ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Tumjamaa tumefanikiwa kusimamisha uchaguzi. Kila aliyekaribia kituo cha uchaguzi aliwasha ile mbaya

    Sijui hutu tumjamaa tulikuwa tumetumia nguvu za giza au tulikuwa tumemwaga upupu kwenye kila kituo cha uchaguzi. Kila aliyekaribia kituo alianza kuwasha mwili mzima. Jinsi alivyokuwa anakikaribia ndvyo alivyozidi kuwasha na kumfanya arudi nyumbani. Ukiondoka kwenye kituo kuwashwa kunaisha...
  2. Surya

    JamiiForums Tanzania Ndoto zinazofunua Adui zako wa siri. (Dreams that reveal your secret Enemies)

    Ndoto zinazofunua Adui zako wa siri. 1. Endapo kuna mtu unayemjua kukuwinda kwa Bunduki au kisu (When someone you know chasing you with a Gun or knife) ~Haijalishi mtu huyo unamahusiano gani mazuri ni rafiki au ndugu yako, kaa ukijua ana mpango mbaya juu yako, maybe akutumie kwa manufaa yake...
  3. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Kuajiriwa vs Kujiajiri: Uhuru wa Fedha au Mateka wa Ndoto?

    Wacha tuseme ukweli, siku hizi watu wakiambiwa "nimeajiriwa", wengi hawachangamkii kama zamani. Lakini ukisema "nimejiajiri", jicho la heshima linapanda — watu wanakuona kama Elon Musk au Bakhressa wa kitaa! 😂 Lakini ukweli ni upi? Kazi ya kuajiriwa ni kifungo cha ndoto zetu au ndio njia pekee...
  4. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Nini maana hii ndoto?

    Wasalaam,kuota ni kawaida kibinadamu.Ila natamani nijue maana hii ndoto. Nimeota nimeshika Hot Pot ina Pilau nzuri sana.Nikawa napita njiani watoto wadogo wananifuata wanataka niwape. Nikawa nawapa kidogo ila bado wanataka na wananifuata. Wadau nini maana yake
  5. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto ya ajabu muda huu...

    Wakuu wasalam Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota ndoto ambayo nitasimulia kama ifuatavyo Nipo chumbani nimelala mwenyewe mda huo mama pia yupo kwake...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere Angefufuka Leo Hii Angebubujikwa Machozi ya Furaha Utafikiri amepigwa Bomu la Machozi na Kumshukuru Rais Samia kwa kutimiza Ndoto Zake

    Ndugu zangu Watanzania, Kama leo hii Kungetokea muujiza Wa Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kufufuka kutoka Kaburini Butiama alikofumba macho na alikolala Usingizi wa Milele na kurejea hapa Nchini na kutazama yale yanayofanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  7. dosho12

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu ndoto na ufahamu

    Unafumba macho yako na kila kitu kinapotea mwili wako unabaki kwenye kitanda ila akili yako inaenda sehemu ambazo zinaonekana kuwa na uhalisia kama vile uwapo macho, ila ni wapi hasa ufahamu wako unaenda pale tunapo lala, kama usingizi ni kupumzika mbona akili yako hutengeneza sehemu,mazungumzo...
  8. FYATU

    JamiiForums Tanzania Ndoto kama hii imekaaje?

    Ingawa mimi si muamini sana wa ndoto niotazo,nikiamini kuwa ni mambo ya kawaida tu ila juzi juzi hapa kuna jambo limeniacha na maswali.Niliota ndoto nimekutana na Nyoka wa kijani uso kwa uso,wakati tunaangaliana na nikiwa nimepoteza matumaini ya kumuepuka mara nikagundua yule Nyoka alikuwa...
  9. Frank Mazagazaga

    JamiiForums Tanzania Kuna ndoto ambazo haziwezi kubebwa na mwili mlegevu

    “Ndoto zako hazistahili gari mbovu.” Hii ndiyo kauli kuu kutoka kwa mwanafikra kutoka mwaka mwaka wa mbele, anayerudi kuandikia kizazi cha sasa — kizazi kilichojaa ndoto kubwa, motisha kali, lakini miili dhaifu. "Leo nataka nikushike mkono kwenye jambo linaloonekana dogo sana — lakini ndilo...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Safari ya Ndoto: Tembea Mount Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Arusha NP, Chemka & Serval, Tuondoe Mawazo, Tuijue Tanzania Yetu!

