netanyahu

Benjamin "Bibi" Netanyahu (born 21 October 1949) is an Israeli politician, serving as the prime minister of Israel since 2022, having previously held the office in 1996–1999 and 2009–2021. He is chair of the Likud party. Netanyahu is the longest-serving prime minister in Israel's history, having served a total of over 16 years.
Born to secular Jewish parents, Netanyahu was raised in West Jerusalem and the United States. He returned to Israel in 1967 to join the Israel Defense Forces and served in the Sayeret Matkal special forces as a captain before being honorably discharged. After graduating from the Massachusetts Institute of Technology, Netanyahu worked for the Boston Consulting Group and moved back to Israel in 1978 to found the Yonatan Netanyahu Anti-Terror Institute. Between 1984–1988 Netanyahu was Israel's ambassador to the United Nations. Netanyahu rose to prominence after election as chair of Likud in 1993, becoming leader of the opposition. In the 1996 general election, Netanyahu became the first Israeli prime minister elected directly by popular vote, and its youngest. Netanyahu was defeated in the 1999 election and retired from politics, entering the private sector. He returned and served as minister of foreign affairs and finance, initiating economic reforms, before resigning over the Gaza disengagement plan.
Netanyahu returned to lead Likud in 2005 and was leader of the opposition between 2006–2009. After the 2009 legislative election, Netanyahu formed a coalition with other right-wing parties and became prime minister again. He led Likud to victory in the 2013 and 2015 elections. Netanyahu made his closeness to Donald Trump, a friend since the 1980s, central to his appeal from 2016. During Trump's presidency, the US recognized Jerusalem as capital of Israel, Israeli sovereignty over the Golan Heights, and brokered the Abraham Accords, normalization agreements between Israel and the Arab world. Netanyahu has faced criticism over expanding Israeli settlements in the occupied West Bank, deemed illegal under international law. In 2019, Netanyahu was indicted on charges of breach of trust, bribery and fraud, and relinquished all ministerial posts, except prime minister. The 2018–2022 Israeli political crisis led to a rotation agreement between Netanyahu and Benny Gantz. This collapsed in 2020, leading to a March 2021 election. In June 2021, Netanyahu was removed from the premiership, before returning after the 2022 election.
Netanyahu's coalition pursued judicial reform, which met with protests in early 2023. In October 2023, Israel suffered a large-scale attack by Hamas-led Palestinian groups, triggering the Israel–Hamas war. Due to failure to anticipate the attack, Netanyahu has been criticized for presiding over Israel's biggest intelligence failure in 50 years, and faced protests calling for his removal. Netanyahu's government has been accused of genocide, culminating in the South Africa v. Israel case before the International Court of Justice in December 2023. In May 2024, Karim Khan, the prosecutor of the International Criminal Court, announced his intention to apply for an arrest warrant for Netanyahu, and other members of his cabinet, for war crimes and crimes against humanity, as part of the ICC investigation in Palestine.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hezbollah waliendaga wapi? Netanyahu aongezwe kwenye biblia

    Hezbollah, waliishiaga wapi? Hawa watu iliaminishwa ni hatari kuliko Hamas
  2. MakinikiA

    Sijawahi kumuelewa Netanyahu hata siku moja

    Huyu jamaa yeye hataki Iran na Marekani wazungumze mgogoro uishe ,yeye anachotaka ni kuivamia Iran sasa kwenye kuivamia Iran yeye pekee yake Netanyahu hawezi kuvamia anataka kampani na Marekani hivi mnamuelewa huyu Myahudi. Kwa kifupi Bwana Netanyahu anamdharau Trump
  3. Echolima1

    BENJAMIN NETANYAHU aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran

    🚨 WAZIRI MKUU NETANYAHU: aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran. Akizungumza katika kikao cha bunge, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alielezea msimamo wa Israeli kwa maneno yasiyopingika: • Wanajeshi wa Uturuki au Qatar hawatakanyaga Gaza • Katika awamu ya pili, Hamas itanyang'anywa silaha na...
  4. R

    Mwanasiasa Bunge la Ulaya ahoji uwezo wa Marekani kumkamata Maduro lakini kushindwa kumuwajibisha Netanyahu wa Israel

    Mwanasiasa wa Bunge la Ulaya amehoji uwezekano wa Marekani kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro na kumfikisha katika Mahakama , lakini imeshindwa kumkamata na kumuwajibisha Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anayesimamia vikosi vyake kuishambulia Palestine
  5. ELI COHEN

    Trump wa US, Netanyahu wa Israel na Nayib wa El Salvador ndio viongozi watatu bora duniani kwa sasa

    Nayib ameweza kushinda mtandao wa unbazilifu, rushwa na magenge uliokuwa unaendesha nchi, ameweza kuitoa el salvador katika list ya nchi hatari duniani kwa kupambana na uharifu vikali. Trump ameweza kurudisha amani kwa nchi mbali zilizo kuwa na vita, ameirudisha marekani katika kiti uchumi bora...
  6. Echolima1

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amkatalia Waziri Mkuu wa Norway kutembelea Israel

    Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu alikataa ombi la Waziri Mkuu wa Norway kuzuru Israel - na ndivyo ilivyo. Norway iliunga mkono mashtaka ya ICC dhidi ya Israel, ilitambua taifa la Palestina, na kiongozi wao hata alihudhuria tukio la kupinga Uzayuni la Kristallnacht. Israel haina nafasi...
  7. Echolima1

    Wabunge nchini Israel wakaidi agilo la waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza na West-Bank (Judea & Samaria )

    Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim Goldberg/Flash90) Katika hali ya aibu kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wabunge wa mrengo wa...
  8. H

