ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Eng. Mos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers)

    Ndugu yetu Eng.Amos J. Mwansumbule ameandika na kuchapisha kitabu kwaajili ya Wafanyabiashara wa gesi ya kupikia (LPG) hasa hasa Wasambazaji (Dealers) na wanaotaka kufanya biashara hii. Kitabu hiki kitasaidia kuboresha namna ya kufanya biashara ya LPG ili iwe ya faida, endelevu na salama...
  2. JamiiForums Tanzania Najuta kumpa ndugu yangu PS (playstation), kawa kama Teja

    Kawa kama zombi Niliwahi kununua playstation Kwa mwanafunzi flan hivi wa chuoni alikuwa anadaiwa ada na hana pesa, aliniuzia hio mashine Kwa laki 3 na nusu, lengo langu lilikuwa niiuze hata kwa laki 5 maana hii mashine inauzwa takribani laki 8 madukani, kazi zilinitinga nikawa nimeiweka tu...
  3. JamiiForums Tanzania Ni siku gani ndugu zetu wana Mbeya nao watajua kujisimamia wenyewe?

    Habari zenu wana JF wenzangu, Ndugu zangu toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe wana Mbeya wameonesha hamasa kubwa ya kutaka mageuzi nje ya CCM, lakini wanaonesha kuwa hawana uwezo wa kujisimamia wenyewe katika kuyataka mageuzi hayo, mpaka kupitia kwa watu wengine kama vile wana Kilimanjaro na...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hawa ndugu zetu KE hawawezi toboa maisha pasipo kupata "Tag" kutoka kwa ME?

    Inakuwaje wote Mungu katupa akili sawa, ghafla kuna mtu anaamua kutamani kufugwa na kuwa chini ya uthibiti wa mtu mwingine? Yaani ikitokea mwanamke kaolewa na mtu wa chini sana, na huyo mtu wa chini akishindwa kutoboa ndiyo imetoka hiyo. Soluhisho ni kuuza K tu. Na wengi wao wanauza K hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Juisi ya msumbiji na kiti Binafsi kanisani!Ni dhahiri Ndugu yetu ana hofu!!anaogopa Nini!?

    Wakuu kwa wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!? Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza! Kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida! Juzi kwenda na kiti chake! Haamini kiti cha upako!? Ina maana haamini viti vya washirika hadi awe na chake!? Anaogopa...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi: Ndugu ni chanzo cha kesi za Ukatili wa Kijinsia kufutwa

    Afisa Polisi Jamii kutoka Mkoa wa Kipolisi Ilala Eugene Mwampondele amesema Kesi 949 kati ya 1,271 zilizopelekwa Madawati ya Jinsia katika Mahakama ya Wilaya mwaka 2018/21 zimeondolewa. Ametolea mfano takwimu za matukio ya Ukatili wa Kijinsia katika Kituo cha Stakishari pekee yameongezeka hadi...
  7. JamiiForums Tanzania Nehemia Mchechu bila ya ‘speed governor’ ni tatizo. Ndugu zangu wa mitaa ya ‘Al Muntazir’ Upanga mjipange

    Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa. Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me. Kama hela...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wana ndugu ntachomokaje hapa?

  9. JamiiForums Tanzania Pole Mzee Kikwete, hii dharau wanayo hata black Americans kwa waafrika ndugu zao. Hawaangalii hata wa kuwafanyia Uhuni

    Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni. Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na wasanii wengi wakiwemo boys 2 men. Kuna ambao aliweza pata picha zao akaja akapost na kuweka...
  10. JamiiForums Tanzania Je, bangi si haramu? Tunaelekea wapi baada ya Morocco kuhalalisha?

    Hili limenishtua sana. Morocco ni nchi ya Kiislamu kwa asilimia 99.9 inawezaje ruhusu ulimwaji wa Bhangi kwa kusema ni zao la Biashara? Hapa mbona kama wanatuchanganya?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ana siku ya nne sasa hajatoka ndani; fedha ya sensa ameimalizia katika uchaguzi wa ndani wa chama na amekosa. Nimsaidie vipi huyu?

