Hunijui sikujui.
Huo ndio ukweli, nyie vijana mnaofuga ndevu kama fashion ya kileo mjini hamna pesa. Kazi yenu kujichubua tu na kutongoza hovyo.
Kwa kuwa wadada wa leo hawajui wanahitaji nini wanashituka wameshabeba mimba zenu na pesa za kuwahudumia hamna.
Fugeni angalau kuku wa kienyeji hapo...