ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya mitala: 'Sisi ndugu wanne tulioa mke mmoja'

    Familia ya Champasingh Lama, kutoka Humla eneo la Fang Tungar huko Tibet, imezingatia ndoa ya mitala kwa vizazi 17. Lakini, kulingana na mwanawe wa kiume na mjukuu, utamaduni huo sasa umepitwa na wakati, alisema Champasingh. Alisema, "Sisi ndugu wanne tumeoa mwanamke mmoja." Vijana wetu...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mama yake ameshafariki ndugu wanamsubiri ajenge choo

    Rafiki yangu ni mtoto wa pekee kwa mama yake. Mama yake ni mwenyeji wa Mtwara. Alikua mfanyabiashara na mzigo aliufuata Kariakoo. Katika mahangaiko ya kukusanya mzigo alikutana na mfanyabiashara kutoka Kaskazini. Walianza mahusiano kwakua mama alikua single. Mzee alikua na familia yake na...
  3. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuwasaidia ndugu na jamaa zako pale kipato chako kinapokuwa chini ya mahitaji yako ya muhimu?

    Heshima kwenu Wakuu. Nimebahatika kuishi Nchi za wenzetu kwa Mabeberu, kiasi fulani nimejifunza mambo kadhaa. Sisi Wabongo tunaishi maisha ya ujamaa, yaani kugawana kidogo tunachokuwa nacho ili kila mtu apate japo mkate. Hali hii inatokana na ukweli kuwa idadi kubwa ya sisi wabongo bado...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa mkurugenzi wa HESLB ndugu Badru

    Mpaka kufikia leo January 9/2022 baadhi ya wanachuo hawajapewa mikopo tangia wamefungua vyuo yani wengine wanakaribia kusaini awamu ya pili wapewe fedha,wengine walisha saini ila hawajapewa fedha zao za awamu ya kwanza mpaka sasa. Je wewe mzee unataka nini hasa kwa watoto wa wanaume wenzio? Je...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu Victoria C. Mwanziva Anena Kuhusu Uteuzi wa Baraza la Mawaziri.

    UVCCM TAIFA - Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndugu Victoria C. Mwanziva Anena Kuhusu Uteuzi wa Baraza la Mawaziri. “Tunampongeza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa mabadiliko aliyoyafanya katika Baraza la...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amenipa sharti la kuacha kazi ya kuajiriwa ili anipe mtaji wa Tshs 200M nianze shughuli yangu mwenyewe lakini sijui nifanye shughuli gani!

    Mara nyingi nimetetea uraia pacha ili wana Diaspora wapewe nafasi za kuwekeza nchini. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba nina ndugu yangu huko nje alichukua uraia wa huko, na sasa anasema inakuwa vigumu kuwekeza Tanzania kwa kuwa yeye sio raia tena wa Tanzania. Sasa juzi hapa kanishauri...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania tuibadilishe hii katiba. Yaani Rais alitaka kuchoma shamba la mikorosho halafu hafanywi chochote?

    CCM msijione mko salama sana na hii katiba. Hamuijui kesho yenu. Yaani Askofu amesema kuwa aliishi kama Digidigi nchini kwake na kunusurika kuuawa mara tatu malipo yake inakuwa Ni kumhoji? Aliyesababisha hayo haguswi?! Zitto amesema mashamba yake ya korosho yalitaka kuchomwa moto na jiwe...
  8. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Mgeni miye naomba mnipokee

    Habari wana jamiiforums. Mgeni miye naomba mnipokee kwa mikono miwili
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Wanawake wapigwa marufuku kusafiri mbali bila ndugu wa kiume

    Taliban imesema Wanawake wanaotaka kusafiri umbali mrefu (zaidi ya Kilomita 72) wasipewe usafiri barabarani isipokuwa wakiwa wamesindikizwa na ndugu wa kiume wa karibu Mwongozo huo wa Serikali ambao umekosolewa na Wanaharakati pia umetoa wito kwa wamiliki wa magari kukataa kuwapandisha Wanawake...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Aliyejua hatima ya ndugu yetu huyu atujuze

    Maisha ya ugomvi wakati mwingine ni ya kupuuza kabisa. Mwamba hapo juu kwa mfano sielewi hatima ya maisha yake hapo baadae ilikuwaje! Halafu huyo mgomvi wake kama vile alielekezwa kabisa mchezo ukimaliza hapa ugomvi umeshinda. Pole yake.
  11. 4

