Arranged Marriage (ndoa za kuchaguliwa na familia, ndugu, na jamaa) ndio mfumo sahihi kwa maisha ya dot com

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,527
Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke.

Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa.

Hivyo hivyo kwa binti.

Familia ziwe makini na kukataa ndoa ambazo familia ya mume na mke mtarajiwa hazijawai kujuana vizuri toka zamani.

Huu mfumo wahindi na waarabu wanautumia mpaka leo na ndoa zao zina amani kuliko zetu waswahili ambazo tunachaguana wenyewe.

Ndoa za kusema kupendana wenyewe ni ndoa mbovu sana. Tuachane nazo
 
Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke.

Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa...
Ninavyoonekana kuwa binti mwenye adabu asie na mambo ya ajabu hakika maombi yangekuwa mengi 😅😅😅

Turudi huku tu yaishe
 
Wazee wa humu si JBourne59 Kasie Mamndenyi
Na wengine nipeni vijana wenu wanioe mambo yaishe 😃

Wacha nikuitie wachumba, ushindwe wewe tu...
RRONDO aka Baba Bataringaya...😅 (bado nakudai mabungo).

Mentor huyu japo sijamsoma kitambo, ila ni husband material.

Watu8 (usininunie tafadhali, namsaidia binti kupata mume)

Roger Sterling natumai viinglish vitaendana

Daby (baba yeyoooo, takwenyaa)

Mrembo, kila la kheri.....😍

Wakataa ndoa wapite kushoto.
 
Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke.

Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa...
...yaaa hili linaweza punguza matatizo mengi ktk ndoa za Sasa, lakini ni pale ambapo tutaondoa ile kasumba ya 'mimi siwezi kumpenda mtu ambae sijamuona au mtu nileletewa', saingine tuwe tayari kujifunza kupenda taratibu na ndivyo ilivyokuwa awali.
 
Wacha nikuitie wachumba, ushindwe wewe tu...
RRONDO aka Baba Bataringaya...😅 (bado nakudai mabungo).

Mentor huyu japo sijamsoma kitambo, ila ni husband material.

Watu8 (usininunie tafadhali, namsaidia binti kupata mume)

Roger Sterling natumai viinglish vitaendana

Daby (baba yeyoooo, takwenyaa)

Mrembo, kila la kheri.....😍

Wakataa ndoa wapite kushoto.
Yani mamdogo, kuna mtu anatafuta mume, ila kijana wako hata uniambii? 😅😅😅
 
Wacha nikuitie wachumba, ushindwe wewe tu...
RRONDO aka Baba Bataringaya...😅 (bado nakudai mabungo).

Mentor huyu japo sijamsoma kitambo, ila ni husband material.

Watu8 (usininunie tafadhali, namsaidia binti kupata mume)

Roger Sterling natumai viinglish vitaendana

Daby (baba yeyoooo, takwenyaa)

Mrembo, kila la kheri.....😍

Wakataa ndoa wapite kushoto.
Mambo si ndo hayo sasa ngoja nianze kuwapitia mmojammoja
 
Kabla ya kuiga wahindi na waarabu kwenye ndoa ..kwanini tusiwaige kwenye mambo mengine pia?

Wahindi na waarabu hawaruhusu pia mabinti zao 'kujitafutia maisha'..
Binti hata asipoolewa na Hana kazi atalelewa na familia...

Sisi binti anatoka Bukoba kuna dar chuo anaanza kuombwa hela awatumie ndugu zake na harudi tena akimaliza chuo anapanga chumba hata kama kazi Hana.....
 
Nafikiria tu hapa imetokea mara paap.. familia imenitafutia mume wa kunioa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ndio hivyo. Maana za kuchagua wewe mwenyewe wanakula mzigo na kusepa

Na hata akitokea wa kukuoa anakuwa mume asiyejua nafasi yake. Wa kuchaguliwa anakuwa amenyooka

Kabla ya kuiga wahindi na waarabu kwenye ndoa ..kwanini tusiwaige kwenye mambo mengine pia?

Wahindi na waarabu hawaruhusu pia mabinti zao 'kujitafutia maisha'..
Binti hata asipoolewa na Hana kazi atalelewa na familia...

Sisi binti anatoka Bukoba kuna dar chuo anaanza kuombwa hela awatumie ndugu zake na harudi tena akimaliza chuo anapanga chumba hata kama kazi Hana.....

Upo sahihi the boss

Shida familia za kiswahili wavivu wengi sana

Koo nyingi zimejaa wategemezi

Yaani mpaka binti anasoma chuo tu familia yake eti inamtegemea

Mtu huna kazi bado ndugu wanataka wakutegemee

Hata ndoa nyingi zina migogoro sababu ya ndugu wategemezi.

Mume ukioa binti yao tu wanakuona ATM
 
Back
Top Bottom