netanyahu

Benjamin "Bibi" Netanyahu (born 21 October 1949) is an Israeli politician, serving as the prime minister of Israel since 2022, having previously held the office in 1996–1999 and 2009–2021. He is chair of the Likud party. Netanyahu is the longest-serving prime minister in Israel's history, having served a total of over 16 years.
Born to secular Jewish parents, Netanyahu was raised in West Jerusalem and the United States. He returned to Israel in 1967 to join the Israel Defense Forces and served in the Sayeret Matkal special forces as a captain before being honorably discharged. After graduating from the Massachusetts Institute of Technology, Netanyahu worked for the Boston Consulting Group and moved back to Israel in 1978 to found the Yonatan Netanyahu Anti-Terror Institute. Between 1984–1988 Netanyahu was Israel's ambassador to the United Nations. Netanyahu rose to prominence after election as chair of Likud in 1993, becoming leader of the opposition. In the 1996 general election, Netanyahu became the first Israeli prime minister elected directly by popular vote, and its youngest. Netanyahu was defeated in the 1999 election and retired from politics, entering the private sector. He returned and served as minister of foreign affairs and finance, initiating economic reforms, before resigning over the Gaza disengagement plan.
Netanyahu returned to lead Likud in 2005 and was leader of the opposition between 2006–2009. After the 2009 legislative election, Netanyahu formed a coalition with other right-wing parties and became prime minister again. He led Likud to victory in the 2013 and 2015 elections. Netanyahu made his closeness to Donald Trump, a friend since the 1980s, central to his appeal from 2016. During Trump's presidency, the US recognized Jerusalem as capital of Israel, Israeli sovereignty over the Golan Heights, and brokered the Abraham Accords, normalization agreements between Israel and the Arab world. Netanyahu has faced criticism over expanding Israeli settlements in the occupied West Bank, deemed illegal under international law. In 2019, Netanyahu was indicted on charges of breach of trust, bribery and fraud, and relinquished all ministerial posts, except prime minister. The 2018–2022 Israeli political crisis led to a rotation agreement between Netanyahu and Benny Gantz. This collapsed in 2020, leading to a March 2021 election. In June 2021, Netanyahu was removed from the premiership, before returning after the 2022 election.
Netanyahu's coalition pursued judicial reform, which met with protests in early 2023. In October 2023, Israel suffered a large-scale attack by Hamas-led Palestinian groups, triggering the Israel–Hamas war. Due to failure to anticipate the attack, Netanyahu has been criticized for presiding over Israel's biggest intelligence failure in 50 years, and faced protests calling for his removal. Netanyahu's government has been accused of genocide, culminating in the South Africa v. Israel case before the International Court of Justice in December 2023. In May 2024, Karim Khan, the prosecutor of the International Criminal Court, announced his intention to apply for an arrest warrant for Netanyahu, and other members of his cabinet, for war crimes and crimes against humanity, as part of the ICC investigation in Palestine.

View More On Wikipedia.org
  1. Wickama

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Hard Core ni Ben Gvir: Netanyahu ni cha mtoto😅

    Huyu Waziri anataka Gaza kutumwe makombora sio misaada wala vyakula. Kazi ipo😂 https://youtube.com/shorts/y9-ACGCC3_U?si=ZoKtcHK229YwfZn4
  2. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Greater Israel bado huu hai Netanyahu athibitisha

    Hawa waarabu mpango wa greater Israel huu hai Netanyahu kawatonya tena wakae wakijua watafuatwa mmoja baada ya mwingine kila mmoja atafikiwa kwa wakati wake kwenye ile greater Israel. ===================== Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anatazama hirizi inayoonyesha “ramani ya Nchi ya Ahadi,”...
  3. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Israel ipo Tayari kuisaidia Iran Maji nchi nzima, kila jiji kila kijini Wananchi wa Iran waamue

