ndoa

  1. S

    JamiiForums Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

    Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
  2. JamiiForums Tafiti: Kati ya wasichana 50 basi 12 wamezalia nyumbani bila Ndoa 1980-2000

    Tafiti fupi ilofanyika Mwaka 1950-1960 waliozalia Nyumbani walikuwa kati ya wasichana 50 unakuta 1 naye ni aibu kabisa Mwaka 1960-1970 Kati ya wanasichana 50 basi 3 walizalia myumbani Mwaka 1970-1980 Kati ya wasichana 50 basi 8 wamezalia nyumbani bila ndoa Mwaka 1980-2000 Kati ya wasichana...
  3. M

    JamiiForums Siheshimiwi mtaani kwa sababu sijaoa

    Jamani najikuta nawaza sana hivi nitatoa lini? Mbona muda unazidi kusonga? Shauku ya kuoa inakuja mara inapotea, ukimpata unayempenda changamoto inakuwa kiuchumi unakuwa hauko vizuri, ukiwa vizuri kiuchumi wakumuona humuoni Jamani mpaka inafikia hatua nawaza nini kinanisibu au kuna mkono wa...
  4. JamiiForums Na hizi ndio NDOA ZENU: Mwamba kashaangukiwa na chuma kizito

    Sikia hii habari INTRO Nyie mabaharia kwani u-single unawashinda nini? Hivi mnajua kuoa ni kutafuta matatizo. Kuna baharia mwenzetu yashamkuta huku. FLASH BACK Nilianza kumjua 2019 baada ya kuhamia pale ofisini. Alikuja akiwa na demu (mchumba) kwa kipindi hicho walikua na miaka mi3 wapo...
  5. JamiiForums Watoto ni wageni katika ndoa yenu, hawana Mkataba na ninyi!

    WATOTO NI WAGENI KATIKA NDOA YENU; HAWANA MKATABA NA NINYI Ni Yule Mtibeli, Robert HERIEL. Hawakukuomba uwazae, hwakukuomba uwe Baba au mama Yao, hawakuomba lolote lile. Na kamwe hukujua Kama ungewazaa watoto wa namna hiyo, na hata wao hawakujua Kama wangezaliwa na mtu Kama wewe. Labda Kama...
  6. JamiiForums Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

    HABARI wakuu, kwanza kabla ya yote niwatakieni mfungo mwema. Umri wangu ni Miaka 33, Nipo katika ndoa pia nina Watoto Wawili na huyu mwanamke, naona nisiandike Mengi kuhusu maisha yangu na huyu Mwanamke ila kimsingi tu ni MTU ambae ninapitia changamoto nyingi sana katika mahusiano haya, yaani...
  7. JamiiForums Kama cheti na sheria ya ndoa havitambui kuchepuka iweje u-catch feelings ukigongewa wakati uli-sign mwenyewe?

    Muhali gani waungwana. Naomba niwapotezee muda niende moja kwa moja kwenye suala. Dec mwaka 2020 niiitisha cheti cha ndoa kupitia uzi 👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/mwenye-picha-ya-cheti-cha-ndoa-naomba-a-share-na-sisi-tafadhali.1819295/ Vyeti vikaletwa Mpaka vyeti kutoka nchi za...
  8. JamiiForums Mwanamke hana thamani, akitamkiwa TALAKA TALAKA TALAKA, ndoa imeisha hapo

    Kwa hakika mwanamke ana thamani ndogo mnoooo.... Ukiachana na talaka halali pale mwanamke akikosea, kuna muda mwanaume anaweza kutaka tu kumfukuza mke wake, hapo akitamka tu Talaka mara 3 basi mwanamke anarudi kwao huko ndoa imeisha
  9. JamiiForums Ujumbe kwa mabinti ambao hawajaolewa kuhusu wanaume wakatili kwenye ndoa

    1. Usiogope kuolewa kwa hofu kwamba utauwawa au kupewa ulemavu na mumeo kwenye ndoa! Tangu mwaka umeanza umeanza au ndani ya miaka 10 iliyopita ni ndoa ngapi unazifahamu au za watu maarufu ambazo umesikia mke kauwawa na mumewe? Shetani anakuza ubaya wa mmoja ili kuwakatisha tamaa muone ndoa na...
  10. JamiiForums Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

    Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 23 amefunga ndoa na Nichola Peltz. David amewazawadia wanandoa Jaguar ya umeme model ya 1954 bei yake ni £350,000. Baba yake Nichola ni millionaire huko Marekani.
  11. JamiiForums Wanawake msikae kimya kwenye ndoa kwa unyanyasaji kisa watoto

    Maisha yako ni bora sana kuliko ndoa. Watoto watakua tu. Ukiona dalili hatarishi chukua hatua haraka kwani hakuna spea za uhai wako. REST IN PEACE MAMA WA EKUWEMEE!
  12. JamiiForums Vijana wa Kiislamu hawaogopi ndoa kama Wakristo

    Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam? Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona. Marafiki zangu waislam wengi wameoa na wanaoa lakini wakristo sioni muelekeo wao kuhusu ndoa. Je, chanzo ni nini...
  13. D

    JamiiForums Vifo na migogoro ya ndoa havitaisha hadi pale serikali ikiruhusu hili

    Migogoro mingi ya ndoa ukipitia majarada ya kipolisi na dawati la jinsia utagundua kwamba kwa 70% ni kutokana na ndoa za kikristu na 15% ni ndoa za kiislam, 10% ni ndoa za kimila (unyumba na wengi wao waishio kinyumba ni wakristu) na 5% inachangiwa na ndugu wa wanandoa wenyewe Hivyo ukichukua...
  14. JamiiForums Wakati umefika Serikali iruhusu Ndoa za Mkataba, hizi zilizopo ni msalaba kwa kizazi hiki

    WAKATI UMEFIKA SERIKALI IRUHUSU NDOA ZA MKATABA, ZILIZOPO NI MSALABA KWA KIZAZI HIKI. Anaandika Robert Heriel Yule Shahidi, kutoka Nyota ya Tibeli. Hatuwezi kujidanganya tena, ndoa zilizopo ni mzigo na msalaba mzito Kwa kizazi hiki hasa Kwa watoto wakiume. Waliopo kwenye ndoa wengi wenu...
  15. JamiiForums Wanaowakataa watoto damu zao waliowazaa nje/kabla ya ndoa kuna kitu wanakijua ambacho sisi hatukijui

    Wanaume wanao wakataa watoto damu zao walio wazaa kabla ya ndoa au nje ya ndoa Kuna kitu wanakijua ambacho sisi viherehere tunao wakubali Na kuwalea watoto wa nje/kabla ya ndoa hatukijui. Please fungukeni wakuu ni kitu Gani hicho mnacho kijua ambacho sisi wengine hatukijui
  16. JamiiForums Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

    Wadada wenye uchumba sugu. Kuna wadada wapo kwenye mahusiano zaidi ya miaka kadhaa, na wanatamani waolewe; lakini wanaume walionao bado wanawapiga dana dana. Njia rahisi inayoweza kukusaidia, mwanaume wako afanye maamuzi ya haraka katika kukuoa, fanya hivi:- Andaa bajeti ndogo ya laki mbili...
  17. JamiiForums Unayemuona anayafaa kwa mwenzako kwako anaweza kuwa hafai hata kidogo

    Hello wakuu humu. Kwanza mimi napingana na ule usemi unaosema ukiniona wa kazi gani tabua yupo anayesema atanipata lini...iko hivi katika ulimwengu wa mahusiano na mapenzi ambayo ndio yanaleta ndoa. mara nyingi walio nje ya mahusiano ya watu fulani ndio huwa tunahukumu mienendo ya wapendanao...
  18. JamiiForums Wanaume waliooa wanajulikana kwa kuwatazama tu

    Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi! 1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku. 2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na...
  19. JamiiForums Niishi vipi na mwanaume aliyetoka kuachana na mkewe?

    Hello wana JF, Imetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vipi? Maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu...
  20. JamiiForums Wanaume wanaoharibu ndoa zao(wachepukaji)

    ....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…