Wanaopenda Ndevu nyingi, Dawa ya Kujaza Ndevu.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,365
11,520
Nimekuwa nikienda duka moja la Sonara Posta. Kuna dada mmoja shombe shombe mzuri sana nimekuwa interested naye. Kwa kweli hata yeye ameonekana kupenda style yangu. Hasa ya kupiga Para.

Nakumbuka siku nimeenda nina nywele alisikitika sana. Akaniambia napendeza zaidi nikinyoa kipara na kuacha ndevu nyingi. Akaomba siku moja nimpe ruhusa apapase kipara. Basi toka siku hiyo kila baada ya siku mbili nakwangua kabisa.kipara kinakuwa kama tako la mtoto.

Na hii ni issue ambayo mara nyingi nakutana na wadada wanapenda sana upara na wengine wanaenda mbali zaidi wanasema kichwa changu kipo kama ***o. Na wanatamani kukishika.

Sasa nimejawa sifa mpaka nataka kupitiliza. Jamani wadau niambie zile dawa za kujaza ndevu je zinafanya kazi kweli? Kwa muda gani? Product gan ni the best? Nitaipata wapi kwa tsh ngapi?
 
Back
Top Bottom