    Alikumbuka kuzindua chaneli ya Telegram ya lugha ya Kiajemi karibu muongo mmoja uliopita ili kufundisha usimamizi wa maji, ambayo ilivutia haraka wafuasi 100,000. "Kiu ya maji nchini Iran inalingana tu na kiu ya uhuru," alisema. Netanyahu aliahidi kwamba "wakati nchi yako iko huru, wataalam...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Asante waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kuirudisha Gaza Israel tena

    🇮🇱 Ofisi ya Waziri Mkuu: Baraza la Mawaziri la Usalama limeidhinisha pendekezo la Waziri Mkuu la kushindwa kwa Hamas. IDF itajiandaa kuchukua udhibiti wa Jiji la Gaza huku ikitoa misaada ya kibinadamu kwa raia walio nje ya maeneo ya mapigano. Baraza la Mawaziri, kwa kura nyingi, lilipitisha...
  5. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Israel: Netanyahu akabiliwa na upinzani wa jeshi kwa ukaliaji kamili Gaza

    Israel lazima "iwashinde kabisa" Hamas huko Gaza, Benjamin Netanyahu amesisitiza siku ya Jumanne, Agosti 5. Mkuu wa majeshi ya Israeli, kama sehemu kubwa ya uongozi wa juu wa kijeshi, anapinga ukaliaji mpya kamili wa eneo la Palestina. Waziri Mkuu wa Israel anakabiliwa na upinzani mkali kutoka...
  6. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi - Gaza kuwa Jewish City Netanyahu akubali - Arabs wote kufukuzwa Dawa ya Jeuri ni Kusudi, hard kuishi na waongo Aamua kufuata Quran 5:21

    Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Netanyahu alisema Gaza hamna njaa leo analalimika Mateka wa Israel wanayimwa chakula

    Wanaukumbi. Abu Obaida: •Al-Qassam Brigades are ready to cooperate positively and respond to any request by the Red Cross to deliver food and medicine to enemy prisoners. •We condition this on the opening of humanitarian corridors in a regular and permanent manner to allow the passage of food...
  8. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Netanyahu, Trump 'wayakacha' mazungumzo ya Doha

    Kuna kila dalili kwamba Israel na mshirika na mfadhili wake mkuu, Marekani, wameamua kuachana kabisa kabisa na Kuna kila dalili kwamba Israel na mshirika na mfadhili wake mkuu, Marekani, wameamua kuachana kabisa kabisa na majadiliano ya kusitisha vita vya Gaza na sasa wanasaka "njia mbadala...
  9. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Toka Netanyahu alipokula chakula chenye sumu, mpaka leo hajawahi kuonekana hadharani. Hivi ni nini kinaendelea juu ya uhai wake?

    Niaje waungwana Ni week sasa imepita toka ilipotangazwa kwa njia ya uficho, kwamba waziri mkuu wa Israel mwenye asili ya Poland Mr Benjamin Shetaninyau alibugia chakula chenye sumu kali, na hivyo kukimbizwa hospital haraka kwa ajili ya kuwahi kuokoa maisha yake. Sasa toka kipindi hicho mpaka...
  10. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Netanyahu ataka Trump apewe tuzo ya Nobel

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema amempendekeza Rais Trump kwa tuzo ya Amani ya Nobel na kwamba ameshatuma barua kwa kamati ya tuzo ya Nobel juu ya pendekezo lake hilo. Rais wa Marekani Donald Trump amesema ana matumaini kwamba Hamas wako tayari kuafikiana juu ya kuwaachilia...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Netanyahu, akiondoka kwenda Washington DC, Tunafanyia kazi mpango wa Gaza kwa masharti yetu,

    Netanyahu, akiondoka kwenda Washington DC: Tunafanyia kazi mpango wa Gaza kwa masharti yetu, Hamas haitakuwepo milele nafasi ya kupanua mapatano ya amani lazima yaende kwa Kasi sana!! Kabla ya kupanda ndege yake kuelekea Washington, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema kwamba Israeli ina...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Israel haiyakubali mapendekezo ya Hamas

