ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

    Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana? Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe mbaya kiasi gani hauwezi kuchagua sura yake akiwa mshkaji ndio mshkaji huyo. Kuna watu wana...
  2. JamiiForums Tanzania Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

    Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar. Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa. Huku kwetu Tanzania, wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kufunga ndoa kwangu kumeniondolea marafiki wengi

    Nilikua na washkaji wengi kabla ya kufunga ndoa na ndugu wengi nilikua nawachangia sana kwenye misiba na harusi lakini Mimi nilivotangaza ndoa wakaniunga mkono muda ulipofika nikipiga cm wana hawapokei wala kujibu text. Nikakausha nikakomaa likapita saivi wengine wanaishia kuview status...
  4. JamiiForums Tanzania Magufuli alivyosababisha ndoa ya rafiki yangu kuyumba

    Huyu rafiki alioa mke wake toka kijijini. Mwanamke alikuwa anampenda Magufuli na sera zake balaa Ilivyotokea Magufuli anasema tuzae elimu ni bure,fyatueni tu watoto ,huyu shemeji yangu akamsikiliza Miaka nane ya ndoa wana watoto watano maisha magumu ,jamaa anataka kukimbia familia
  5. JamiiForums Tanzania Msimuige Dk mwaka na ndoa za wake wanne atawapoteza

    Dk mwaka anaishi kiakili sana yaani jamaa anatengeneza pesa kwa kutumia akili tu, Dk mwaka kipindi cha hivi karibuni amekuwa akipromote sana wake zake watatu mtandaoni na akisema kuwa soon anaongeza mwingine wa nne. Sasa Dk Mwaka kama mnavyomjua anapiga pesa nyingi sana hasa hzi za vijana...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa badilikeni

    Hii tabia imekuwa kero sana hasa kwa wanawake walioolewa yaani ukimkuta nyumbani unashindwa kutofautisha mama mwenye nyumba ni yupi na house girl ni yupi. Yaani wote wanavaa nguo kama vibarua fulani hivi waliochoka na maisha, utakuta wife mara kavaa yeboyebo hata sio saizi yake, mara kandambili...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

    Naombeni mtujibu Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila...
  8. JamiiForums Tanzania Wengi tunaishi kwenye ndoa kwa kuvumiliana tu

    Kwa mtu aliyezoea kuchepuka hawezi kuacha hiyo tabia kirahisi, kwa sababu kwenye mahusiano kila mmoja huwa na sifa ya kipekee ambazo hazifanani na mwingine; kuna mwingine ni mchangamfu sana, mwingine anajua sarakasi za kila namna, mwingine ana ladha tofauti, wengine wanajua ku-handle n.k...
  9. JamiiForums Tanzania Waachana siku tatu kabla ya ndoa

    Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo...
  10. JamiiForums Tanzania Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

    Kanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa ILBORU Tofauti ya umri wao ni miaka 51. Nini maoni yako?!
  11. JamiiForums Tanzania Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana hasa katika swala zima la:- 1)Ndoa kwa ujumla 2)Talaka NDOA KWA UJUMLA -Hapa napenda kuzungumzia...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

    Anyone yuko familiar with kuryans?
  13. JamiiForums Tanzania Ndoa halali, ndoa batili na ndoa batilifu. Je, wajua pia kuna msamaha halali wa kweli, msamaha batili na msamaha batilifu? Msamaha ule ni batilifu!

    Wanabodi, Huu ni uzi elimishi kuhusu aina tatu za kuomba msamaha, kama zilivyo aina tatu za ndoa. Lengo la kutoa elimu hii ni kulinda heshima ya fani ya watu ambayo imetakwa kudhalilishwa kwa kusingiziwa kuwa ile video imefanyiwa maujanja kwa kuchakachuliwa ili kumchafua mtu, kitu ambacho sii...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni na ushirikiano kwenye tendo la ndoa

    Heri ya mwaka mpya. Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa dada zangu ingawa sio wote ila walio wengi. kwa wale wanaume maabaharia wanaelewa namaanisha nini ila kwa wale waaminifu kwenye mahusiano yao sio rahisi kuelewa. Unakuta uko na mwanamke faragha kwa ajili ya shughuli moja tu ya kuvunja...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Sabubu za Kuolewa nini nini hasa?

    Nilikutana na dada mmoja nilisoma nae ameolewa na kuachika mara nne na sasa yuko kwenye ndoa ya tano! Shida ilianza pale nilipo muuliza mumewe mzima! yeye naye aliniuliza yupi ninayemzungumzia Inawezekanaje mwanamke akaolewa na kuachika zaidi ya mara tano lakini wenzake hawajapata bahati hata...
  16. JamiiForums Tanzania Ndoa za sasa zimejaa unafiki mkubwa sana, jana mke wa mtu kanitumia picha ya matiti yake hadi nimechoka mwenyewe

    Hivi vile viapo wanavyoapa makanisani/misikitini huwa wanaviishi kweli? Ni mke wa afisa mmoja wa ngazi ya juu huko serikalini, sasa jana wakati nawasiliana nae nikamtania na hamu ya kunyonya maziwa akanitumia emoji ya kucheka. Eeh! Sijakaa sawa nikatumiwa picha za maziwa na alivyo mweupe...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa Siri Sana Diamond Platnumz na Bi Zuchu wafunga ndoa

    Tuwaombee wawe na ndoa yenye baraka na fanaka
  18. JamiiForums Tanzania Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Madada wa mujini, role model wenu anajitapa kuitafuta ndoa ya tano

    Baada ya kuikimbia ndoa ya nne Dida shaibu amejitapa kuwa tayali yupo kwenye mahusiano mapya na mwakani 2022 ataolewa tena ndoa ya tano. Dida amesema wakati anafunga ndoa na mhe.Kumbilamoto kuna mtu mwingine ambae alikuwa nae kwenye mahusiano lakini mapenzi yao yalikufa baada ya yeye kuolewa...
  20. JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kufunga ndoa nichangieni wana jf

    Amani ya bwana iwafikie popote ulipo, tumekuwa pamoja hapa jf toka 2016 mpaka Leo, ndugu yenu nimefanikiwa kupata jiko jipya sasa tuinuaneni kwa kunichangia kijiko, sahani, bakuli, sufuria ili tuanze maisha salama na shemeji yenu anawasalamia sana.... shem wenu anawaomba mu mnunuliwe iPhone 13...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…