kwa Trump na Netanyahu

    "Donald Trump, THANK YOU!" "Benjamin Netanyahu, THANK YOU!" Huko Iran wananchi wamefungiwa majumbani lakini wanaendelea kushangilia, watawala wamepanik wanawafyatulia risasi
  9. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu: Vita na Iran haitadumu kwa miaka, inaweza kufanyiwa maamuzi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema anatarajia vita dhidi ya Iran “haitaendelea kwa miaka mingi,” wakati mzozo huo ukiendelea huku Israel akilenga zaidi kushambulia Hezbollah wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon, na Iran nayo ikishambulia nchi za Ghuba zinazohifadhi kambi za...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda hasira za kidini zikazidisha na kuchochea uhasama zaidi na kupelekea kuuawa kwa Benjamin Netanyahu au Donald Trump wakiwa bado wako mamlakani

    Kuuawa kwa kiongozi wa dini ya kiislamu pale Tehran-Iran, Grand Ayatollah Seyyed Imam AIi Hosseini Khamenei, kumeamsha hasira, chuki na uhasama usiomithilika na wenye sura mpya ya kidini ambayo huenda ikaleta maafa makubwa sana ulimwenguni na kuchochea zaidi matukio ya kujitoa muhanga na ugaidi...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muhoozi Kainerugaba Dreams of Monument to Yoni Netanyahu (brother of Benjamin Netanyahu), Slams Sudan’s RSF

    Uganda Kumheshimu Yoni Netanyahu Uganda inatarajiwa kuzindua sanamu ya Yonatan Netanyahu, kaka mkubwa wa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, ambaye aliuawa wakati wa operesheni ya ujasiri ya 1976 ya kuwaachilia mateka wa Israeli waliokuwa wakishikiliwa na magaidi wa Ujerumani na Palestina katika...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini netanyahu amefunika lenzi za kamera kwenye simu yake?

    Sticker nyekundu hizo husaida kufunika lens ili isifanikiwe kuchukua picha endapo pale atakapopiga picha kimakosa hasa nakala nyeti na za usiri ukubwa. Endapo hata simu yake itakapokuwa hacked na mdudu wa kupiga picha bila yeye kutambua itakutana na lens iliofunikwa thus kushindwa kufanikisha.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hezbollah waliendaga wapi? Netanyahu aongezwe kwenye biblia

    Hezbollah, waliishiaga wapi? Hawa watu iliaminishwa ni hatari kuliko Hamas
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumuelewa Netanyahu hata siku moja

    Huyu jamaa yeye hataki Iran na Marekani wazungumze mgogoro uishe ,yeye anachotaka ni kuivamia Iran sasa kwenye kuivamia Iran yeye pekee yake Netanyahu hawezi kuvamia anataka kampani na Marekani hivi mnamuelewa huyu Myahudi. Kwa kifupi Bwana Netanyahu anamdharau Trump
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania BENJAMIN NETANYAHU aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran

    🚨 WAZIRI MKUU NETANYAHU: aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran. Akizungumza katika kikao cha bunge, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alielezea msimamo wa Israeli kwa maneno yasiyopingika: • Wanajeshi wa Uturuki au Qatar hawatakanyaga Gaza • Katika awamu ya pili, Hamas itanyang'anywa silaha na...
  16. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania FALSE Judge leading Netanyahu corruption case reportedly killed in a traffic accident

  17. R

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa Bunge la Ulaya ahoji uwezo wa Marekani kumkamata Maduro lakini kushindwa kumuwajibisha Netanyahu wa Israel

    Mwanasiasa wa Bunge la Ulaya amehoji uwezekano wa Marekani kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro na kumfikisha katika Mahakama , lakini imeshindwa kumkamata na kumuwajibisha Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anayesimamia vikosi vyake kuishambulia Palestine
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Trump wa US, Netanyahu wa Israel na Nayib wa El Salvador ndio viongozi watatu bora duniani kwa sasa

    Nayib ameweza kushinda mtandao wa unbazilifu, rushwa na magenge uliokuwa unaendesha nchi, ameweza kuitoa el salvador katika list ya nchi hatari duniani kwa kupambana na uharifu vikali. Trump ameweza kurudisha amani kwa nchi mbali zilizo kuwa na vita, ameirudisha marekani katika kiti uchumi bora...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amkatalia Waziri Mkuu wa Norway kutembelea Israel

    Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu alikataa ombi la Waziri Mkuu wa Norway kuzuru Israel - na ndivyo ilivyo. Norway iliunga mkono mashtaka ya ICC dhidi ya Israel, ilitambua taifa la Palestina, na kiongozi wao hata alihudhuria tukio la kupinga Uzayuni la Kristallnacht. Israel haina nafasi...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wabunge nchini Israel wakaidi agilo la waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza na West-Bank (Judea & Samaria )

    Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim Goldberg/Flash90) Katika hali ya aibu kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wabunge wa mrengo wa...
Back
Top Bottom