ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

    JF habari!!! Mwanzo 1:28 (KJV) Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. Hilo ndilo kusudio kuu la Mungu. Yeyote yule anapinga ujue wazi yupo upande...
  2. JamiiForums Tanzania Sheria ya Kikristo inasemaje kwa mtoto wa nje ya ndoa?

    Habari za uzima, naamini mmeamka salama, wale walio na magonjwa Allah akawape wepesi na mlio hospitali Mungu akawape wepesi pia mtoke huko, sio kuzuri na hakuzoeleki. Rejea kichwa cha habari hapo juu, wenye ufahamu - mzazi wa kiume akifa watoto wa nje kwa dini ya kikristo wanarithi?
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa zina mambo kha!

    Wanasema imani n kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo n bayana ya mambo yasioonekana Dah nnina dada yangu kaolewa kama mwez umepita jana kapiga mumewe kahamishiwa dodoma.... Hapo tuna mwingine kaolewa toka mwakajuzi mume anaishia songea mke dar na wanae Jamaa anakuja kukagua kama anachukua...
  4. JamiiForums Tanzania Moja ya sababu kwa ndoa za kisasa kuyumba na kuvunjika hovyo hovyo ni kufifia kwa matumizi ya limbwata.

    Nasemajeeee? Huu ni ukweli ambao wengi wetu kwa kujua ama kutojua hatuusemi. Ukiacha mila za jando na unyago, hizi kitchen parts zimethibitika kukosa msaada wa kutosha kuimarisha ndoa. Tumeiga mifumo iliyofeli kutokea huko ilikotoka, tukaikumbatia na kuacha mifumo yetu. Sasa basi, unaambiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume usiweke matumaini makubwa sana kwenye ndoa

    Ni vyema tukajulishana vitu vichache vichache ila vina umuhimu mkubwa. Wanaume mnao tarajia kuingia katika ndoa au mliopo katika ndoa changa msiweke expectations kubwa sana ndani ya ndoa kwamba kuna mambo fulani na fulani kwamba nita achieve katika ndoa. Ndoa sasa kwa ukweli halisi ni nyepesi...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa zina washauri wengi?

    Kati ya sekta huria ambazo kila kinyangarika yumo basi ni NDOA. Hii "sekta" ya ndoa huwezi kujua mtaalamu ni yupi wala majnuni ni yupi. Kila mtu kawaka moto anajitia mjuvi, hapoi wala haboi. Ukiingia mitandaoni na penginepo, kila Tom na Jeri anafundisha kuhusu ndoa. Hata wachungaji nao ati ni...
  7. JamiiForums Tanzania Ndoa ni Ibada

    Mambo vipi wanandugu. Nimekaa na kutafakuri Sana. Hizi ndoa ambazo hazidumu huwa ni laana tupu. Kama Baba yako mzazi alimuacha mama yako akaenda kuoa mke mwingine basi tambua hiyo laana itakufata tu yaani hata wewe utaoa mke wako wa Kwanza na utamuacha sababu ya laana aliyoanzisha baba ako...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika nyanja ya mapenzi, mahusiano na ndoa

    NB: picha kwa hisani ya mtandao. UTANGULIZI. 👉 Linapokuja suala la mapenzi, mahusiano, na ndoa, watu wanaweza kuwa na matakwa mbalimbali yanayohusiana na hali ya maisha, utamaduni, na imani zao. Wakati mwingine, matarajio haya yanaweza kutofautiana kulingana na umri, jinsia, na hata muktadha...
  9. JamiiForums Tanzania Walimu wengi wa ndoa ni wachonganishi wa familia: Pesa zote zinapaswa kusalimishwa kwa Mume kichwa cha familia

    Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia. Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa mara tu vinapopatikana. Mwanamke hata uwe CEO wa Google(kampuni inayoongoza kwa kulipa mishahara...
  10. JamiiForums Tanzania Janga la Kitaifa: Watu Waliofeli Kwenye Ndoa Wamejivuka Koti la Ualimu, Wanaelimisha Watu Kuhusu Ndoa ni Hatari Kwa Taifa la Tanzania

    Shalom, Sina mengi zaidi kichwa Cha habari kinajieleza, mamlaka husika ikiwemo wizara yenye dhamana ipate kulitizama hili swala. Vilaza wengi wanaodanga na machangu, waliofeli kwenye Ndoa, mibaba mihuni tu inayonyandua mademu hovyo tu imegeukia hio fursa kuelimisha kuhusu Ndoa, mijitu...
  11. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa inavozidi kuleta taharuki

    Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania. jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

    Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya. Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa. Pia tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa wanaume.
  13. JamiiForums Tanzania Ndoa zenu zipoje?

    Jamani kwa walioolewa ndoa zao zipoje? Mnashea mabwana kama mie? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna cha kumfanya?
  14. JamiiForums Tanzania Barnaba naomba nikuulize mkeo hakufahamu kuwa kazi yako ni mziki halafu wanawake mjitafakari mnapotaka kuingia kwenye ndoa

    Sijui ni kiki au ndio kweli ila nimepata picha kuwa mambo ya kuwekana wazi au mlivyokutana mlibidi kukubaliana kuwa kazi ya mwenzake. Imngeweza kuishi kama wafanyavyo wasanii davido na kwengine.Pili ingekuwa mimi barnaba kwa kweli ni aibu kesi yako kama mama mkwe kakutawala na mwanae. Aisee...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa 2: Feminists wanachangia kwa kiasi kikubwa watu kukataa ndoa. Kwa bahati mbaya sana asili haitakaa ibadilike!

    JamiiForums ilipata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala ambao umekuwa mkali sana hasa kwa vijana wa zama hizi. Kusoma sehemu ya kwanza ya mahojiano haya...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Moja ya mambo yanayochangia migogoro kwenye ndoa nyingi ni wanaume kuingia kwenye ndoa wakitarajia wake zao kuwasaidia majukumu yao

    Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana kuingia kwenye ndoa wakidhani wanawake wao watawasaidia baadhi ya majukumu na wengine wajinga...
  17. JamiiForums Tanzania Namna nilivompata mke wangu wa ndoa

    Habari zenu members, Leo nimetumia muda mrefu saana kuongea na kucheka na mke wangu(huaga nafanyaga hivo siku moja moja) maana huyu mwanamke hana utofauti na wanawake wengine kwahiyo naishi nae kwa akili saana. Hivyo baada ya furaha ya muda ikabidi akili inikumbushe namna nilivompata huyu...
  18. JamiiForums Tanzania Ulimkatiaje bima mkeo na cheti cha ndoa hauna?

    Wakuu naomba kufahamu kuhusu suala hili tafadhari.
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa hizi zitatuua jamani!

    Ndoa hizi zitatuua. Jamani ipo hivi. Mimi ni mume mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi. Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi...
  20. JamiiForums Tanzania Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

    Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia, sio kusubiri kudaka tu. Heshima yako na ndoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…