ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

    Anakuwa na sifa hizi:- Anakuwa mnyenyekevu Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni Ukitaka kumtoa...
  2. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wenye funzo kwa wanawake *Majuto ni mjukuu*

    MAJUTO NI MJUKUU Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

    Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje. Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Wazazi tuache kuharibu ndoa za wenetu

    Habari za wakati huu wan JF. Nimekuja na kitu kingine, sio kipya ila nilikiandika kwa sehemu tu na nikaona imepata mwitikio mkubwa sana, hivyo nikaona kuwa nina wajibu wa kuandika zaidi ili kudadavua uzi wangu. Imekuwa ni kawaida kwa watu wanapooana kwa ndugu kuja kukaa na Wana ndoa hao hasa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Walimu na manesi wengi hawako 'single'?

    Nimefanya kautafiti kadogo, nikagundua walimu na manesi wakike wanaolewa kwa wingi sana ukiringanisha na hizi fani zingine. Ni vigumu sana kukuta nesi au mwalimu ambaye yuko kazini kwa zaidi ya miaka mitano kuwa 'single'. Wakuu nauliza kwa nini inakuwa hivyo, au wao wanajua sana kupenda, au...
  6. JamiiForums Tanzania Kosea vyote, usikosee mume

    Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu. Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao. Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanawake huwa na agenda ya siri kwenye ndoa?

    Salaam wanaJF! Kuna riwaya moja, nilikutana na mtazamo huu kuwa wanawake huwa na agenda za siri kwenye ndoa zao na sio Mapenzi. Kuwa na agenda ya siri haimaanishi kuwa ni nia ovu, bali ni sababu halisi na sio inayosemwa/kuonekana. Je, hili lina ukweli kiasi gani? Esi’s main problem was that...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Ndoa ni chanzo cha umaskini Afrika

    NDOA NI CHANZO CHA UMASKINI AFRICA Wa hali gani wapenzi wasomaji wa jukwaa hili la Hadithi za mabadiliko. Bila shaka ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya. Karibuni katika makala hii ambayo inaangazia ni kwa kiasi gani ndoa huchangia umaskini Afrika. Najua wengi mmeshaangaa lakini baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini ndoa nyingi za nyakati hizi huwa hazidumu

    Hivi ni kwanini ndoa nyingi siku hizi zinavunjika? Yaani unakuta watu wameoana haipiti hata miaka miwili unasikia wameachana. Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe Kiba maarufu kama “ALIKIBA” na mke wake kutoka Kenya , na ndoa ya Judith Wambura maarufu kama...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa yangu inateketea

    Habari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa furaha na upendo mkubwa tumebahatika kupata watoto 2. Mke wangu ni mtumishi chuo kikuu(mwalimu)na mimi...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa kijana yeyote anayetaka Kuingia kwenye mahusiano ya Ndoa.

    Mpendwa rafiki yangu, Zama ambazo vijana wengi wanahangaika kumpata mtu sahihi ni zama hizi kwa sababu watu wengi wanakuwa wanavaa barakoi yaani mask katika nyuzo zao hivyo ni ngumu kumjua yupi ni mtu sahihi kwako kama ukiingia kichwa kichwa. Watu wamekuwa ni wa kufanya maamuzi kwenye eneo la...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudumu na kuishi maisha ya furaha na mwenza wako

    Hivi unakumbuka mara ngapi ulishawahi kumwambia maneno mazuri mwenza wako na yakamkosha hadi akafurahi? Hakuna Siri ya kwanini fulani amedumu na ana furaha katika maisha yake ya mapenzi. Unaweza kufanya vitu mbalimbali ili kuhakikisha unakuwa na unaishi kwa furaha na kudumu katika mapenzi...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni makini

    Kuna rafiki yangu wa karibu ameanza kuhangaikia talaka baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka mitatu. Amejaaliwa maisha mazuri kiasi na mwanamke mzuri sana ambaye amepata nae watoto wawili. Kisa cha bwana huyo kuhangaikia talaka ni mwanamke kumsaliti na mwanaume mwingine ambaye amethibitishwa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maumivu wakati wa tendo la ndoa

    Nasumbuliwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa haraka sana pamoja na uume kuwa mlegevu. Baada kuhangika sana madawa ya kila aina nikaamua kujaribu hii dawa wanaiita vumbi la congo, Kwa kweli haikuleta majibu mazuri. Ila nimeweza kupata matokea haya matatu kwa mida tofauti. Mda mwengine...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi sasa suala la ndoa wamekuwa wakilisikilizia kwenye bomba?

    Wazee wetu wa zamani walidumu sana katika ndoa zao labda kwasababu wanawake walifundishwa kuwatii waume zao huku mfumo dume ukiwa umeshika hatamu katika jamii zetu. Lakini sasa imekuwa tofauti kwani kumeonekana kukiwa na wimbi kubwa la talaka na pia wanawake wengi kukosa bahati ya kuolewa labda...
  16. JamiiForums Tanzania Amenichumbia lakini hataki Ndoa

    Habari za asubuhi wakuu wote wa JF na hongereni kwa shughuli mbalimbali za kujenga taifa. Kilichonileta kwenu asubuhi hii ni kunisaidia mawazo ya hili nalopitia kwa sasa, mimi na mwenza wangu tuna miaka mitatu sasa tunaishi pamoja na ni mwaka mmoja wa kuchumbiwa. Kama mjuavyo, desturi zetu za...
  17. JamiiForums Tanzania Ubakaji kwa wenza walio katika ndoa ina maana gani?

    Wakuu, ni matumaini yangu kuwa hatujambo wote! Yawezekana nikawa mgeni, lakini ninastaajabu Sana ninaposikia eti mtu yupo katika ndoa na anabakwa na mwenza wake waliojenga ndoa pamoja! Niliziona taarifa katika tovuti ya BBC, zikimwelezea mwanaume mmoja ambaye alikuwa akielezea kwa maskitiko...
  18. JamiiForums Tanzania Ndoa yangu changa inataka kuniua

    Wahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana. Huyu mwanamke nimejuana naye miaka miwili kabla sijaamua kumuoa, ingawa pia maamuzi ya kumuoa yaliharakishwa na kumpatia ujauzito akiwa mwaka wa pili chuo. Matatizo sasa yanaanzia hapa: 1. Baada ya kumuoa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Pigo kwa kambi ya Mabachela TBC: Mtangazaji Asheri Thomas Mwaipopo afunga Ndoa

    Asheri Mwaipopo ni mtangazaji wa TBC na amefunga Ndoa takatifu na Godliver David Yanga kwenye Kanisa la Baptist Kolosai huko Wilayani Tunduma Mkoani Songwe
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa huwa zinaua ndoto zenu za maisha?

    Wajumbe Wazima? Ni yuleyule Mr. Liverpool from Anfield. Baada ya salamu hebu twende direct kwenye mada. Kwanini mkishaoa huwa ndoto zenu zina kufa? Scenario 01:- Walimu wa2 from Songwe. Hawa jamaa nilikutana nao 2012 Tunduma, tukawa marafiki. Kwenye maongezi yetu nikagundua waliajiriwa 2011...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…