Zipi sababu za vijana wa sasa kukumbwa na mvi, hasa za ndevu?

Sanyambila

JF-Expert Member
Jan 24, 2018
339
457
Wasalam wadau.

Dunia ya Sasa imekumbwa na matatizo au changamoto ya vijana wadogo kiumri KUKUMBWA na MVI kidevuni na imekukwa Kama Natural modelling appearance (handsome) ukikutana na vijana kumi wa umri kuanzia 30 Hadi 40 vijana 6 au 7 Wana mvi kidevuni (white hair). Sasa baada ya MAELEZO hayo.

Sababu za NDEVU kuwa nyeupe nini?

Na je, kuna Uwezekano wa kurudisha katika mwenekano wa weusi Kama awali?

Maana Kuna watu wanapewa heshima zisizo zao 🤔🤔 kwa kuhisiwa wana umri mkubwa kumbe KIJANA wa miaka 35.

Pia kuna watu wanateseka na vipara na vijana wameunga na staili ya unyoaji wa zungu Kama akina Pep gudiola. Lakini Wayne Rooney aliwahi kuotesha nywele kwenye kipara mpaka leo vipara nje ya urithi sababu nyingine nini?

Na je, dawa zipo hospital au madukani ama vyotevyote.

Naomba kuwasilisha!
 
Kwa hawa wana sayansi wetu wa Tz iam sure hutopata majibu yanayo husu dawa , isipokuwa watakupa maelezo tu
 
Wasalam wadau.

Dunia ya Sasa imekumbwa na matatizo au changamoto ya vijana wadogo kiumri KUKUMBWA na MVI kidevuni na imekukwa Kama Natural modelling appearance (handsome) ukikutana na vijana kumi wa umri kuanzia 30 Hadi 40 vijana 6 au 7 Wana mvi kidevuni (white hair). Sasa baada ya MAELEZO hayo.

Sababu za NDEVU kuwa nyeupe nini?

Na je, kuna Uwezekano wa kurudisha katika mwenekano wa weusi Kama awali?

Maana Kuna watu wanapewa heshima zisizo zao 🤔🤔 kwa kuhisiwa wana umri mkubwa kumbe KIJANA wa miaka 35.

Pia kuna watu wanateseka na vipara na vijana wameunga na staili ya unyoaji wa zungu Kama akina Pep gudiola. Lakini Wayne Rooney aliwahi kuotesha nywele kwenye kipara mpaka leo vipara nje ya urithi sababu nyingine nini?

Na je, dawa zipo hospital au madukani ama vyotevyote.

Naomba kuwasilisha!
Chips mayai
 
Huo umri ulioutaja.. ukireverse maisha ya utotoni, utakutana na watembea pekupeku, wala matunda asili, walala mapema, wadadisi na mengineyo mengi isiyoyaona kwa watoto wa leo.

so usiamini hawastahili kuwa na mvi na wala si ajabu... isue ni kwamba watoto wa siku hizi mnawahi kukua na kujua mambo mengi.. zamani ukiiona mvi wewe toa heshima ni busara.. na ilikua ni nadra marika kuchanganyana kwenye magroup ya story.. sio leo hii mzee.. kijana na mtoto unakuta hao mi marafiki yani ma best kwelikweli...

so lazima mvi zishangaze... huyo unaemuona bado kijana mdogo miaka ya nyuma umri huo huo watu walianza kua na mvi... au mvi zinatakiwa zianzie miaka mingapi.?
 
Wasalam wadau.

Dunia ya Sasa imekumbwa na matatizo au changamoto ya vijana wadogo kiumri KUKUMBWA na MVI kidevuni na imekukwa Kama Natural modelling appearance (handsome) ukikutana na vijana kumi wa umri kuanzia 30 Hadi 40 vijana 6 au 7 Wana mvi kidevuni (white hair). Sasa baada ya MAELEZO hayo.

Sababu za NDEVU kuwa nyeupe nini?

Na je, kuna Uwezekano wa kurudisha katika mwenekano wa weusi Kama awali?

Maana Kuna watu wanapewa heshima zisizo zao 🤔🤔 kwa kuhisiwa wana umri mkubwa kumbe KIJANA wa miaka 35.

Pia kuna watu wanateseka na vipara na vijana wameunga na staili ya unyoaji wa zungu Kama akina Pep gudiola. Lakini Wayne Rooney aliwahi kuotesha nywele kwenye kipara mpaka leo vipara nje ya urithi sababu nyingine nini?

Na je, dawa zipo hospital au madukani ama vyotevyote.

Naomba kuwasilisha!
Mi nadhani sababi ni majukumu wanayobeba ni makubwa ilihali umri mdogo sasa ubongo unachanganikiwa unadhani huyu ni 50 plus unaamrisha cells za ndevu zipake rangi nyeupe nywele chapchap...

Life nowadays ni hatari stress ni nyingi mno.
 
Pia wanazeeka haraka mno, kijana anazeeka vibaya chini ya miaka 30, labda mapombe ya kisasa ndio yanawaotesha mvi, vipara na vitambi wangali wadogo kiumri
 
Back
Top Bottom