ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Kosa kubwa linalofanyika kwenye uchumba linalopelekea ndoa nyingi kuwa na migogoro sugu

    Hello! Kwakuwa wadada wengi hufanya ndoa kama fashion au kama ajira basi wako tayari kufunga ndoa na mtu yeyote ilimradi tu anapumua na anaweza kumudu bei ya sukari na ugali basi. Turudi kwenye mada. Kosa hilo ni kwa wachumba kutokutaja amri zao kuu (msimamo mkuu). Mfano *Nitakusamehe kila kosa...
  2. JamiiForums Tanzania Ndoa imekuwa Transactional, Muimba Gospel maarufu Nigeria Moses Blis alalamikiwa na wanawake kwa kumchumbia binti mambo safi na kuwaacha wa kanisani

    habari wadau. baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka jana. Limeibuka kundi kubwa la wanawake wa ki nigeria mtandaoni wakimlalamikia muimbaji huyo kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa

    Leo niwasaidie hili pengine we n mhanga wa hili eneo kwenye ukoo wenu nawiwa kuongelea hili maana mmoja wa waathirika wa hili. Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa ndugu. Ndoa nyingi zimeathirika na laana ya ukooo na sio kulogwa wala mengineyo Kaa na wazazi wenu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Sendiga: Mikataba ya Mkoa wa Manyara ni kama ndoa ya kikatoloki, umejifunga

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, leo Januari 22, 2024, ameshuhudia Hafla ya utiaji wa Saini Mikataba 7 yenye Thamani ya Bilioni 2.3. Mikatabia hiyo itahusisha ujenzi wa lami, ujenzi wa barabara za changarawe, madaraja na matengenezo maalumu katika mtandao wa barabara...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana kubali ndoa, Wanaokataa ndoa wengi ni loosers na kuna walakini katika Uanaume wao

    Salute.... Mwaka huu nimeamua kutumia platform hii kuongea na vijana wenzangu hasa waliozaliwa 90s. Mada zangu zote kwa mwaka huu 90% zitakua zinahusu miongozo na ushauri nasihi wa masuala ya ndoa na mahusiano. Let's dive in.... Kwa kipindi zaidi ya mwaka humu Jf kumekua na movement ya kijinga...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mama Samia : Utafiti unaonesha Zaidi ya nusu ya Tanzania wenye umri wa kuoa au kuolewa hawajaingia kwenye ndoa . Je sababu yako ni nini ?

    Ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 21, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye Ibada Maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani. “Kwa wakazi wa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa: Suala la ndoa za jinsia moja tuachieni sisi, vitabu vinasema ndoa ni ya mume na mke full stop!

    Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema; "Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa dini kwasababu ni letu, sisi tunajua vitabu vimesema ndoa ni mume na mke full stop. Tunahitaji...
  8. JamiiForums Tanzania Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

    Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023. KILA MTU HAELEZI TATIZO Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei...
  9. JamiiForums Tanzania Mke kuuza Penzi ndani ya ndoa, Mke kunywa P2 ndani ya ndoa, wanaume wengi wanalamika hii tabia. Ndoa zimekuwaje?

    Habari wadau Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi. Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata penzi akiwa na hamu nalo. Hii inakuwaje? Yaani ununue vyakula ndani ila usiwe na uhakika wa kula...
  10. JamiiForums Tanzania Ataka kumuua mtoto baada ya kujifungua ili kunusuru Ndoa

    Msichana mwenye umri wa miaka 19 alietambulika kwa jina la Rehema Erick Mkazi wa Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi ameingia matatani kwa kujaribu kumuua mtoto wake kwa kumtupa chooni baada ya kujifungua ili kulinda ndoa yake isivunjike. --- Msichana mwenye umri wa miaka 19...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anapompenda mwanaume mwingine Kuna uwezekano kuwa na mapenzi ya dhati kweli ndani ya ndoa?

    Wakuu habari.. Kichwa kinjieleweza, nilipo sijalala Jana kwa hii kadhia, naombeni ushauri nimwache aende au tusuluhishe.,,😭😭😭
  12. JamiiForums Tanzania Ndoa ni muungano uliofeli

    Nimeona machapisho mengi kuhusu ndoa zisizofanikiwa. Kuna sababu nyingi zinazochangia ndoa kufeli ambazo ni pamoja na kudanganywa, kukosa uaminifu kati yao, Ukata wa fedha. Lakini Wengine huamka tu asubuhi na kugundua kuwa wake zao/mme wake hana mvuto tena [walimlazimisha ]. Hizi ni baadhi tu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Uhaba wa tendo la ndoa kwenye ndoa za Kitanzania

    Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa? Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa, nisingelioa kabisa huyu mdudu • Wanakuwa wamechoka sana na majukumu ya hapa na pale!? • Wanahisi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza...
  15. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu sild hataki kunipa mpaka nimuoe kwa ndoa!

    Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025 Nimekaa chini nimefikiria...
  16. JamiiForums Tanzania Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

    Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa. Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula...
  17. JamiiForums Tanzania Faida za ndoa kwa mwanamke si kwa ajili yake mwenyewe, mara nyingi ni kwa ajili ya kitu fulani au watu fulani

    Utasikia tu: Ndoa ni heshima kwa wazazi Ndoa ni heshima kwenye jamiii Ndoa ni heshima kanisani Na hata mtu akitaka kuvunja et anawaza Nitaonekanaje mtaani Nitawaaibisha wazazi wangu Kwa maana iyo wanawake weng wameolewa kwa ajili watu na sio mapenzi yao na laiti kma kusingekuwa na mitazamo...
  18. JamiiForums Tanzania Mada mezani: Kama mahari ni zawadi mabinti wasio na bikra na wale waliozalia nyumbani watolewe mahari kama zawadi ya nini?

    Habari! Tulipopinga suala la mahari kwa kusema kuwa mahari ni biashara ya kitumwa watetezi mkasema mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza binti yao. Kumtunza sawa, lakini ametunzwa vipi huku hana bikra huku wengine wamezaa kabisa? Ile bikra ndio itolewe mahari, bikra ndio thamani...
  19. JamiiForums Tanzania Ni Mungu gani anaesaidia mtu Mzinifu na anaezaa nje bila ya Ndoa?

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Demu analalamika kuachwa na Jamaa baada ya kupewa Kibendi. Kama unavyojua penye watu hapakosi neno, basi watu wakaanza kutiririka kumpa pole na kumwambia yule Dada kuwa Mungu atamsaidia na mtoto wake. Watu wengine wakawa wanamwambia wanamuombea...
  20. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo makundi yanayoongoza kwa kuwafunza wanawake kuwaandaa waweze kuishi kwenye ndoa

    Jamii zinazoendelea kufunza wanawake kitamaduni, kwa wale tulioweza kuzaliwa kabla ya 90s tuliweza kujionea kina mama wengi waliofundishwa na mama zao kitamaduni jinsi walivyoweza kuzimudu ndoa zao., kwa sasa huu utamaduni umekuwa adimu sana wazazi wanajali mtoto asome elimu ya darasani tu ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…