ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Ndoa yangu changa inataka kuniua

    Wahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana. Huyu mwanamke nimejuana naye miaka miwili kabla sijaamua kumuoa, ingawa pia maamuzi ya kumuoa yaliharakishwa na kumpatia ujauzito akiwa mwaka wa pili chuo. Matatizo sasa yanaanzia hapa: 1. Baada ya kumuoa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Pigo kwa kambi ya Mabachela TBC: Mtangazaji Asheri Thomas Mwaipopo afunga Ndoa

    Asheri Mwaipopo ni mtangazaji wa TBC na amefunga Ndoa takatifu na Godliver David Yanga kwenye Kanisa la Baptist Kolosai huko Wilayani Tunduma Mkoani Songwe
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa huwa zinaua ndoto zenu za maisha?

    Wajumbe Wazima? Ni yuleyule Mr. Liverpool from Anfield. Baada ya salamu hebu twende direct kwenye mada. Kwanini mkishaoa huwa ndoto zenu zina kufa? Scenario 01:- Walimu wa2 from Songwe. Hawa jamaa nilikutana nao 2012 Tunduma, tukawa marafiki. Kwenye maongezi yetu nikagundua waliajiriwa 2011...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wa kubadilisha namba ya simu baada ya harusi?

    Hivi kuna ulazima wowote wa kubadilisha namba ya simu baada tu ya kuoana? Nyie mnaobadilisha sababu gani inawafanya mbadilishe namba zenu za simu?
  5. JamiiForums Tanzania Wapenzi walioanzia Chuoni ndoa zao zinadumu sana

    Ukipata nafasi oa/olewa na mpenzi wako ambaye mpo wote chuo sababu mnajuana uhalisia. Tafiti isiyo rasmi inaonesha waliooana na wapenzi wao wa chuo ndoa zinadumu sana. Na Ndoa nyingi za wapenzi walioanzia chuo zilidumu sana.
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake mnajua muda mwingine mnakwaza?

    Hii tabia ya kupanga sherehe kwa kutegemea michango ya watu Ife mtakuja kununia watu bure[emoji2219][emoji2219]mtu unapanga sendoff ya milioni kumi wakati wewe mwenyewe huna hata uwezo wa kutoa milioni mbili,unapanga ndoa ya milioni 20 Wakati wewe mwenyewe hata hela ya suti unategemea uchangiwe...
  7. JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kuwa 'Mzee Mathias Gwajima' amtaka Dkt. Dorothy kutotumia jina la Gwajima

    Amewataka: : Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu : Dorothy ni mke wao : Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko : Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu. : D oroth anasema nilikamatwa na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu alibadilika baada ya kumfungulia biashara. Nifanye nini kuokoa ndoa yangu?

    Habari za Jumapili wanajamvi. Niende Moja kwa Moja kwenye mada inayoniumiza kichwa mpaka nakosa amani ya moyo kwa muda wa week sasa. Mimi na mke wangu tangu tufunge ndoa huu ni mwaka wa tisa. Hatukuwahi kuwa na migogoro mikubwa ingawa mikwaruzano ile midogo ilikuwepo. Sasa katika kipindi cha...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ndoa kati ya Kampuni za Mawasiliano na Serikali kuhusu tozo ni kichomi kwa Wananchi

    Ndoa kati ya kampuni za mitandao ya simu na serikali inayohusu tozo kwenye miamala mbalimbali inayofanywa kwa njia ya simu, pamoja na ndoa kati ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) zimekuwa ni ndoa kichomi kwa wananchi kutokana na mlundikano wa kodi...
  10. JamiiForums Tanzania Namna nilivyofunga ndoa kwa harusi nzuri na kubwa (ya ndoto yangu) bila kuchangisha wala kukopa

    Wasalaam, Kuna wadau wanaumizwa sana na madeni ya harusi baada ya kufunga ndoa, inampelekea mtu mpaka muda wa miaka minne akilipa tu deni la harusi ya ndoa yake. Kuna jamaa mmoja kwenye Ofisi yangu ya zamani alifunga ndoa kwa sherehe kubwa na baada ya miezi mmoja akawa anadaiwa karibia na kila...
  11. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anapobadilika na kupunguza hamasa za kimapenzi ni nini cha kufanya ili kumrudisha kama zamani?

