Kipi hupelekea kabila la wamasai, mkoa wa mara na baadhi ya wachaga kuwa na ndevu chache

makamba.jpeg
 
Licha ya watu hawa wengi kubarikiwa urefu, miili yenye nguvu na ujasiri lakini kwenye suala la kuwa na ndevu kuna kipengere

wapo wenye chache, wengine wanazo kwa mbali, wengine hawana kabisa.

Hali hii huenda inatokea kwajili gani?
Subiri wajuzi wa masuala ya ndevu walete mrejesho
 
wamasai sauti zao ni nyembamba hata wazee wana sauti nyembamba ,kingine hawa wakizeeka wanakuwa na macho chongo karibia aslimia kubwa yao.

Wamasai hawana walemavu sijui wanawauwa ...Ile kung'olewa jino nilishawahi kuona mkomazi wanawang'o watoto wadogo
 
wamasai sauti zao ni nyembamba hata wazee wana sauti nyembamba ,kingine hawa wakizeeka wanakuwa na macho chongo karibia aslimia kubwa yao.

wamasai hawana walemavu sijui wanawauwa ...Ile kung'olewa jino nilishawahi kuona mkomazi wanawang'o watoto wadogo

Hii ya kung'oa ni imani yao kuwa akiugua endapo mdomo utagoma kufubguka ndio msosi unapitishiwa hapo.hiyo ya vilema zaman akizaliwa wanaenda wazee kukagua akikutwa ni mlemavu wanamaloza kimya kinya .hii hata uchagani zamani ilikuwepo mtoto alizaliwa kama hayuko sawa mwili au ngozi (alibino)wanamaloza hapo hapo kinya kinya
 
Kumbe !!

Vip kuhusu ulemavu wa macho maan wazee wengi ni chongo ? nilikuja kumuuliza baba ila jibu nilipewa nilishangaa.Baba kazliwa na kukulia kwa wamasai na wapare anawajua mwanzo mwisho ila jibu alinipa nilishangaa sana.
 
funguka
 
Alikuambia nini
 
Alikuambia nini
Aliniambia eti ni yale Makatambuga yale maviatu ya matairi ya gari wanayovaa ndo yanahusiano na matatizo ya macho .

Na nilipoenda kijijini baba alinikataza kabisa kuyavaa kasema ukivaa kwa mda mrefu yale matairi yana uhusiano sasa kila nikijaribu kurelate naona haingii akilini kabisa.

Ebu jaribu kurelate hapa
 
Licha ya watu hawa wengi kubarikiwa urefu, miili yenye nguvu na ujasiri lakini kwenye suala la kuwa na ndevu kuna kipengere

wapo wenye chache, wengine wanazo kwa mbali, wengine hawana kabisa.

Hali hii huenda inatokea kwajili gani?
Wamasai wako mara siku hizi?
 
Unataka kusema protini iliyopo kwenye nyama tunazokula kila siku huku msoma haitoshi?
Pia mbona samaki wapo mkuu!
Soma vizuri
Nmesema pia inachangia sjasema inasababisha
Point ya kwanza kukosa ndevu ni
1 Genetic
Kanda ya uko mnaoana wenyewe kwa wenyewe sana
2 Ni vyakula
 
Back
Top Bottom