JOHN NCHIMBI NI NDUGU WA KINJEKETILE?

JOHN NCHIMBI NI NDUGU WA KINJEKETILE?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,250
Reaction score
98,243
Vita ya majimaji iliongozwa na Kinjeketile na akaweza kuwashawishi wananchi wengi vijana wakajiunga na jeshi lake.

Vita ya majimaji ilikuwa na wapiganaji walikuwa na Imani kubwa kuwa watawashinda wazungu pamoja na hawakuwa na uwezo wa kuwashinda.

Leo hii tunashihudia John Nchimbi akionyesha ushawishi uleule wa Kinjeketile wa kuaminiwa na wana ccm kiasi cha kumkinbia bi Msumi na kujiunga na Nchimbi.

Huu mchezo unaenda kaimaliza CCM mapema sana kuliko tulivyofikiria .

Watakuelewa wachache ila vilio itasikika baada ya 2030.
 
Hakuna kitu kama hiko Mkuu. Ukiisoma barua yake vizuri yuko very clear - ameachana na UTUMISHI WA UMMA na SIASA. Further, anaendelea kuwa mtiifu kwa Mh. Rais. Tusianze kuhisi mambo yasiyokuwepo.
 
Hakuna kitu kama hiko Mkuu. Ukiisoma barua yake vizuri yuko very clear - ameachana na UTUMISHI WA UMMA na SIASA. Further, anaendelea kuwa mtiifu kwa Mh. Rais. Tusianze kuhisi mambo yasiyokuwepo.
Hata mtoto mdogo anapokuwa anaumwa mzazi akiamua kumpatia kidonge huwa anadanganywa kuwa kile kidonge ni pipi
 
anayemiliki jeshi ndiye mshindi, hivyo hao ccm hata kama wakimkataa maadamu hawana jeshi hakuna mahali wataenda au unafikiri museveni anatawala vipi ug? wabaganda ni majority ug na wote hawamtaki lkn museveni anamiliki jeshi.
ndiyo maana kwa maoni yangu tulipofikia mambo ya demokrasia tusahau na tuangalie njia nyingine za kuirudisha nchi yetu ilipokuwa mwanzoni kabla ya kupokwa ...
 
CHIMBI KATUKOSEA SANA WATANGANYIKA.KAMANDA MZURI HAKIMBII UWANJA WA VITA.ALITAKIWA KUPAMBANA KWA KUWASHAWISHI WATANGANYIKA KUDAI KATIBA KWA NJIA YEYOTE HUKU YEYE AKIWA KWENYE NAFASI YAKE NA KUTUJULISHA WATANGANYIKA KUHUSU MADUDU ANAYOYAFANYA HUYU MJAMBIANI.KUWA NJE YA UWANJA WA VITA NI UOGA
 
Ni ndugu yake na Oscar Kambona katika siasa na kanda. Watu wa kusini tunapigwa vita sana hapa duniani.
 
Back
Top Bottom