ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Ongezeko la talaka, ukatili na Migogoro kwenye ndoa Tanzania!

    Migogoro ya Ndoa na Ukatili wa Ndani Mialiko ya kesi za ndoa kwa huduma za ustawi (social welfare) Tafiti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, na Makundi Maalum ilionyesha kuwa hadi Aprili 2025, shughuli za ndoa zilizohusisha migogoro zilizofikishwa kwa huduma za ustawi zilifikia 97,234...
  2. JamiiForums Tanzania Style ya kufanya tendo la ndoa ni Moja tu, hizo nyingine ni kujitafutia matatizo

    Kibaolojia, kiimani na kimaumbile, mwanaume na mwanamke wameumbwa kufanyiana tendo la ndoa kwa mtindo mmoja tu—mkao wa kawaida (kifo cha mende). Ndio mkao sahihi na salama kiafya, kitabia na kiimani. 1. Mkao Mwingine (Dog Style) Mkao huu umethibitika kuwa na madhara, hasa kwa wanawake...
  3. JamiiForums Tanzania Vifungo vya Kichawi Baada ya Talaka

    Ndoa ni taasisi yenye nguvu kubwa kijamii na kiroho. Lakini pale panapojitokeza kutokuelewana, mara nyingi matokeo yake huwa ni migawanyiko na hatimaye talaka. Katika mazingira mengi, talaka haimalizii tatizo pekee, bali huibua hali mpya ya maumivu, visasi na mara nyingine mashambulizi ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Chameleone Kusaini talaka baada ya miaka 17 kwenye ndoa. Adai mali ni za watoto

    Mkongwe wa Mziki nchini Uganda Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone amevunja ukimya kuhusu mwenendo wa talaka yake na Mke wake Daniella Atim waliofunga ndoa miaka 17 iliyopita na kusisitiza kuwa ingawa amekubali mali zake kugawanywa lakini hakubaliani na kitendo cha kulazimishwa kusaini...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kiislam alietayari kwa ndoa.

    Asalam Alaykum. Nahitaji mwanamke wa kiislam alietayari kwa ndoa Sifa zangu Miaka 28 Mrefu Mwembamba Muajiriwa. Sina mtoto. Sifa za mwanamke naemuhitaji Muislam Anaevaa stara. Asiwe na mtoto. Miaka 26 kurudi chini. Asante tangazo hili ni kwa yule tu alie tayari kuingia kwenye ndoa ikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Dear future husband ukiniabisha siku ya ndoa yetu kama hivi, sitaweza kukuvumilia

    Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mke/mpenzi/mchumba LAKINI awe amenizidi umri

    Mimi ni mwanaume nina miaka 27 kwa sasa. Natafuta mwanamke wa kumuoa nimweke ndani kabisa niwe mumewe naye awe mke wangu. Sina elimu kubwa ila najua kusoma na kuandika. Nimepanga geto nalipa kodi 40k kwa mwezi. Sina tattoo wala mchoro wowote. Ni mkristo na Rastafari Ni mrefu wa futi 6.2...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Sijaoa nina watoto wawili, ndoa ya nini?

    Lengo kuu la ndoa ni kuwa na familia ila kama unaweza kupata watoto bila kuoa basi ndoa haina maana. Now nina watoto wawili na sijaoa, nioe ya nini? Lengo la ndoa ni watoto na ninao why nijipe stress za bure wakati maisha yenyewe ndo haya na kila siku watu humu wanalialia kwa wanayopitia...
  9. JamiiForums Tanzania Usiharibu starehe ya tendo la ndoa kwa kuweka simu karibu na kitanda ikiwa on

    Imagine simu yako ikilia wakati unapofanya mapenzi na umenogewa na mikito ya raha.... Hapo lazima mood iharibike. Mpendwa usiruhusu skrini kuua muunganisho wako na mpenzi wako. Weka simu mbali na kitanda na uizime kabisa utanishukuru. Baadhi ya mambo yanastahili kuzingatiwa bila kugawanyika...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa yeyote anayefikiria kuingia katika ndoa

