ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania ATC tahadhari: Ndege isiporuka muda mrefu kuna hatari!

    Wenzetu Kenya Airways wametonywa, ndege zao ambazo hazijaruka hewani muda mrefu, watalazimika kuzipeleka service nzito, ama sivyo kuna hatari ya engine zake ku- stall (kuzima) hewani. Kwa hiyo Air Tanzania vile vile wauchukue mtonyo huo na kuufanyia kazi. US issues safety alert for 10 KQ Boeing...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

    Haijafahamika kama walitimuliwa au ndege ilikatazwa ruhusa ya kutua au kitu gani, ila wajumbe hao ambapo humo kuna viongozi, walifika Tanzania na ndege kugeuza nao, bado inasubiriwa ieleweke nini haswa mbivu na ipi mbichi. Waziri wa Tanzania bwana Kabudi amesema hali ya hewa ndio ilikua mbovu...
  3. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa ndege aliyejiua kisa mwanaume ni wa kampuni gani?

    Jana nikiwa msibani Tegeta, kwa nyuma nilisikia wazee wakilaani kitendo cha mdada mmoja. Mfanyakazi wa ndege aliejiua S. Africa #KISA MWANAUME Katika maongezi nilijitahidi kutaka kusikia ni kampuni gani marehemu alifanya, mwenzie aliongea Kiingereza usitaje jina. Kilichoniumiza zaidi, marehemu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

    Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter. Taafika kamili ya chama kwa umma:
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama watu walikusanyika uwanja wa ndege kupokea ndege na halikuwa kosa, kwanini kumpokea Lissu uwanja wa ndege ndio iwe nongwa?

    Watanzania,mnakumbuka serikali nzima na wananchi walihimizwa kufika uwanja wa ndege kupokea ndege za serikali kila zilipokuwa zinawasili? Sasa kama watu waliweza kukusanyika kwa wingi kupokea ndege tena wakiongozwa na Raisi wa nchi,iweje leo iwe kosa kumpokea binadamu mwenzao? Ndio maana kila...
  6. JamiiForums Tanzania Polepole, kupanda ndege siyo anasa na wala kusafiri kwa barabara siyo kigezo cha kuwapenda masikini

    " Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole EastAfricaRadio Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi /...
  7. JamiiForums Tanzania Madagascar: Rais atangaza Wabunge 2 kufariki kwa Corona, 25 wengine wanaumwa

    Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amethibitisha kuwa Seneta mmoja na msaidizi wa seneti nchini Madagascar wamefariki dunia leo kutokana na Ugonjwa wa Covid19. Rajoelina ameongeza kuwa maseneta wengine 14 na wasaidizi 11 nchini humo wanaugua ugonjwa huo. Mpaka sasa watu 5,080 wameugua virusi...
  8. JamiiForums Tanzania Ndege ya Alaska imetua kwa dharura baada ya abiria mmoja kutisha kuua kila mtu wasipokubali Yesu alikuwa mtu mweusi

    Mzuka wanajamvi Mimi ni kati ya watu nayempenda Yesu kupita maelezo na huniambii kitu. Ila dah kumfananisha Yesu na wamatumbi hiii nakataa aisee. Dunia kweli haishi vituko. Leo ndege ya Alaska airlines imelazimaka kutua jwa dharura baada ya abiria kutishia kuua abiria wengine wote wasipokiri...
  9. JamiiForums Tanzania Top gun grumman f-11 supersonic fighter & a tiger who had bitten its own tail: ndege vita iliyojipiga yenyewe kwa kukimbia speed kuzidi kombora lake

    TOP GUN GRUMMAN F-11 SUPERSONIC FIGHTER & STORY OF A TIGER WHO HAD BITTEN ITS OWN TAIL: Ndege vita iliyojipiga yenyewe kwa kukimbia speed kuzidi kombora lake. UTANGULIZI: Jaribu kujenga picha ya kwamba Morani wa kimasai anarusha mkuki (mkuki wenye ncha kali mbele na nyuma) mita kadhaa mbele...
  10. JamiiForums Tanzania Ugunduzi 2020: Ili abiria wasife katika ajali ya ndege basi watengeneze viti vya kufyatuka kama marubani wa ndege vita

    Nimeliwaza wazo hili kwa kina na kuona kuwa ikiwa ndege vita marubani hupona itokeapo ajali kwa kufyatuka na kiti basi ni possible ndege za abiria kuwa na mfumo huo ila wazingatie mwavuli uwe na uwezo wa kuelea katika maji.na pia wapitishe watumishi wa ndege codes maalumu kabla ya kufyatua ikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania VIDEO: Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema atema cheche dhidi ya CCM na serikali yake

    Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema, Hemed Ally, ametema zake cheche hizo mbele ya wananchi huko Bagamoyo. Msikilize....
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madagascar waongeza lockdown baada ya kirusi kuzingua balaa, hivi hawa si ndio Wabongo walifuata dawa yao kwa ndege

    Nakumbuka picha za mawaziri wa Tz wakinywa vikombe vya dawa ya Madagascar iliyofuatwa kwa ndege ya ikulu, wabongo wakawa wanatokwa mipovu walipoambiwa muhimu hiyo dawa ikafanyiwa ukaguzi wa kisayansi kabla ya kuichangamkia kama walivyofanya kwenye kikombe cha babu. Sasa hao wenzetu Madagascar...
  13. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu: Kijana ataka kuzamia Ulaya kwa kujificha kwenye injini ya ndege

    Hapa ni Mungu tu aliyemuokoa huyu dogo. Sisi tuliosoma Physics japo ya St. Kayumba tunajua nini kingemkuta huyu dogo baada ya Injini kuwashwa. Kwa kifupi hata unywele wasingeambulia ndugu zake.
  14. JamiiForums Tanzania Gharama ya kusafirisha mzigo kwa ndege

    Wakuu habari natumai wazima wa afya. Ningependa kuuliza hivi gharama ya kusafirisha mzigo kwa ndege kutoka nje ya nchi huwa ni kiasi gani? Asia, Marekani nk Asateni. Natanguliza shukrani.
  15. JamiiForums Tanzania STEALTH (LOW OBSERVABLE) TECHNOLOGY | Teknolojia ya ndege kutoonekana/kutotambulika na rada (RADAR)

    GTs na wadau wote wa JamiiForums kwa ujumla, habarini! Kabla ya yote, niombe ukaribu wenu hapa katika hiki ninachokwenda kukiwasilisha kwenu. Natumai tutakuwa pamoja kuanzia mwanzo hadi mwisho katika uchambuzi wa kina kuhusiana na teknolojia ya stealth ambayo imekuwa ikisifika hasa katika...
  16. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu madirisha ya ndege

    Madirisha ya ndege ni madogo sana, kwa nini wasanifu wa ndege wasisanifu ndege zenye madirisha makubwa? Usanifu wa muundo wa ndege ni muhimu sana, na unahitaji kuhakikisha ndege inakuwa nyepesi na imara. Kutoboa sehemu yoyote kwenye ukuta wa ndege kutapunguza uimara wake, na inawabidi...
  17. JamiiForums Tanzania Marubani wa ndege ya Pakistan iliyoanguka walikuwa na kiwewe cha corona

    Hatimae ripoti iliyotoka baada ya uchunguzi wa visanduku vya kunasa sauti ya ndege ya Pakistan airways (PIA) aina ya Airbus A320 iliyoanguka mnamo tarehe 22 Mei mwaka huu 2020 na iliyokuwa imebeba watu 97, kumbe walikuwa wakijadili habari za corona safari nzima. Majadiliano hayo mwishowe...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ndege wanatoa tahadhari kwamba ndege za ATR 72 haziko salama tena kusafiria; Precision Airways bado wanazitumia?

    Katika pitapita yangu ya kupata habari za dunia, nimekutana na habari ambayo imenishitua sana ikisema ndege za ATR ambazo hapa kwetu zinatimiwa na Precision Airways si salama tena kusafiria, na hata sasa zinaingizwa katika orodha ya ndege mbaya duniani zilizowahi kutengenezwa (the worst planes...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani teueni Mgombea Kati ya walioko Tanzania ndege za ulaya hazisafiri hazijulikani lini zitaanza sababu ya Corona

    Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua...
  20. JamiiForums Tanzania JAWS OF THE FORMIDABLE DRAGON BRIDGE: Daraja muhimu la North Vietnam lililosumbua ndege vita (Fighter Jets) za Marekani kuvunja kwa miaka saba (7)

    FORMIDABLE JAWS OF THE DRAGON BRIDGE: Daraja muhimu la North Vietnam lililosumbua ndege vita (Fighter Jets) za Marekani kuvunja kwa miaka saba (7). DRAGON'S JAW ni jina la utani la watu wa Vietname kwa daraja la Thanh Hóa. Wakati wa Vita vya Vietnam, wachambuzi wa masuala ya ujasusi wa CIA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…