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema Kundi la Wanamgambo wa Kipalestina la Hamas linatafuta mabadiliko "yasiyokubalika" kwa pendekezo jipya la kusitisha mapigano huko Gaza Ukanda. Netanyahu amenukuliwa na Shirika la Habari la DPA, akisema mabadiliko ambayo Hamas inataka kuyafanya...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Netanyahu; Malengo yake ya vita Iran kashindwa, ameshindwa tena Palestina amerudi kukaa meza moja na Hamas kamaliza vita

    Wanaukumbi. Rais Trump siku ya Jumapili alitoa wito wa makubaliano kuhusu vita vya Israel huko Gaza na mateka wanaoshikiliwa katika eneo hilo waachiliwe. "FANYA MAKUBALIANO NA GAZA. RUDISHA MATEKA!!! DJT," Trump alisema katika chapisho la mapema asubuhi kwenye Ukweli wa Jamii. Malengo ya vita...
  14. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Mahakama Israel yakataa kuahirisha kesi dhidi ya Netanyahu

    Mahakama moja nchini Israel imekataa ombi la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kuahirisha kusikilizwa kwa kesi yake dhidi ya rushwa, baada ya rais wa Marekani Donald Trump kutaka kesi hiyo ifutiliwe mbali. Wakili wa Netanyahu alimuomba jaji katika mahakama hiyo kuahirisha kesi hiyo kwa wiki...
  15. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump asema kesi ya ufisadi inayomkabili Netanyahu inapaswa 'kufutwa mara moja

    Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatano ametoa wito wa "kufutwa mara moja" kwa kesi ya ufisadi inayomkabili Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, ambayo ameitaja kuwa "haina umuhimu." "Kesi inayomkabili mtu ambaye amejitolea sana, siwezi kufikiria kwangu. Anastahili bora zaidi kuliko...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Trump asema Kesi ya Netanyahu inapaswa kufutwa, mara moja, au Msamaha ulitolewa kwa Shujaa Mkuu

    KUWINDA MCHAWI kama huyo, kwa mtu ambaye ametoa mengi, siwezi kufikiria kwangu, "alisema Trump, akirejea usemi wa Netanyahu kuhusu kesi hiyo na yake kuhusu kesi za uhalifu na changamoto za kisheria ambazo amekabiliana nazo. "Kesi ya Bibi Netanyahu inapaswa KUFUTWA, MARA MOJA, au Msamaha...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Israel Knesset Wamshambulia Netanyahu

    Israel Knesset wamemshambulia Netanyahu kwamba anajisfia kashinda vita wakati wa Israel wote wameona vipi Iran alivyo ipiga Israel kama nchi haina ulinzi. Israel wanasema tuliyo onyweshe kwenye media ni friction ya madhara makubwa ambayo Israel inayaficha. Pia wanaulizana nani aliye toa amri...
  18. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Jinsi CIA na USA walivyoihujumu Israel na Netanyahu

    Niaje waungwana Kilichotokea Middle East kati ya Iran na Israel, ni kama vile kitu kilikuwa kimepangwa, au kuandaliwa muda mrefu na serikali ya Marekani kwa kushirikiana na shirika lao la kijasusi la CIA. 1. Kwanza tukumbuke kuwa raisi Trump ni mtu asiependa kuona Marekani ikiendelea kufanywa...
  19. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Duh... Netanyahu kayakanyaga aisee!

    Niaje waungwana Nafikiri mashambulizi ya mwaka jana kati ya Iran na Israel, yalimpofusha sana Netanyahu kwa kuamini kwamba Iran ilikuwa na silaha chache, na dhaifu kwa kuweza kufanya maangamizi katika ardhi ya Israel. Ikumbukwe kwamba katika mashambulizi yale Iran alitumia makombora ya kawaida...
  20. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Breaking: Netanyahu akubali kusitisha vita baada ya shambulio la Iran asubuhi ya Leo 24.06.2025

    Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na...
Back
Top Bottom