Hapo vip!!
Jana usiku wa tar 17.11.2025,nimeota ndoto kuhusiana na maandamano ya tar.9.12.2025.
Na nimeona mambo haya:-
1.kwanza nikweli maandamano yatafanyika.
2.Hakutakuwa na umwagikaji damu kama yale ya mwanzo.
3.Nimeona polisi wakikataa kuwapiga risasi wananchi.
4.Nimeona waandamanaji...
Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa.
Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
Jeshi la Tanzania haliwezi kuasi kwa sababu limejengwa juu ya msingi wa historia, umoja na falsafa ya kitaifa iliyopandikizwa tangu enzi za ukombozi.
Wakati mataifa mengi ya Afrika yalirithi majeshi ya kikoloni yaliyokuwa vyombo vya ukandamizaji, Tanzania ilijenga Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
Hii ndoto nimeiota saa nane usiku na usingizi ukayeyuka kabisa
Ni mwezi mmoja sasa unaishia toka ameenda kwao mpaka sasa hajarudi
Kisa cha kutorudi ni kwasababu wakati anaondoka nilimwambia asiende hivo nikakuta ameenda kwao kulikuwa na sherehe.
Lengo ilikuwa sio kumzuia lengo nilikuwa tu...
Kwa mara kadhaa zisizopungua tatu na zikiachana kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja nimekuwa nikipata ndoto mbaya sana zinazopelekea kukosa usingizi hadi asubuhi.
Kuna muda huwa nawaza huenda huwa najisahau kusali pale ninapopitiwa na usingizi lakini pia kuna muda huwa nafikiri namna ya kulala pia...
Natamani yafuatayo
Mohamed Nchegerwa aka mkwe awe waziri mkuu,
Ridhiwan Kikwete awe naibu waziri mkuu
Wanu Hafidh awe waziri wa mambo ya nchi za nje
Salma Kikwete awe waziri wa ulinzi
Kunje ngombale-mwilu awe waziri wa kilimo
Ongeza wako.
Nafikiri kimya kimya na kichokonozi japo mazwazwa...
Habarini Ndugu zangu!
Samahani sana kijana mwenzenu nahitaj msaada au ushauri kwa maana mara nyingi huwa naota ndoto nyingi za ajabu na za kutisha lakini nikishtuka au hata kukicha nasahau matukio yote yanayohusiana na ndoto hiyo nabaki kujua tu kuwa nimeota ndoto mbaya lakini matukio kuwa ndoto...
Wakuu habari za asubuhi
Kuna ndoto nimeota zimenitisha sana naombeni msaada wenu kwa atakaezielewa.
Ndoto ya kwanza; nimeota nina chuma mfano wa bolt nakichezea mdomoni ghafla kwa bahati mbaya kikashuka kwenye koromeo, nilhangaika kukirudisha mdomoni hadi nikaamua kuchukua maji nikanywa ili...
Njozi niliyopata ilikuwa hivi..
Nilikuwepo kwenye mkutano wa ccm, (Kambarage stadium) nipo juu kwa nyuma kwenye seat za ngazi ya juu,
gafla Askofu Josephat Gwajima akiwa kwenye uniform za kijani katikati ya mkutano akaanza kuongea na kumpinga Mheshimiwa Samia Suluhu, ikatolewa amri...
Habari zenu Ndugu zangu.
Moja kwa moja kwenye main point,
Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%.
Aviator imeharibu ndoto za Vijana wengi, na wanaishia kuwa omba omba , sababu pesa hazikai, vijana wanashindwa kuwa na nuru sababu...
Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema
Ukiona unaota ndoto hizi, ndugu yangu chukua hatua! Usifikiri ni ndoto tu! Ni Mungu anakujulisha hali yako ya kiroho! Kumbuka ulimwngu wako wa kiroho ndio hali yako ya kimwili na ndio maisha yako halisi hivyo usipuzie
Angalizo: nazungumzia ndoto...
Kama kuna ndoto uliiota na ukakosa furaha kwa kutokujua maana yake itaje nitakuambia maana yake.
Hata kama hiyo ndoto umeisahau kwa Roho wa Mungu nitakukumbusha na kukutajia maana yake.
Hii ni kuonyesha tu kuwa Mungu yupo kila sehemu
Mungu anajua kila jambo
Mungu anaweza mambo yote.
Utukufu...
Mara nyingi usiku nikilala huwa sipati kabisa ndoto au nikiota asubuhi nakua nimesahau nilichoota.
Ila jana usiku nimeota ndoto ambayo imenitisha na naikumbuka kwa sehemu kubwa, siku nzima nimejaribu kuwa bize ili kuisahau ila imegoma kabisa kutoka kichwani na kuna kitu kinanisukuma niisimulie...
Watu wengi wanapolala huota ndoto. Baadhi ya ndoto ni za kawaida, nyingine zinatoka kwa Mungu, na nyingine hutokana na akili zetu wenyewe. Lakini pia zipo ndoto zinazotokana na shetani. Ndoto za kishetani huleta hofu, mateso na kumfanya mtu akate tamaa. Ndoto za kishetani hazifurahishi bali...
Habari za muda huu ndugu zangu, mimi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 23. ni kwa muda mrefu sasa n nimekua na ndoto ya kuwa kocha mkubwa wa mpira wa miguu lakini sina support.
Kwa anayejali na ambaye atakua na uwezo ninaomba anisaidie ili niweze kutimiza ndoto zangu.Ninahitaji msaada wa...
Wakuu mambo vipi
Kuna muda unakaa unawaza hakuna muda uliwahi kuishi kwa furaha unahisi shida ulizopitia ni nyingi kuliko siku za furaha na maisha nyumbani sio mabaya sana wazazi wote wapo ila tu unataka upambane mwnywe kwa ajili ya maisha. Yako
🌍 Kuna watu wanatoka familia ambazo wazazi wao...
Itakuwa ndoto sana mtu unawaza eti traore angekuwa mtanzania.
Mnahitaji miujiza km Gaddafi au traore wahenga wanasema nabii hakubaliki kwao wapo watu km traore tanzania ila tunawaona takataka wanatuchelewesha nchi ya ahadi.
Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu.
Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate.
Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.