ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu dhana ya ndoa

    NINI MAANA YA DHANA YA NDOA? Kwa mujibu wa sheria ya Ndoa ya Tanzania, ikidhibitika kuwa mwanaume na mwanamke wameiishi pamoja kwa miaka miwli au zaidi, katika hadhi ya mume na mke, basi kutakuwepo na dhana ya ndoa. Sheria hii, imedhamiria kukomesha kama si kupunguza ile tabia ya wanaume au...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu

    Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa. Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda. Wakati mwingine huwa...
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

    Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu. Mchungaji Mitimingi alizaliwa mwaka 1975. Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG kama mchungaji msaidizi na baadaye kuanzisha huduma...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini pete ya ndoa inavaliwa mkono wa kushoto?

    Wengi wetu tunajua na tunaona pete za ndoa zikivaliwa na wanandoa katika kidole cha pili kutoka mwisho, mkono wa kushoto. Naomba nisaidiwe kujua, Je, ni kwa nini pete hiyo ya ndoa inavaliwa kwenye kidole hicho cha mkono wa kushoto na si kidole kingine kwenye mkono huohuo au mkono wa kulia...
  5. JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mpenzi wako kuweka kikwazo cha kuanza maandalizi ya ndoa kwa kusingizia Corona?

    Anasema hebu waombe wazazi tuvutevute subira hadi mwezi wa 7 tuone hali itakavyokuwa ndo tuone cha kufanya, ameambiwa mshikaji mmoja ambaye kashamtambulisha mwanamke kwao ila kwao na mwanamke jamaa katambulishwa juu juu tu, akisema go ahead ya mshenga ni mpaka Corona iishe. Nimemuuliza je una...
  6. JamiiForums Tanzania Mnaojua sheria ya ndoa njooni tujadili kuna tatizo

    Habari za muda huu wanagenzi,leo nimeona nianzishe uzi huu ili niweze kuwashirikisha na nyinyi katika hili ambalo limekuwa likiniumizakichwa kwa kiasi kikubwa kulitafakari kwa muda mrefu bila kulipatia majibu.hivyo kupitia jukwaa hili ni Imani yangu kuwa ninaweza kupata suluhisho juu ya swala...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu nimeachwa mwenzenu

    Naandika haya simanzi nzito kichwani na moyoni[emoji22][emoji22]. Nimeachwa na mwanamke nimpendae, sijui nifanye nini. Nina vidonda tumbo vilikua vimetulia muda mrefu vimenijia now kwa mawazo niliyonayo, sijui hata nifanyeje. Sijui nitakua mgeni wa nani mimi, nahurumia moyo wangu ulizama kwake...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hataki kuzaa kabla ya ndoa

    Habari wana jf, mimi ni kijana wa miaka 32. Nipo kwenye mahusiono ya miaka 5 na binti wa watu mmoja. Nimekuja hapa jf kuomba ushauri kwa wakubwa zangu wenye uzoefu wa hili jambo maana linanitatiza. Kipindi tuna miaka 3 kwenye mahusiano, mpenzi wangu alipata mimba ila bila kunipa taarifa aliitoa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini watu waliooa hudhani wanapata tendo la ndoa bure kuliko ambao hawajaoa?

    Watu wengi waliooa hudhani wanapata tendo la ndoa bure au kwa urahisi kuliko sisi ambao hatujaoa na mara nyingi watu wakitaka uoe hua wanakutamanisha kua oa uwe unakula tunda bila wasiwasi na bure kabisa. Walio oa hutuona sisi ambao hatujaoa kua tunagumia gharama sana kupata tendo au kula...
  10. JamiiForums Tanzania Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

    Hili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja nikamkaribisha nyumbani kwetu akawa kama mtoto wa familia yetu kabisa. Baba yangu alikuwa anamlipia...
  11. JamiiForums Tanzania Kama uliolewa ukiwa "single mother" na ndoa ikadumu njoo uwape moyo wenzio!

