Pamoja na changamoto mbali mbali za dini ya kiislamu. Baada ya kuchunguza sana nimegundua katika ndoa na mfumo wake ni Ndoa bora zaidi kuliko za Kikristo .
Kama ningeweka katika % basi Ndoa za Kiislamu ni 90% ubora na za Kikristo ni kama 40%
Kwa nini nasema hivi?
Kwanza mimi ni mkristo na...
Imam aliyemwoa mwanamume mwenzake akidhani ni mwanamke amefutwa kazi na baraza kuu la Waislamu Uganda.
Huku mjadala kuhusu kama kweli alifahamu jinsia ya bi harusi wake wiki mbili zilizopita alipofanya nikka naye, baraza hilo linasisitiza kuwa kuna dosari kubwa kwa upande wa imam huyo na...
Kiukweli nashindwa kuelewa uhalali wa ndoa ya mkeka
Ndoa ya mkeka ni ndoa ambayo huwalazimisha vijana kuingia katika ndoa kuwaepusha na kuendeleza zinaa
Hufanywa kwa kuwavamiwa watoto hao wawapo faragha na muda huo huo ndoa hupishwa na kufungishwa na shekhe
Ndoa hizi zimekuwa zikihusishwa na...
Hivi kwanini kabila na umri vinachangia kuzuia ndoa au kuruhusu ndoa? Mfano utaulizwa huyo mwanaume ana umri gani ukisema tupo sawa watu wana doubt, why?
CHUNGU LAKINI DAWA
Kama hana bikra usimuoe, achana naye. Tafuta mwenye bikra ujichukulie mwali.
Kama hana bikra usitoe mahari kama umeamua kuoa. Toa mahari kwa mwanamke uliyeikuta bikra kwake. Mtu hana bikra unatoaje mahari.
Kama hana bikra usifanye harusi. Harusi ni kwa mwanamke mwenye bikra...
Wanaume nchini Tanzania wanapaswa kuongeza umakini zaidi wakati wa tendo la ndoa kutokana na kushamili kwa matukio ya kukatwa nyeti zao na wapenzi wao.
Siku kadhaa zilizopita askari polisi mkoani shinyanga (28) alikatwa nyeti na mke wake na leo Mkazi mmoja wa Wilayani Serengeti amekatwa sehemu...
Bima ya Afya nchini, NHIF, sasa itakuwa inagharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja.
Vile vile, bima hiyo pia itakuwa sasa inagharamia watoto watano tu baada ya mageuzi ambayo yalianza Januari 1, 2020.
Bima ya afya humu nchini NHIF...
Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa.
Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana vitombi au...
Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa.
Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana walaini kwa...
Habarini!
Niende kwenye mada.
Jamaa yangu wa mbali lakini niliye na uhusiano nae wa karibu kabisa kwa mambo mengi na msiri wangu mkuu alioa mwanzoni mwa mwezi uliopita, ilikuwa tarehe 2.
Leo asubuhi ya saa tano hivi alinijia nyumbani akiwa amefadhaika mno, nilistuka! Alichonieleza na ambacho...
Kuna sababu nyingi kwa vijana kutoingia kwenye ndoa. Lakini sababu zinazojulikana zaidi ni hitaji la kifedha, kujiandaa binafsi, na ukosefu wa mwenza anayefaa.
Sababu hizo mbili za mwisho zinachukuliwa kama jukumu la utamaduni.
Kutokana na tamaduni juu ya maswala ya ngono, familia, na dini...
Ni mwanamke wa kwanza kumjua maishani .. Na ndio amekuwa mke wangu ... Ndio demu wangu wa kwanza 1999 primary za kinguonguo) na mpaka leo ndio mke wangu nlikutana nae tena 2002 ...Wa ndoa ....
Baada ya kujifungua huyu mtoto wetu ... Yaaani alinipotezea kabisa ....hamu ya tendo sijui...
Heri ya mwaka wandugu.
Ukweli nimeona nije na hii ID kabisa tu maana uchungu nilionao moyoni nahisi kufikia point ya kuhitaji msaada.
Nilikuja na ID hii mamii90 kuomba ushauri tu. Naomba uangalie ule uzi wa familia ya mume ndo utapata muendelezo wa hii.
Watu wengi walionishauri walisema ongea...
1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani
Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli.
2. Anakulinganisha na mpenzi wa...
Wanandoa wakongwe zaidi duniani wanaoishi nchini Marekani, John na Charlotte Henderson kusheherekea miaka 80 ya ndoa yao.
Kwa mujibu iliyoandikwa na jarida la Washington Post, Charlotte (105) na John (106) wanandoa ambao wamedumu kwenye ndoa kwa miaka 80, ndoa yao inasemakana kama ndoa...
Ile tabia ya wachumba kufanya sherehe za gharama kubwa wakitegemea michango ya watu imewagharimu uhai wanandoa mara baada ya harusi yao huko Kenya.
Walikodi hoteli ya nyota 5, walikodi helikopta na mbwembwe nyingine nyingi wakiamini michango itawacha wakiwa mamilionea baada ya harusi. Lakini...
Habari wana JF
Mimi nilifunga ndoa ya bomani, ila ndoa yangu iliingia doa na uwezekano wa kurudiana imeshindikana.
Nilikua naitaji kujua taratibu za kuvunja ndoa za bomani, maana sheria inataka ndoa za Kiislam tu ndio zivunjwe mahakamani, ila za Kikristo na za bomani hazijazungumziwa.
Asanteni.
Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani)
Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama...
Habarini WanaJukwaa Pendwa la MMU!
Katika Pita pita yangu nimekutana na Msuguano Mkali wa Juu ya Raha ya Kuwa na Ndoa ama Kutokuwa kwenye Ndoa.
Kuna Wengine Wamesema Ndoa ina Raha saana maana Ndiyo Utimilifu wa Maisha wenyewe. Wamedai kuwa Ukiwa Nje ya Ndoa maanake kunakuwa kama Kiungo...
Napenda kujifunza kutoka kwenu especially kwa wale walioko kwenye ndoa na wale ambao hali kama hii ishawatokea.
Je ukimfumania mwenza wako anachepuka ndani ya Nyumba yako kiasi cha kwamba kukatokea ugomvi uliofanya jamii nzima ijue unagongewa unaweza kumsamehe mwenza wako na kuendelea kuishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.