ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia: Poleni mliofiwa na ndugu zenu. Msiba huu ni wetu sote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapa pole wale waliofiwa na ndugu zao katika maandamano ya Oktoba 29, ingawa yeye ameeleza kuwa maandamano hayo yalijumuisha vurugu. Rais Samia Suluhu Hassan aliyasema haya wakati akizungumza katika mkutano maalum...
  2. PostGE2025 Press ya Father Kitima imeyeyesha Propaganda za Rais Samia leo

    Ndugu Samia Hassan Suluhu leo kama taatifa ilivyo anaongea na Makada wa CCM Kule Dar, na kama kawaida leo alikuwa aje na zile swaga zao za kila siku, za Walilipawa, Kwanini wachome nchi, Walitoka nje ya nchi, hawatutakii mema, na blaa blaa zingine. Sasa ile Press ya Kitima inabidi magwiji wa...
  3. M

    PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  4. R

    PostGE2025 Balozi Isaac Njenga: Tanzania na Kenya ni ndugu yanayotokea kwa jirani yanatuhusu

    Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Isaac Njenga akizungumza katika Mahojiano na Salim Kikeke ameeleza kuwa uhusiano wa Kenya na Tanzania ni kama ndugu hivyo matukio yanayotokea kwa jirani yako lazima yatakuhusu na utataka kujiridhisha, amerejelea uchaguzi wa Kenya 2007 uliofatiwa na ghasia kuna...
  5. L

    PostGE2025 D9: Wengine watatoka kwa hasira za kuuawa na kutekwa kwa Ndugu zao. Eeh MUNGU turehemu taifa letu

    Poleni Sana Ndugu zangu watanzania wa dini na Imani zote zilizopo katika Taifa hili kwa kupoteza Ndugu, jamaa, rafiki zetu wapendwa pamoja na wale waliotekwa Ndugu zao poleni pia. MUNGU akawe mfariji katika kipindi hiki kigumu mnachopitia. Roho za Marehemu zilale mahali pemq peponi
  6. R

    Mwananchi: Sheikh gani unasimamia uovu, Wakristo ni ndugu zetu kujeni kivingine hili lishadunda

    Baaaas dada kamaliza mjadala kabisa Hawa watu wamezoea kuona watanzania kuwa wa kimya hawajui karne hubadika kisha watu na mitazamo yao pia hubadilika, Walidhani wakileta masuala ya dini basi wakristo na waislamu tungeanza battle la kiimani, imegeuka kuwa battle kati ya misimamo na umoja wa...
  7. Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  8. Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9.
  9. PostGE2025 Kinachoendelea Serikalini Muda huu. Tukisema tukafukue kusema hakuna miili wananchi watauliza mmewaweka wapi ndugu zetu?

    Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili. Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko sawa. Hofu kuu iliyopo ni kuwa hata wakitafuta eneo kusema wafukue bado Wananchi watauliza ndugu...
  10. Hivi ndugu zangu mnawezaje?

    Kwa hizi sintofahamu zilizoko nchini nyie ndugu zangu mnawezaje kuongea Mambo ya kunyanduana na kuhusiana? Me mwenzenu mood imekata kabisa. Naachoooka Mimi mke wa Clemence Mwandambo
  11. PostGE2025 Si tu walichoma na Kuzika Maiti za Walouliwa, Maiti nyingi zimehamishwa Wilaya to Wilaya ,Mkoà to Mkoà ,ili Ndugu wasipate Maiti zao

    LENGO ni lilelile Moja, Ndugu waendelee kubakia NJIA PANDA !.
  12. Q

    PostGE2025 Dr. Chakwera aliwahi kukosolewa kwa kujaza ndugu zake kwenye Baraza la Mawaziri. Je, anafaa kwa mazungumzo ya Maridhiano?

