Farhia Middley: Napenda wanaume warefu, handsome, maji ya kunde na wenye kunyoa O ndevu zao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu.

Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili.

Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo (Mbilikimo), Weusi kama Mkaa, tuna Sura Kunyanzi (Sura Mbaya) na Wanyoa Upara na Ndevu zote kama GENTAMIYCINE wala tusippteze muda Kumtongoza kwani hatuna Vigezo avitakavyo Mmaasai wa Watu.
 
Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo ( Mbilikimo ), Weusi kama Mkaa, tuna Sura Kunyanzi ( Sura Mbaya ) na Wanyoa Upara na Ndevu zote kama GENTAMIYCINE wala tusippteze muda Kumtongoza kwani hatuna Vigezo avitakavyo Mmaasai wa Watu.
Nawewe umeamini hilo 🤣 subiria utakapomuona analiwa na Kevin Hart ndio utajua kumbe waliowaita nyoka hawakukosea!
 
Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu.

Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili.

Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo ( Mbilikimo ), Weusi kama Mkaa, tuna Sura Kunyanzi ( Sura Mbaya ) na Wanyoa Upara na Ndevu zote kama GENTAMIYCINE wala tusippteze muda Kumtongoza kwani hatuna Vigezo avitakavyo Mmaasai wa Watu.
Picha yake Tafadhali full body view
 
Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu.

Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili.

Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo (Mbilikimo), Weusi kama Mkaa, tuna Sura Kunyanzi (Sura Mbaya) na Wanyoa Upara na Ndevu zote kama GENTAMIYCINE wala tusippteze muda Kumtongoza kwani hatuna Vigezo avitakavyo Mmaasai wa Watu.
ha ha nimecheka sana

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom