Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.
Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu
Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
arusha
biashara
habari
hawapendi
hawataki
kelele
kiwanja
kufanya
kujengwa
kuona
kusikia
maeneo
maslahi
miaka
namna
ndugu
sababu
sababu za
sabotage
sana
serengeti
ubinafsi
ujenzi
ujenzi wa uwanja
uwanja
wabinafsi
wabunge
wanaopinga
wao
zao
Wewe unajitoa kupanga bajeti, kupanga uzazi na vingine vingi ili tu, usirudi ulipotoka.
Halafu wapo watu ambao hufanya maamuzi waonavyo vyema, huku wakihitaji support
Kununua umeme
Kodi
Mtu kakimbia shule ila anataka utume pesa ya kujikimu n.k
Kisa na sasabu - "udugu"
Hata kama una akiba...
Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu si haba. Kinachashangaza kuhusu mume wangu hapendi kuona ndugu zangu kuja kwetu tulipo, either kwa...
Irene Uwoya anasema hatamani kabisa mtoto wake Krish kulala hata kwa ndugu yake kwasababu Dunia imearibika kwasasa.
"Nikweli Kwenye Malezi ya watoto kuna muda tunakosea ila mimi siwezi kupenda mwanangu aaribike hapana, Hakuna mama yeyote alieingia leba akafungua anaeweza kutaka mtoto wake...
Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.
Yaani baada ya kula na kunywa tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra...
Kama mwanaume ni mbwa basi mwanamke ni joka!
Usipaniki..hebu sikia ya huyu mwanaume kipofu..
Anasema alikuwa mtu mashuhuri, mwenye nyumba mbili na kipato kizuri tu..ghafla akaumwa upofu.
Akaachishwa kazi..akawa mzigo kwenye familia..mkewe akaanza dharau ikiwemo kumpiga na mwiko, kumvuta sehemu...
Nini kinasababisha kukwamia kwenye bao1 tu, kwa wenye umri wa kuanzia 35 years na kuendelea?
Na kama unaweza kufakamia bia6 bila breki katika umri huo, kulikoni ushindwe kuunganisha goli2 kwa1 kwenye 6kwa6?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wakuu adui namba moja wa taifa hili ni ccm wanachopigania ni chama chao kutawala ili kuendelea kuiba na kulinda walichoiba ndiyo maana watapishana vipindi vingine tu ila kipindi cha uchaguzi huitana na kuambizana ukweli kwamba chama kikianguka kila ajue kiama kinakuja, wanatafakari na kurudi...
Lango lake kuu pana barrier ndipo alipo ponea Msaidizi wa Tundu Lisu, msitu unaosimamiwa na TIS na kulindwa kwa zamu na askari wa kikosi maalumu kuhakikisha hakuna mtu anaingia huko kama hajatekwa nyara au kwa maelekezo maalumu. Yes ni hapa Tanzania Bunju huko tutakuja na google stalite view...
Speaking during the funeral of Ann Nyatoro Ndung’u, the mother of the East African Legislative Assembly (EALA) Member of Parliament, Nairobi Senator Edwin Sifuna and the Linda Mwananchi lead, delivered a direct message concerning President Ruto ahead of 2027 poll
"There is no other formula...
Baba yake alibariki huo ukatili na kusema sharia ya kiislamu inaruhusu kumfanyia chochote baada ya yeye kuaga hiyo dini ya muarabu.
Niliona pale Kampala idadi ya waislamu kama inazidi kuongezeka, haya matukio yataongezeka sana kwa mzee Museveni, kajizeekea na kuacha nchi iendelee kuharibika...
Salaam,
Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran.
Kama alitoa ndege...
Watanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi.
Uonevu utaisha siku watu wakianza kulipa kisasi, yanayotokea Tanzania yangetokea south America pasingekalika...
Uongozi ni busara na hekima, ni kupanga na kuongoza, uongozi ni ulezi (guiding) uongozi ni taswira ya sehemu unayoiongoza. Uongozi ni ku-control hisia, uongozi ni utulivu wa mwili na akili, uongozi ni kuongea kidogo vitendo vingi.
Nchini Kuna taasisi kibao zimepoteza direction sababu ya...
Nimekaa Oman kwa zaidi ya miaka 11 bila kurudi Tanzania, nikifanya kazi za ndani. Baadaye nikapata ajira nzuri zaidi kwa bahati nzuri kipato changu kikafika hadi takribani milioni 5 za Kitanzania kwa mwezi.
Kutokana na juhudi hizo, nikaamua kuanza kujenga maisha ya baadaye.
Nikamtumia mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.