    Kama tendo la ndoa halina maana kwako, basi ndoani sio sehemu yako. Katika ndoa, tendo la ndoa sio hiari - ni msingi. Ikiwa unapenda kutenga pesa zako peke yako, basi baki mseja daima. Ndoa ni maono ya pamoja, pochi ya pamoja, na dhabihu ya pamoja. Ikiwa unawapenda wazazi wako zaidi...
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna kuwapa DMZ hawa CCM hapa JF ni kama tunawapa taarifa tunatakiwa kuwafanyia umafia kama wafanyao wanaofunga ndoa.

    DMZ kwa wanauchawa wa IT wa CCM sijui kama wanafahamu ila limegawanyika kimaana ila zote ni sawa.DMZ maana fupi ni usalama wa matandao.Kwa upande mwengine utumika kama mipaka (Demilitarized Zone). Kuingilia mitandao na vyombo vya habari CCM ni kwamba wanaona watu wanasanuka na kuwaacha uchi...
  12. JamiiForums Tanzania Hebu tuwe wawazi tu, hivi bwana harusi hapa amelenga nini kuuoa mmoja wa mapacha walioungana?

    Pacha walioungana, Abby na Brittany Hensel wametumia zaidi ya miaka 30 ya maisha yao wakiishi kwa mshikamano wa kipekee, tofauti kabisa na pacha wengine unaowafahamu. Abby alifunga ndoa na mwanajeshi mstaafu wa Jeshi la Marekani, Joshua Bowling mwaka 2021, huku dada yake Brittany akibaki hana...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume hii kitaalamu tunaiitaje?

    Wanaume hii kiufundi tunaiitaje? Kwani kwa kawaida tunatakiwa tutumie vigezo gani ili tuoge tena? Au mwamba yupo sahihi?
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwaza kwa facts utagundua kataa ndoa ni watu smart sana kichwani.

    Let's set feelings aside and go with the facts. Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa wanasaidiwa majukumu? Mwingine anasema anaoa ili apunguze uzinzi huu ni unafiki wa kiwango cha juu watu...
  15. JamiiForums Tanzania Heka Heka za Ndoa.

    Hey wajaa! Kumbe huko ndoani, kuna njegeka hivii? Watu na ndoa zao mjinii, afu sio shida zao sasa. Ktk kitu nachochukia na sipendi ni UNAFIKI na KUTOJIKUBALI/ KUKUBALI UHALISIA, kwann uzunguke? Kwann uishi maisha ya mateso? Mahangaiko, eti kisa kuridhisha waja na jamii! Ili iweje yaan? Na kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

    Preamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiona simu ya mwanaume mwenye ndoa iko online saa nane usiku usitume message. Huyo ni mkewe anafanya patrol

    Niongezee volume Ama imetosha Nimetokaa kusuluhisha kesi kama hii, sijui wameondoka waturidhishe ama kitaendelea kuumana huko. Mungu awalinde wanandoa wote loh.
  18. JamiiForums Tanzania Nilichogundua, ndoa ni kwa watu wenye akili nyingi sana au wenye akili kidogo. Wenye akili za wastani ndoa hawaiwezi

    Huo ndio mtazamo wangu,hutaki acha
  19. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA NDOA: Mke wangu anauza supu za mbuzi kwa Siri?

    Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja. Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?" Sasa najiuliza, mke wangu...
  20. JamiiForums Tanzania Ndoa imenizawadia kiharusi

    Great Thinkers, Kama heading inavyojieleza; mimi Msanii nimeoa na pia tumejaliwa watoto 2. Ninawapenda sana hawa watoto. Naamini ni zao la ndoa yetu. Wengi wanaonifahamu, wanajua mapito ninayoyapitia kwenye hii ndoa. I tried so hard to humble myself na kuwa kiongozi wa familia kwa kutotumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…