    Huyu ndiye anakuja kutusuluhisha. Birds of the same feather flock together. Mwaka 2020 lipoteuliwa kuwa rais kwenye baraza lake la Mawaziri aliwajaza ndugu zake huku akimteua Mtu na Mke wake kuwa mawaziri ambao walikuwa ni ndugu zake. Aliyekuwa mgombea mwenza wake Sidik Mia, alichaguliwa kuwa...
  13. PostGE2025 Maeneo ilipozikwa miili ya watanganyika wenzetu yaanza kufichuliwa

    Hivi kweli walidhani watazika watu na makaburi yasije kufukuliwa? Hao watu wote mliowazika watafukuliwa na kuzikwa kwa heshima kwenye makaburi ya mashujaa, na hiyo ndio itakua alama yenu chafu kwenye hili taifa itakayodumu milele. Binafsi hii ni taarifa ya pili kuiona juu ya hili sakata, nina...
  14. Ndugu waanza kuona miili ya wapendwa wao ambao hawakuonekana, wakiwa kwenye video ya mlundikano wa maiti iliyovuja ndani ya mochwari ya Mwananyamala

    Hatusemi mengi. Huyu mwamba ni dereva na aliuawa huko Salasala. Hakukuwa na ushirikiano kwa ndugu kupewa maiti ya mtu wao mbali na ukweli kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi. Ndugu walikuwa wameshakata tamaa walaamua kusahau Leo ameonekana ndani ya ile video ya Mwananyamala. Serikali bado inasema...
  15. W

    PostGE2025 Ndugu wathibitisha kuona mwili ya ndugu yao kwenye video ya Mwananyamala Hospitali

    Huyu kijana yupo kwenye ile video ya Mwananyamala ambayo wanasema sio video ya hapa Tanzania. Mwanamitandao Muna Love aliwahi kumpost kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kijana huyo anatafutwa na alipigwa risasi Mabatini akidai hata ndugu yake amenuona, daaah. Tunachouliza miili ya hawa...
  16. Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta

    Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta. Waliopo kwenye vituo vya polisi vilivyopo mitaani wachunge sana. watanzania hawatokubali damu iliyomwagika iende bure.
  17. Nini Kimemkuta ndugu yangu Paskali Mayalla a.k.a Mr. NJAA?

    Takribani sasa ni kama wiki nzima sijaona Post ya Mh. MR. Njaa. Nini kimemkuta Porti wangu jamani? Hii hotuba ya jana asingeacha kuandika chochote! Je, amejitathimini na kuona uchawa haulipi? Au Gen-Z wamemtisha?
  18. G

    Waliouliwa ndugu zao ndio wanapewa msamaha, au walioua ndo wamepewa msamaha? Ikulu yetu siyo patakatifu Tena, mikono yenye damu ni baraka au laana?

    Waliouliwa ndugu zao ndo walipaswa waombe msamaha, Cha ajabu ndo wanapewa msamaha kwamba baada ya kuua ndugu zako nimekusamehe usirudie tena Mstari aliyonukuu wa Luka, ulitolewa na aliyekuwa anaenda kuuwawa sio wauwaji wake. Mama Bado anaonyesha hatakaji kukubali ukweli awe huru Bado analaumu...
  19. M

    Sijawahi kuamini kwa Tanzania tumefikia level ya majambazi wa kukodi, hawa huwa ni ndugu au watu wa karibu sana

    Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na kesi za kutumiwa majambazi ukichunguza kwa karibu huwa ni wanafamilia au ndugu.
  20. Ndugu yako anafiwa Mtoto Oct 29, Unatoa pole Novemba 14?

    Ndugu yako wa karibu anapata msiba Oct 29 kafiwa Mtoto. Unamuona siku zote na unapita karibu na kwake. Nov. 3 unafanya sherehe kwako na unamsimanga kwamba kazidi kufiwa. Ghafla Nov. 14 baada ya kusemwa na majirani Unatoa pole!! Huu ni unafiki Grade 1.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…