ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Another milestone: Klabu ya Simba SC na shirika la ndege ATCL zaingia mkataba wa udhamini kwa miaka miwili

    Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne. Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege ATCL litakua ndio mshirika rasmi wa klabu ya Simba katika masuala ya safari za anga za ndani na nje...
  2. K

    Yanga wameacha kusema Wana watu, wanasema wamekodi Ndege. Jumapili baada ya mechi watakuja kauli mbiu gani?

    UTANGULIZI Timu ya Yanga imeamua kukodi Ndege ya Shirika la ndege la Tanzania kwenda Nigeria, lakini tukumbuke mpira siyo uzuri wa lifti kuelekea uwanjani Bali mpira na mbinu na ujuzi. Mchango wa pipa la kukodi wakati walishindwa kutumia uwanja wa nyumbani ni mdogo Sana kwenye ushindi isipokuwa...
  3. Je, serikali ilitudanganya kwamba shirika la ndege ATCL linajiendesha kwa hasara?

    Kuna muda nakuwa nashindwa kuielewa hii serikali yangu. Pengine labda ni kutokana na uelewa na ufahamu mdogo nilionao kuhusu uendeshaji wa shirika letu la ndege kwani kauli na kaguzi zinazotolewa na serikali kuhusu uendeshwaji wa shirika hili zinanichanganya sana. Kwenye ripoti ya ukaguzi wa...
  4. Kusafirisha maua kwa ndege hadi ulaya kunaletaje faida?

    Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
  5. Kwa Picha: Mfundishe mwanao njia rahisi kabisa ya kuchora ndege

    🤗🤗🤗
  6. Serikali yalipa bilioni 212 kwa ajili ya ndege 5

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...
  7. Hongera serikali ya CCM, malipo ya ndege tano, mradi wa kufua umeme (JNHPP) yafanyika bila mkopo

    "Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya Bil. 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere"- MsigwaGerson
  8. S

    Kwanini Tanzania iendelee kununua ndege?

    Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana. Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga...
  9. Askofu Bagonza: ATCL imekosa aibu, basi iwe na huruma

    ATCL Imekosa Aibu basi Iwe na Huruma Ndani ya miezi miwili nikisafiri na ndege za ATCL nimeona haya: 1. Nilishindwa kuhudhuria mazishi ya ndugu na kukaa airport siku nzima 2. Nilishinda uwanjani Dar na kuondoka usiku wa manane siku ya pili. 3. Nilikosa connection ya ndege Dar baada ya ndege...
  10. Noma sana! KCB net profit doubles as balance sheet hits Sh1.12trn

    KCB Group doubled its net profit for the half-year to June on increased income from a balance sheet that crossed the Sh1 trillion mark for the first time. The Nairobi Securities Exchange-listed firm reported net earnings of Sh15.3 billion for the six months, up 102 percent from Sh7.58 billion...
  11. S

    Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?

    Nimeona katika picha Rais Samia alitumia ndege ya ATCL Airbus 220 5H-TCH (Dodoma - Hapa Kazi Tu) kwenda Malawi kwenye mkutano wa SADC. Ndege hii ina uwezo wa kubeba abiria kama 120 hivi. Sio kwamba ninataka tu kumkosoa Rais Samia, lakini najiuliza sana, kwamba ni kwa nini anapofanya safari kama...
  12. Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

    Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha inayoonesha watu 640 wakiwa ndani ya ndege yake ya kijeshi. Idadi hiyo ya watu inatajwa kuwa zaidi ya...
  13. Kabul, Afghanistan: Wananchi wadandia ndege baada ya Taliban kutwaa Ikulu ya Rais

    Hali si hali huko Afghanistan [emoji1023] kwenye mji mkuu Kabul baada ya Taliban kutwaa udhibiti raia wamekimbilia Airport wakitaka kuihama nchi. Hali ni tete kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya kimataifa. Tutunze amani.
  14. Video: Watu watatu waanguka kutoka kwenye ndege inayoondoka Kabul (Afghanistan)

    Shirika la Habari la Aśvaka limeripoti kuwa vijana watatu wamefariki baada ya kudondoka kutoka kwenye ndege walipokuwa wakijaribu kuondoka kutoka Kabul, Afghanistan. Mapema leo, mamia ya raia wa Afghanistan walionekana wakiwa kwenye uwanja wa ndege wakitaka kupanda kwa nguvu kwenye ndege ya...
  15. Kuna hujuma kubwa kwenye ujenzi wa Uwanja wa Ndege Iringa

    Kwanza niipongeze kwa kuupanua uwanja wa ndege wa Nduli Iringa kuwa wa kiwango cha kimataifa. Kwakweli mwanzaoni hata mimi sikuona haja lakini huu mradi ni muhimu sana kwa utalii nyanda za juu kusini. Mkandalasi anajitahidi kuujenga uwanja huu kwa kasi kubwa ambapo kazi inafanyika usiku na...
  16. Japo Chanjo ni hiyari, ila ni muhimu. Hupandi Ndege bila cheti cha Kupima COVID19. Kama unasafirisafiri, Chanjo ni Muhimu

    Wanabodi, Déclaration of Interest. Mimi Pascal Mayalla ni pro Vaccination ya Covid 19 na nimechanja chanjo ya Corona, na nawahimiza Watanzania, tuchanje. Niko hapa Terminam 3 Airport ya DIA, nimeshuhudia baadhi ya watu wachache wakirudi makwao kwa kakataliwa kusafiri kutokana na kutokuwa na...
  17. Pesa ya kununulia ndege ipo lakini ya kujenga madarasa hakuna

    Wanafunzi 400 wanakaa chini, wanatumia chumba kimoja cha darasa WEDNESDAY AUGUST 04 2021 Summary Wanafunzi zaidi ya 400 wa darasa la nne na tano wanakaa chini na kutumia chumba kimoja cha darasa kwenye Shule ya Msingi Bugumbikiso iliyopo kata ya Chifunfu wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza...
  18. A

    Kusafirisha Sangara kwa usafiri wa ndege

    Habarini za mchana. Nimewaza kufanya biashara tajwa, ya safirisha samaki kwa ndege kutoka mwanza kwenda dsm bila kutumia freezer. Vibali vipo ila sina uzoefu na usafirishaji wa njia hii. Je kwa mtaji uliopo wa milion mbili inawezekana? Naomba mwenye ABC za biashara hii anipe mbinu,cost,risk...
  19. Suala la Serikali kununua Ndege na suala la Dewji kununua hisa za Simba yana ufanano wa maamuzi yanayofanyika bila tathmini ya kifedha

    Katika mambo yote yanayohusu matumizi ya fedha huwa kuna pande mbili. Upande wa mnunuzi wa pesa 'Buy side' upande wa muuzaji wa pesa 'Sell side'. Kwahiyo tayari hii ni transaction kamili kama vile ilivo mtu unavoenda dukani kununua mkate, mnunuzi unahitaji mkate ili ukanywe chai na muuzaji...
  20. Rais Samia apokea Ndege ya Mizigo, aeleza nia ya Serikali kuboresha Sekta ya Anga kwa miaka mitano ijayo

    Rais anapokea ndege ya Tisa Taarifa zaidi kukujia RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA Rais Samia Suluhu Hassan amesema wamejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…