neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania pale penye neno MKIKUYU tungeweka neno gani?

  2. JamiiForums Tanzania Neno la leo: Ukiona wanatamani ushuke kimaisha au uanguke jitafakari

    Ukiona mtu au watu wanatamani ushindwe, uanguke, uumie, ufeli au kupoteza uhai kabisa wewe binafsi mkeo au watoto wako usikimbilie kusema binadamu ni wabaya, binadamu wanachuki, binadamu wanakinyongo, binadamu wana wivu n.k huo ni muda wako kujitafakari. Kila binadamu ana wivu, kila binadamu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini? Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini? Au Mlalakuwa, Au Mtoni kwa Aziz Ali n.k, n.k. Labda utadhani imetokea tu ... just ipo ipo, hapana...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi wanalichukulia poa sana Neno ugaidi.. kwa akili yao finyu hawajui km wanaichafua nchi!

    Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani! Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile la mbowe la kupewa kesi ya ugaidi na hili la ndugu hamza ambalo IGP Siro amesubutu kumuita Gaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    "Wakili msomi" ina maana gani? Je kuna wakili "asiye msomi"? inamaanisha nini? Msaada tafadhali.
  6. JamiiForums Tanzania Wape neno dereva na utingo wake

    Hawa jamaa siujui ni ujinga, ujasiri au kutegemea bahati kwa kuweka maisha yao rehani. Wape neno!
  7. JamiiForums Tanzania Bishop Rev. Josephat Gwajima kusema neno tena kesho. Unakaribishwa katika ibada kanisa la Ufufuo na Uzima....!

  8. Q

    JamiiForums Tanzania CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

    Tunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama. Mama shituka mapema you will thank me later. PIA, SOMA: - Gazeti la...
  9. JamiiForums Tanzania Utajuaje kama Watu fulani wanaandamana, Tafsiri hasa ya neno Maandamano ni ipi?

    Kwa Mjini kama Dar es Salaam na kwingineko si jambo la ajabu kukuta makundi ya watu mabarabarani wakitembea kuelekea huku na kule , wengine masokoni , wengine kwenye viwanja vya soka , wengine wakitafuta Bar nzuri za kunywea pombe zao baada ya uchovu wa hapa na pale , wako pia wengjne...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hili neno Mbususu linakuja kwa kasi sana jamvini

    Inakuwaje Wanajamvi! Neno Mbususu tayari limeshaanza kuifunika papuchi humu jamvini.
  11. JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science

    Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science. Na ina utofauti gani na BAF
  12. JamiiForums Tanzania Nini maana ya neno Crystall Balls katika uchumi

    Kwa wale walisoma Economics sentence hii ina maana gani? "While our crystall balls are cloudy" Asante
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya neno ndoa halali

    Nimewasikia wengi wakilitumia neno ndoa halali. Wakisema ni mume wangu halili, wengine wakisema mke wangu halali. Wengine wakisema kuwa wamefunga ndoa halali n.k. Je, mume anaporudi nyumbani asubuhi bila kusema alikuwa wapi hiyo tutaendelea kuiita ndoa halali? Mke na mume kila mmoja hajui...
  14. JamiiForums Tanzania John Heche: Chokochoko siyo neno la kistaarabu

    Wasalaam, Tuendako hakuna nuru na dalili ya mvua ni mawingu.
  15. JamiiForums Tanzania Hii mekaaje? Neno ILLUMINATI ukiliandika kinyume (ITANIMULLI) na kuongezea .com utapelekwa kwenye website ya nsa.gov

    Waungwana nimejaribu kufanya hivyo nimejikuta natumbukia kwenye website ya nsa.go. Je hiyo kitaalamu imekaaje? Kuna uhusiano wowote baina ya hilo neno illuminati na hao jamaa wa national security ag?
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia amuaga Mfugale kwa neno kutoka kwenye Biblia (Joshua 1:9)

    Nimefarijika na moyo wa Mama Samia, kweli moyo wake una Bwana Mungu ndani yake. Jana wakati wa kumuaga Eng. Patrick Mfugale alitumia Neno toka Biblia Takatifu, Neno liloleta faraja kwa waombolezaji wengi pale Karimjee. Alisoma kutoka kitabu cha Joshua 1:9 "Je, si mimi niliyekuamuru uwe...
  17. JamiiForums Tanzania Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachagga wanaongeza herufi mbele ya kila neno?

    Mfano badala ya kutamka baba wao wanasema babaa. Mfano badala ya kutamka mama wanasema mamaa, dadaa au kakaa. Wanataka watengeneza kiswahili chao?
  19. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki, Lindi: Wananchi Nachingwea wasimamisha msafara wa Freeman Mbowe, waomba neno la matumaini

    Mwamba Mbowe pamoja na Umwamba wake leo amegonga mwamba huko Nachingwea baada ya wananchi kulala barabarani wakilazimisha awasalimie. Ikumbukwe kwamba Mwamba Mbowe au Mtemi Isike yuko Kanda ya Kusini kwenye kampeni ya Operesheni Haki yenye lengo la kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume...
  20. JamiiForums Tanzania Neno "Mwendazake" na upotoshaji wa kikanuni unaoendelea sasa

    LOGIC: "Wanaomwita Magufuli MWENDAZAKE wanahatarisha amani." 1. Mtu akimuita Mwendazake, ni hali gani inatokea ya kuhatarisha amani? 2. Marehemu akisikia anaitwa Mwendazake anaibuka na kuleta tafrani nchini kiasi cha kuhatarika kwa amani? 3. Au wafuasi wa Mwendazake kama hawa Viongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…