    Amemaliza chuo si miaka mingi sana, hajabahatika kuajiriwa bado. Mungu alimuona na kumjaalia ajira ya muda mfupi ya sensa iliyofanyika hivi punde, si haba, kamilioni hivi alikashika na kwa hakika ilikuwa pesa nyingi sana kwake kwani alikuwa hajawahi kufanya dili lolote la kufikia kiwango hicho...
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, mkumbusheni mama kuwa wale ni wajukuu na sio watoto wake

    Habari zenu jamiiforums. Mama wa umri wa miaka 62 technically hawezi kuwa na mtoto wa miaka 13 wa kufanya mtihani wa darasa la saba. FROM WIKIPEDIA === Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who has been serving since 19 March 2021 as the sixth (and first...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

    Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto. Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu washiriki maziko ya daktari kwa njia ya video

    Dar es Salaam. Safari ya mwisho ya maisha ya daktari Mtanzania, Mohammed Ali Hafidh (37) aliyefariki dunia nchini Uganda kwa ugonjwa Ebola ilihitimishwa juzi, baada ya kufanyika maziko ambayo yalihudhuriwa na familia yake kwa njia ya mtandao. Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dk Aziz Milima...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection na kazi za viwandani msaada nina cheti tu cha form four nisaidie ndugu zangu

    Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya kifamilia kwaiyo nikashindwa kuendelea Sasa nipo home mwenye connection ANISAIDIE jamani....Amina
  16. F

    JamiiForums Tanzania Umekumbuka kuwatumia chochote wazazi walezi au ndugu zako?

    Tarehe kama hizo najua baadhi yetu mifuko imetuna,Kwa wale majobless msikonde iko siku..nirudi kwenye mada,je umekumbuka kutuma chochote Kwa wazazi wako,walezi au pengine hata ndugu zako..? Tujitahidi tutume chochote Kwa wazazi tusisubiri kuombwa kwani ndio baraka zilipo..kumwagilia Moto sio...
  17. JamiiForums Tanzania Confessions: Umewahi kupata hisia za kimapenzi ama kuwa katika mahusiano na ndugu yako?

    Kiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo. Niliwahi kuwa na feelings na mtoto wa mamamdogo wangu ambae niliishi nae miezi miwili akiwa likizo ya form 6...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba usimsahau Elia Wilinasi hata kwenye ukuu wa wilaya

    Kwako mama yetu Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Natumai umzima wa afya njema na unaendelea na shughuli zako za kiofisi. Mama, ndugu yetu Elia Wilinasi ni kijana safi mwenye weledi na mzalendo anayetamani kukitumikia chama cha mapinduzi katika ngazi za juu na taifa kwa ujumla...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ili kupunguza kuzuia wimbi la ndoa kuvunjika tuoane ndugu wa karibu

    Kuliwahi kutolewa taarifa hivi karibuni kuwa ndoa 300 kwa mwezi (sawa na ndoa 10 kwa siku) huvunjika jijini Dar es Salaam pekee. Ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo hili, mimi Sexless napendekeza ndugu wa karibu waoane kama wafanyavyo waarabu na wahindi. Hili likifanyika litapunguza...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaunti ya Nairobi kutupa miili ya watu 236 waliokosa kutambuliwa na ndugu

    Kwa mujibu wa taarifa, miili 218 ambayo haijachukuliwa na wahusika au ndugu wa marehemu imehifadhiwa katika Mochwari ya Jiji la Nairobi na mingine 18 iko Mochwari ya Mama Lucy. Wananchi wametakiwa kwenda kuitambua miili hiyo na kuichukua, na endapo hatatambuliwa au kuchukuliwa ndani ya siku 7...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…