Ndoa zenu zipoje?

Cha msingi mshtue kuwa umejua..na umwambie je ingekua mm umenibamba angefanyaje...la msingi hakikisha amejua umejua...huo ni mwanzo mzuri mengine solve pole pole..mwanaume akikupenda atafanya mauza uza yake kwa kificho kikubwa baada ya kujua tukio la kwanza..hataki kuchafua cv kwa mara ya pili
 
Jamani kwalioolewa ndoa zao zipoje?? Mnashea mabwana kama mie?? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna chakumfanya
Katika safari ya maisha kuna kujikwaa na kuacha njia iliyo nyooka.

Kama unampenda and he is still a good father/Husband. Jipe muda atarudi kwenye mstari.

Makosa makubwa unaweza fanya kama ke ni kulipiza aloo hapo mnakua mmekwisha.
 
Ndoa sisi ni ya kutuheshimisha tuu ila tusionekane wahuni ila wanawake hawaturizishi wao wanataka pesa na kelele tu, hapo ni nini utainjoy sasa wewe ni mbio tuu kuitafutia familia ata ausifiwi.

Upendo unapungua kwakweli akipatikana wa kukujali unajiegesha lakini moyo wako upo kuleee unapovurugwa yani hii taasisi ni mtihani kwa pande zote mbili
 
Back
Top Bottom