    Kuna tabia ambazo tuseme ukianza kuziona kwa mtoto wa kike ambae ni mpenzi wako kama ilivyokuwa zamani unajua hapa kuna kitu hakipo katika penzi lenu kama zifuato. Hakutafuti usipomtafuta, unapoanzisha mawasiliano na yeye anaonekana hajisikii kuzungumza na wewe. Unapomueleza hisia zako wala...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Niwatie moyo "single mothers"

    Miaka kadhaa iliopita dada yangu alizalishwa, na yule mwanaume alijibu jeuri sana wazazi walipomtafuta kumuuliza kuhusu kumpa mimba Yao, Kwa jeuri nyingi alisema amebeba kwa umalaya wake. Miaka Mingi imepita yule baba alienda alioa kwa harusi kubwa sana akabahatika watoto wawili na yule mkewe...
  13. JamiiForums Tanzania Ndoa Ya Muuza Chakula (Shilole) na Mpiga Foto (Tommy D) Inakaribia Kuvunjika

    Wakuu Tazameni Hii Video Kati Ya Muuza Chakula na mpiga 📷 walivyozinguana Hadharani.
  14. JamiiForums Tanzania Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana

    Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata watoto wanne. Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu. Mama Agness ameniliza sana. Daaah talaka inauma sana kwa mtu uliyemzoea. Nimemuuzi mtu niliyempenda. Ndiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utaratibu wa kufunga ndoa ya kiserikali

    Wakuu habari za majukumu. Tafadhali kwa anayefahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali naomba anieleweshe Gharama zake zipoje na ni vitu gani vinahitajika ili niweze kufanikisha Ninachohitaji zaidi ni cheti cha ndoa kama kuna member anafahamu utaratibu mwingine wa kupata cheti cha ndoa...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa kike aliyeko serious

    Salaam! Mimi ni kijana wa 44 years Mjasiriamali Niko Arusha Nimekaa kwenye ndoa miaka 16 ila ilikuwa ni ndoa yenye vioja vingi sana Na hatimaye tukaachana rasmi Nina watoto 3 Maisha yangu ni ya uchumi wa kati kama Tanzania vile Nahitaji Dada mzuri wa umri wa si chini ya 30 - 40 Asiwe Mchaga...
  17. JamiiForums Tanzania Wapenzi wangu wa zamani wameolewa lakini naendelea kuwatafuna kama kawaida

    Sijaona 'significant' difference kabla hawajaolewa na baada ya kuolewa. Naendelea kuwabinya kama kawa. Labda tofauti ndooogo iliopo ni vizinga. Sasa hivi hawanipigi mizinga ya kipumbavu. Si wanahudumiwa na waume zao bana? Sana sana huwa naingia gharama za nauli kuwavuta waje machinjioni. Maana...
  18. JamiiForums Tanzania Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

    Habari za muda huu wapendwa katika bwana. Naomba niseme hili kwa uchache tu. Mabinti wengi wamekuwa moto mno na kujikuta wanangukia pua wakitangaziwa ndoa na hawa watoto wetu wa kiume wenye mikakati yao, bila kuchukua muda wa kumsoma na kumfahamu muoaji, mwisho wa siku wanatutesa wanandugu...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi: RITA Kuanzisha mfumo wa usajili wa ndoa kwa njia ya Mtandao

    Prof. Kabudi alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya nne ya usajili wa matukio muhimu ya binadamu yaliyoandaliwa na RITA na kusema mfumo huo utasaidia kutoa nakala mtandaoni kabla ya nakala ya cheti cha ndoa kutolewa. “Kabla mfumo huu haujaanza kufanya kazi, wadau...
  20. JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

    Sad, alikuwa single mom, watu wakachonga sana. Huolewi coz ni Malaya, kama si Malaya mbona umezalishwa hujaolewa na blah blah kibao. Akaona isiwe shida kwa kuwa natongozwa ngoja niolewe na yeyote yule. Akajivutia msukuma ambaye si mtumishi bali mkulima. Kumbe msukuma naye kaenda kimalengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…