    Trump atangaza mpango wa kumaliza vita Gaza, Netanyahu Aridhia, Nchi za Kiarabu na Kiislam Zaukubali.Hamas Wanatakiwa Kunyang'anywa Silaha

    Muda mfupi uliopita, Rais Trump na Waziri Mkuu Netanyahu, wameongea na waandishi wa habari kuhusu mpango wa kumaluza vita Gaza, wenye vipengere 20. Netanyahi amesema kuwa anaukubali mpango huo. Vipengere mujimu ni pamoja na: 1. Jumuia ya kimataifa ikishirikiana na wasomi wa kipalestina...
  9. A

    Israel wamechanganyikiwa

    https://youtube.com/shorts/BcPMdncuO2M?si=d_GrBtIPloZPcaqo Hivi atasubutu kumgusa China, nimebidi kucheka tu.
  10. Fascinating

    Hii njia ya leo aliyopita Netanyahu kuelekea Marekani, anakimbia kukamatwa kwa Uhalifu wa Kivita?

    Wakuu, katika hali isiyo ya kawaida, Waziri mkuu wa Israel leo ametumia njia isiyoyakawaida kuelekea New York, kitu kilichoibua mjadala juu ya waziri mkuu huyo kukimbia kukwepa kupita katika anga la nchi za Ulaya ili kukimbia kukamatwa kwa Uhalifu wa Kivita. Netanyahu aliondoka Telaviv...
  11. Ritz

    Netanyahu; kutambuliwa kwa Palestina na Uingereza 'tuzo kwa Hamas

    Wanaukumbi. Netanayahu anaanza kutapatatapa na kulia lia. Kama kawaida yake anataka kuonewa huruma washirika wake wakubwa. Uingereza, Canada, Australia, Ufaransa, ambao walikuwa wanampa silaha na pesa kwenda kupigana na Hamas wamechoka sasa kuona misaada yao inaenda kuuwa watoto na raia...
  12. Mi mi

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu awalalamikia China, Qatar na Jamii ya Waislamu kuwa sababu ya Israel kutengwa

    Netanyahu says Israel 'in isolation', blaming Qatar, China and Muslims in the West Prime minister says Israel will be 'Athens and Super Sparta', as he admits it would need to develop its own arms after global embargoes Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu speaks to members of a...
  13. Ritz

    Ujumbe wa Hamas kwa Netanyahu; Mateka wametawanywa ndani ya vitongoji vya Gaza, operesheni ya uhalifu inamaanisha kuwa hautapata mateka hata mmojo

    Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: Taarifa ya kijeshi iliyotolewa na uongozi wa Brigedi ya Martyr Izz al-Din al-Qassam: "Tunauambia uongozi wa kijeshi na kisiasa wa adui: Gaza haitakuwa sehemu rahisi kwa jeshi lako linalotetemeka. Hatuwaogope na tuko tayari kupeleka roho za askari wako kuzimu...
  14. PROFOUND NOTION

    Ningekuwa na uwezo na kuruhusiwa na mamlaka ningejenga sanamu kubwa la TRUMP, SHEIKH ZAYED na NETANYAHU

    Sheikh Zayed wa UAE. Trump wa US Netanyahu wa Israel
  15. Yoda

    Israel na Netanyahu watajwa Charlie Kirk kuuawa kwa risasi Marekani!

    Wahafidhina kadhaa wa mtandaoni anti-Israel wenye ufuasi mkubwa wameanza kuonyesha wasiwasi wao kumuhisi Netanyahu na kuitaja Israel katika tukio la kupigwa risasi na kuuwawa kwa mwenzao Charlie Kirk!
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Netanyahu: Tunakwenda Kutimiza ahadi yetu kwamba hakutakuwa na Taifa la Palestina eneo hili ni letu

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, siku ya Alhamisi alisema kuwa "hakutakuwa na taifa la Palestina." Alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake katika makazi ya Maale Adumim yaliyoko katika Ukanda wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. Netanyahu alisaini rasmi hati ya kuidhinisha ujenzi wa...
  17. The Father of All

    Netanyahu na Trump watafanikiwa kujidanganya na kuidanganya dunia?

    Najua kuwa manazi wengi wanaoshangilia uhayawani na ukatili vinavyoendelea mashariki ya kati. Jana, Netanyahu aiishambulia Qatar, kikaragosi kama yeye cha Marekani. Leo, imeshambulia Yemen, mwiba kwa wote wawili. Je, mazwazwa na wahuni hawa wawili watafanikiwa kujidanganya na kuidanganya...
  18. The Father of All

    Kwa kinachoendelea Gaza, kuna tofauti kati ya Adolf Hitler na Benjamin Netanyahu?

    Mauaji ya kimbari ya Manazi yananikumbusha haya ya sasa ya Waisraeli wakiongozwa na Hitler wao Benjamin Netanyahu. Je kweli kuna tofauti kati ya Adolf na Benjamin Hitler Netanyahu?
  19. Ritz

    Ben Gvir na Smotrich: Tulifikiri tulikuwa wafungwa wa Hamas, lakini ukweli ni kwamba sisi ni wafungwa wa Netanyahu

    Wanakumbi. ⚡️BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: "Tulifikiri tulikuwa wafungwa wa Hamas; lakini ukweli ni kwamba, sisi ni wafungwa wa serikali yetu ya Netanyahu, Ben Gvir, na Smotrich." Upinzani huo ulimweka mateka mwanajeshi wa Israel ndani ya gari na kumpeleka katika mitaa ya Jiji la Gaza...
Back
Top Bottom