    Ndugu wanajamvi wa JamiiForums, Kwa heshima na taadhima, naomba kuwasilisha rasmi pendekezo la safari ya kipekee ya adventure na utalii wa ndani (Domestic Tourism) inayolenga kutuvusha kutoka katika pilikapilika za maisha ya kila siku, kwenda kwenye maeneo yenye utulivu, mandhari ya kuvutia...
  11. SIR.NOM

    JamiiForums Tanzania Timiza ndoto zako za Ujasiriamali,kwa kupitia uzi huu

    Fanikisha ndoto yako ya ujasiriamali.Kwa kujipatia ujuzi mwenyewe kupitia simu janja yako.Kwa kujisomea vitabu vya kwenye makundi yafuatayo; #UfugajiWaKuku #KuleaVifaranga #ChakulaChaKuku #KilimoChaVitunguu #KilimoChaNyanya #KilimoChaTangawizi #KilimoChaTikiti #IceCream #Bites #Mapishi nk...
  12. SIR.NOM

    JamiiForums Tanzania Timiza ndoto za Ujasiriamali wako,kupitia uzi huu

    Fanikisha ndoto yako ya ujasiriamali.Kwa kujipatia ujuzi mwenyewe kupitia simu janja yako.Kwa kujisomea vitabu vya kwenye makundi yafuatayo; #UfugajiWaKuku #KuleaVifaranga #ChakulaChaKuku #KilimoChaVitunguu #KilimoChaNyanya #KilimoChaTangawizi #KilimoChaTikiti #IceCream #Bites #Mapishi nk...
  13. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Ndoto za Ujana, Siasa za Ugaibuni

    "Wanasiasa wengi wa upinzani Afrika ni kama watoto wa Kitanzania waliokuwa na ndoto za kuwa madaktari, marubani, wahadisi n.k., hadi walipopewa hesabu ya kidato cha pili, wakaamua bora wauze chipsi."— Alloyce, P.R. 😄
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu Mkubwa wa kuwa na ndoto kubwa sana

    Ni nani Leo angejua mtoto wa kimasikini kutoka Tandale angefanya Show Uingereza London na ticket kuwa sold out In this life everything is possible keep chasing ur dreams and don't give up.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Makinika! Hakuna tofauti ya ndoto na mtu, ndoto ndiyo mtu mwenyewe

    Salaam, Shalom! Ndoto ni Nini? Umewahi ota ndoto ukadhani unaota? Usilolijua ni kuwa, hakuna kinaitwa kuota ndoto! Ukisikia Imeandikwa akalala, Kisha akaota ndoto, SI maigizo, ni tukio halisi la wewe mwenyewe kuona kwa macho ya Roho Katika ulimwengu wa Roho. Mtu alalapo, afungapo macho ya...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Namshukuru Rais kwa kunifanya Mnyiramba wa kwanza kusaini kwenye noti ya nchi. Nimetimiza Ndoto ya muda mrefu

    Mwigulu ajivunia kutimiza ndoto ya muda mrefu kusaini noti ya Tanzania "Kipekee nimshukuru Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuniamini kutumikia Taifa kwa nafasi ya Waziri wa Fedha tangu alipoingia madarakani. Huu ni uthibitisho wa imani kubwa aliyokuwa...
  17. nipo online

    JamiiForums Tanzania Watoto ninaowafundisha hakuna alie na ndoto ya kua mwalimu hi imekaaje?

    Kwamba career yangu inadharauliwa adi na watoto? Nimemaindi sana
  18. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto...

    Walikuwepo watu wengi, wengine wazungu, wengine waafrika. Nilikuwa nafanya discussion na mwanamke mmoja wa Kizungu. Tulikuwa tunaongea lakini yeye alikuwa mbali kidogo, anaongea sisikii vizuri. Yeye hajaelewa kwamba simsikii, kwamba anaongea peke yake. Nikawaambia walio karibu naye wamwambie...
  19. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Gorofa yenye master bedrooms juu siyo ghali kihivyo so timiza ndoto yako usiogope call us +255624004650

    HAPA CHINI 3BEDROOMS JUU MASTER BEDROOMS NA KASEBULE KDGO YAAN SIMPLE NA AFFORDABLE SANA PLOT SIZE KUANZIA 20X20M AU 20X30M UNAHITAJI NN ZAIDI CALL US +255624004650 OFISI ZETU ZIKO SINZA DAR ES SALAAM PICHA ZA IDEAS ZINGINE KWA CHINI
  20. Surya

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Ndoto: Ukiona Mbwa (Dog) kwenye ndoto

    Ukitaka kutambua siri iliyojificha ambayo haina ushahidi wa kutosha kwa macho ya nje unahitaji sana kujua ulimwengu wa roho, Mchawi ni mtu wa kiroho ndio maana anaweza kufanya mambo mengi ya ajabu ambayo binadamu wengine hawawezi, ni ujuzi na maarifa (elimu) anakua nayo. Ipo hivo hata kwa mtu...
Back
Top Bottom