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu kanigusa,nami ngoja nishiriki na ndugu zangu wote wa jamii forum

    WATU wa Mungu jf niwasalimie kila mtu kwa imani yake Bila jali mitazamo yetu tofauti ila ni imani Yangu sie ni Ndugu tu, Usiku wa kuamkia leo nimeguswa na yule ajuaye nini makusudi yake kunifanya niwe hai leo, na nini kusudio lake kunileta duniani ,nami ni vyema share nanyi baraka hizi Ni...
  12. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Ndugu Mchengerwa (Mbunge)waziri wa Utumishi

    Habari Mhe Waziri , Mohammed Mchengerwa ,Kwanza ni kupongeze Kwa uteuzi wako ,kazi unaenda nayo vizuri ,kuna maeneo kidogo ningependa kushauri ,JF ni kioo cha jamii kitumie katika kujirekebisha. Ni ukweli usiopingika umekua mtetezi wa Watumishi wa UMMA ukitamani kila mtumishi apate haki yake...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo

    Kwanza nikupe heshima yako, shkamoo na pole kwa majukumu makubwa ya kuongoza chama, Siku kadhaa kabla ya sherehe ya uhuru ulifanya kikao na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya chama ndani ya miaka 60. Katika kikao hicho ulizungumza mambo mengi lakini kwangu napenda kuchangia kuhusu haya...
  14. ommytk

    JamiiForums Tanzania Tumkumbushshe tu ndugu yetu mh pole pole kila kitabu na zama zake

    Akubali tu kama walivyokubali wengine kipindi cha kitabu ambacho yeye alikuwa anasoma na wengine walikosa kukisoma wakakaa pembeni sasa kitabu iki nayeye aangalie tu juu kwenye cover ndio ilivyo.kipindi yeye anasoma na kukielezea kitabu kilichopita kuna watu walikuwa pia wanatamani nawao...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu za wanaoshikiliwa ktk mahabusu mbalimbali, kwa tuhuma za Ugaidi, wazungumza na vyombo vya habari.

    ..kuna mahabusu 186++ wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi ktk magereza mbalimbali. ..Ndugu zao wamezungumza ktk vyombo vya habari kama wanavyoonekana hapo chini. Cc amanibaraka
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ndugu wanaCCM, Wembe alioutumia Polepole kumnyolea Membe kwanini usitumike sasa kumnyoa Polepole?

    Sote tunakumbuka ya kwamba Polepole akiwa katibu mwenezi wa CCM Taifa, alisimamia mchakato wa kumfukuza uanachama Membe kwa kosa la "kutamka" kwamba atachukuwa fomu ya kugombea Urais ili apambane na aliyekuwa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa ndugu Magufuli. Kwa kutumia "kanuni za chama" Polepole...
  17. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Makamba, unatumia muda mwingi kujibrand kuliko kupambana na mgao umeme

    Abuu Kauthar Huku ninapoishi, Mburahati Barafu, katika wiki moja, umeme ulikatika siku sita kwa saa kuanzia sita hadi 14. Katika baadhi ya siku, umeme ulikatika mara kadhaa. Kukatika huko kwa umeme sio tu ni kero kubwa, lakini pia kumeongeza umaskini wa wananchi wanaotegemea nishati hiyo...
  18. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati ndugu zetu wanaconsume 1,400 MW, Kenya ina-consume 2036 MW ya umeme na haturingi

    Yaani Kenya kwa mara ya kwanza tumeweza kutumia umeme wa zaidi ya 2,000 MW. Ukanda huu Ethiopia pekee ndio wanaotumia umeme mwingi kutushinda. Wenzetu wa kusini bado wapo nyuma kwenye matumizi ya umeme. ===== Power consumption reaches all-time high MONDAY NOVEMBER 29 2021 By BRIAN NGUGI...
  19. The Garang

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi karibuni kwenye section ya MMU

    Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki. Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana mawazo kadhaa hususani katika mahusiano yetu kwa ujumla. Tunahitaji kuona mkileta hadith za bibi...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ndugu Nape pokea mchanganuo wangu wa dola 9 billioni alizokula Magufuli

    NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM. Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo...
Back
Top Bottom