Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 10,717
- 33,987
Sticker nyekundu hizo husaida kufunika lens ili isifanikiwe kuchukua picha endapo pale atakapopiga picha kimakosa hasa nakala nyeti na za usiri ukubwa.
Endapo hata simu yake itakapokuwa hacked na mdudu wa kupiga picha bila yeye kutambua itakutana na lens iliofunikwa thus kushindwa kufanikisha.