Tuliohamishiwa Dodoma, tujadili ndoa zetu

Tuliohamishiwa Dodoma, tujadili ndoa zetu

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,357
Reaction score
26,925
Baada ya Serikali ya CCM kuhamishia Mkao makuu yake DODOMA kwa nguvu na bila tafiti, zaidi ya asilimia 87% ya watumishi wake ambao walikuwa wakiishi DAR ES SALAAM sasa tumehamia DODOMA.

Baada ya kuhamia DODOMA, imetokea suala la kuacha waume zetu Dar es Salaam au wake zetu Dar es Salaam kwakuwa nao wana ajira zao, ama za kudumu ama za mikataba katika mashirika na makampuni mengineyo.

Kwa mwanandoa yeyote yule, ambaye analala na mzigo[mashine ya adamu] na kupata morning glory[cha asubuhi kabla ya kuamka] kila iitwapo leo umuondolee inahitaji "roho mtakatifu" kuvumilia hilo mpaka mwenzi wake apate likizo kutoka Dodoma waje "kupelekeana moto"

Hivyo basi, naona tuangalie changamoto kama hizi:-

1. Mimi binafsi MUME wangu sipo naye karibu, ninaweza kukaa week 3 mpaka miezi 3 bila kuonana. Linapokuja suala la sex kwetu huwa ni changamoto sana. Na ukizingatia tukiwa pamoja ni tunapeana malovedave ya kutosha tu popote pale.

2. Inabidi uwe mvumilivu sana aisee! la sivyo utaishia kuchepuka kila kukicha na kuzaa watoto wa njee ya ndoa tu baadae ije ilete usumbufu tu.

3. Inabidi kufanya sex chart, na kwa upande mwingine masturbation inahusika asee! na ni tamuuuu asikwambie mtu.

4. Lakini , kina mama mlioachwa Dar na waume wapo Dodoma, eleweni Hata Malaika aliasi ndioa akafukuzwa mbinguni akawa Shetani, mume wako si malaika, ni mwanadamu, hawezi kula milo mitatu na kishazoea kupata papuch kila atakapo eti avumilie mpaka likizo, hapana, "huwa wanajipigia vitoto vya chuo cha mipango, CBE, UDOM na VETA"

5. Nakushauri mama kama upo DAr na mmeo yupo Dodoma,
Tafuta kijana mstaarabu, anayefanya kazi mwenye 40 kuendelea awe anakutoa hamu, tumieni kinga, maisha ndio haya haya, mume wako ndio mpaka kustaafu yupo Ddodoma kwahiyo kwa mwaka mtakuwa mnafanyana mara moja kwa mwezi? Hapanaa.

6. Kwa wanaume mlipo Dar na wake zenu ndio wamehamishiwa Dodoma, nawashauri muwe mnatenga nauli walau kila ijumaa muwe mnaenda kuwapelekea moto mpaka jumapili jioni, mnasafiri kurudi Dar , kila wiki mpe moto mpaka aombe poo.


Hebu tupige story mbili tatu na wewe huwa unafanyaje kumaliza hali zako.
 
Baada ya Serikali ya CCM kuhamishia Mkao makuu yake DODOMA kwa nguvu na bila tafiti, zaidi ya asilimia 87% ya watumishi wake ambao walikuwa wakiishi DAR ES SALAAM sasa tumehamia DODOMA.

Baada ya kuhamia DODOMA, imetokea suala la kuacha waume zetu Dar es Salaam au wake zetu Dar es Salaam kwakuwa
Nipo Dodoma nitunuku basi nikupunguzie hizo hamu
 
6. Kwa wanaume mlipo Dar na wake zenu ndio wamehamishiwa Dodoma, nawashauri muwe mnatenga nauli walau kila ijumaa muwe mnaenda kuwapelekea moto mpaka jumapili jioni, mnasafiri kurudi Dar , kila wiki mpe moto mpaka aombe poo.
Waume wamekusikia ila watapima wenyewe hiyo gharama ya kwenda Dom kwa siku 2 wapeleke moto kwa wake zao halafu warudi tena Dar au watatafuta wa kuwapelekea moto hukuhuku Dar 🤣🤣🤣
 
Kila kitu kina kipimo. Tamaa ukiipa nafasi ya kutawala akili, hata mama mzazi unaweza ukamtongoza.

Watu siku hizi wanaendekeza upumbavu wa tamaa sana, mzazi anamwachia mzazi mwenzie mtoto siku mbili tu, mtoto kesha bakwa. Inaumiza sana.
 
Waume wamekusikia ila watapima wenyewe hiyo gharama ya kwenda Dom kwa siku 2 wapeleke moto kwa wake zao halafu warudi tena Dar au watatafuta wa kuwapelekea moto hukuhuku Dar 🤣🤣🤣
Looh, jamani wewe. eeh, mapenzi gharama, wawekeshe hizo genye mpaka weekend
 
Sasa sijui unawashauri wachepuke au mnatoa changamoto zenu. Anyway mtajua wenyewe na ndoa zenu.
 
Back
Top Bottom