    Vijana wengi wa kiume wamekuwa wakiwapomda sana single mama kwa kuwakashifu kuwa hawawezi kuolewa. Wanaume weng wanaamin kuwa ukimuoa single maza atakusumbua kwa tabia mbaya hasa ile ya kuwasiliana na mzaz mwenzi. Lakn ukweli ni kwamba single maza wanaolewa na wanakalika katka ndoa! Wewe...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke njoo usimulie ulivyompata mme wako wa ndoa!!

    Wanawake hupata wanaume wa kuwaoa kwa njia mbalimbali kama vile: 1.ulimpa tunda kimasihara baadae akawa mmeo 2.ulienda kuombewa kwa mchungaji 3.ulitafta mtandaon 4.alikuwa mwalimu wako darasan 5.alikuwa mpangaji mwenzio 6.alikuchumbia Wanawake karibun mtaje njia mlizotumia kuwapata wanaume...
  13. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lasema ndoa zitaendelea kufungishwa ila watahusika Wanandoa na Wasimamizi wanne tu

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaitwa Padri Dr. Charles Kitima amefafanua tamko la Kanisa Katoliki kuzuia watu kufunga ndoa nakusema hawajazuia sakramenti hiyo ila wamezuia wale wanaotaka kufanya sherehe. “Ibada ya kupokea Sakrament ya ndoa na kipaimara hizi shughuli...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lasitisha huduma za kufungisha ndoa na ubatizo hadi pale ugonjwa wa COVID-19 utakapodhibitiwa

    Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa. Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa. Baba...
  15. JamiiForums Tanzania Mtaalam: Ukiona Umeolewa au Umeoa na ndani ya Mwaka Mmoja hamfanani Sura jua hiyo Ndoa ni Batili na hakuna Upendo hapo

    " Ukiona tu Mtu ama Kaoa au Kaolewa halafu wakikaa muda wa Mwaka Mmoja tu hawajaanza kufanana Sura zao jua Kwanza Damu zao hazikuendana na kama Damu zao tu hazikuendana Kibaiolojia hapo jua ya kwamba ule Upendo wa Asili haupo. Wanaume wengi wanaoa kwa Kuangalia tu Mwonekano wa Mwanamke na...
  16. JamiiForums Tanzania Ameponzwa na safari za dada kuiweka ndoa yake sawa ameolewa na mganga wa kienyeji

    Yametokea huku kwetu Nanjilinji. Salome alitolewa posa na kijana kutoka DSM. Tulifahamishwa mchumba wa Salome wakati tunashonewa sare za wasindikizaji harusi. Baada yaharusi Salome alindoka kwenda DSMna mume wake. Haikuchukua muda alimtumia nauli mdogo wake Esther amfuate huko DSM. Baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mchepuko atendae visa vya kutikisa ndoa

    Huyu kaka mstaarabu flani umri 39. Amepata uhamisho kwenda Dodoma. Huku Dar alijiweka vizuri, mke wake ana pika mama ntilie lakini ni wale mama ntilie wa kishua ana pick up yake ya kuendea machinjioni na kwenye soko la ndizi. Jamaa amafika Dodoma alikaa guest house wiki moja, wiki ya pili...
  18. JamiiForums Tanzania Corona imetunfundisha maana ya ndoa. Tupo nyumbani 24/7 na tuliowachagua

  19. JamiiForums Tanzania Wanawake fungukukeni ili tuokoe ndoa zetu

    Wanawake nawaomba muwaweke wazi wanaume kwa kutaja vitu vinavyowapelekea mtoke nje ya ndoa Mkiwa wazi kwa kusema ukweli mimi naamini tutaokoa ndoa nyingi sana. Karibuni
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ya mapenzi na tendo la ndoa tulioyatoa kwa wanyama

    Kula denda - tumetoa kwa njiwa. Kulambana sehemu za siri - Tumetoa kwa Mbuzi na mbwa. Kuwa na mke mmoja hadi kifo - tumetoa kwa njiwa. Mwanaume na mwanake kusaidiana katika kulea mimba - njiwa wanavyoasidiana kulalia mayai Style ya mwanamke chini mwanaume juu (missionary position) - tumeitoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…