Costa Rica yaanza kusajili ndoa za jinsia moja kisheria

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,878
Wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja nchini Costa Rica wamekuwa wakipigani sheria ya kutambulikwa kwa ndoa za jinsia moja kisheria na kufanya kuwa mdahalo mkubwa kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2017 hadi 2018

Mwezi Agosti 2018 Mahakama kuu ikasema kuwa kuzuia ndoa za jinsia moja ni kinyume cha sheria. Na ikaahidi kutumia miezi 18 kufanya mchakato wa kubadili sheria ili kuhalalisha ndoa za jinsia moja nchini humo

Wanaharakati wanasema ndoa za jinsia moja zimekuwa zikipiganiwa muda mrefu nchini humo, isipokuwa kipindi cha 2017 ndio kilishika hatamu kwa sababu ya uchaguzi mkuu uliokuwa ufanyike mwaka huo

Sheria ya usajili wa ndoa za jinsia moja umekamilika na ndoa zitaanza kusajiliwa rasmi kuanzia Mei 26

===
Equal marriage has finally been legalised in Costa Rica, with the first-ever same-sex marriage registrations to be processed at the end of this month.

According to Q Costa Rica, the country’s Civil Registry will begin processing the registrations on May 26.

Official Luis Guillermo Chinchilla told the publication that everything had been prepared, and said: “The Civil Registry has made significant efforts in adjusting all the computer systems in civil registry matters, with the purpose of managing these registrations in a timely and expeditious manner, always within the framework of suitable and effective registry security as usual by our institution.”

In August, 2018, the country’s Supreme Court finally ruled that it was unconstitutional to ban same-sex couples from getting married, and set a time limit of 18 months for the legislature to implement changes through law, but the Central American country’s LGBT+ community has been fighting for marriage equality for a long time.

In 2016, then-president Luis Guillermo Solis promised to expand LGBT+ rights in Costa Rica and called for the Inter-American Court of Human Rights to rule that human rights laws require the implementation of same-sex marriage, which it did.

Costa Rica’s 2017-18 presidential election was dominated by the issue of LGBT+ rights in the wake of the ruling.

Fringe evangelical presidential candidate Fabricio Alvarado Muñoz emerged from sixth place to become the frontrunner on the back of an aggressive anti-gay marriage campaign and a pledge to withdraw from human rights courts.

The centrist candidate Carlos Alvarado Quesada eventually saw off the anti-gay challenger in a run-off vote.
 
Wanaharakati wanasema ndoa za jinsia moja zimekuwa zikipiganiwa muda mrefu nchini humo, isipokuwa kipindi cha 2017 ndio kilishika hatamu kwa sababu ya uchaguzi mkuu uliokuwa ufanyike mwaka huo
HAO WATU WANAOJIITA WANAHARAKATI KUNA WENGINE WANAFANYA HARAKATI ZA KIPUUZI HUKU WAKIKINGIWA KIFUA NA MASHIRIKA YA HAKI ZA BINADAAM ZA KIMAGHARIBI. NA WANATUMIKA NA MABEBERU HUKU WAKITAMBUA.

SASA SISI TUNASEMA HIVI.
UJINGA HUO WA BABA KUOLEWA, KAKA KUWEKWA KIMADA NA MCHUMBA WAKE WA KIUMBE, MJOMBA / BAMKUBWA KUOLEWA NA MZUNGU, NA KADHALIKA SISI HUKU KWETU HATUTAKI KUUSIKIA KABISAA.

HIYO KAZI YA MWANAUME KWA MWANAUME MWENZIO MTAPATA KIZAZI MUDA GANI? INA MAANA IDADI YA BINADAMU ITAPUNGUA ULIMWENGUNI NA HILO NDIO LENGO LA MABEBERU.

USHETANI JUU YA UIBILISI!!

TUACHENI NA MILA ZETU ZA KIAFRIKA, TUNAOA MABIBI NA TUNAZALIANA KWELI KWELI.
 
Unahamasisha eeh..CHADEMA buana
Hapa Tanzania chama cha CHADEMA kuna watu kinawanyima uhuru na amani kabisa, sasa hapa chadema imeandikwa wapi au kimehusika vip au unadhan Jamii Forums inamilikiwa na chadema. Wakati mwingne tuache chuki za kijinga kama hizi
 
Mbona lissu huwa anawatetea !
Hapa Tanzania chama cha CHADEMA kuna watu kinawanyima uhuru na amani kabisa, sasa hapa chadema imeandikwa wapi au kimehusika vip au unadhan Jamii Forums inamilikiwa na chadema. Wakati mwingne tuache chuki za kijinga kama hizi
 
Back
Top Bottom