ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais anakopa imekuwa nongwa, sasa kaanza kukusanya za ndani ili asikope mmeanza kulia. Rais fanya unavyojua, hawa ndio wanadamu!

    Mama, hawa ndio wanadamu, ulikopa ili mzigo wa Kodi usiwe mkubwa kuhudumia maendelea, angalau uu-suspend kwa muda au Kwa vijikodi vidogo vidogo, tuhudumie mikopo ya muda mrefu, kuliko kutulima Kodi ya ghafla. Wenye nongwa wakaongea ooohhh, tuna hela nyingi, mbona sijui nini,nchi yetu tajiri...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Mbunge na mtalii kutokea Urusi wafa kwenye hoteli moja ndani ya wiki moja India

    Alitangulia kufa mtalii wa Urusi wiki iliyopita, naye mbunge ameaga dunia baada ya kuruka kutoka ghorofa la tatu humo kwenye hotelini India, jameni Warusi waombewe maana wanakufa sana popote walipo, waswa matajiri.... Indian police investigate death of Russian MP The politician who was visiting...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuhonga ni sawa na kutupa fedha ndani ya shimo refu lenye giza, utapoteza zaidi na zaidi

    Kuna shimo moja liko katika kijiji kimoja mkoani Lindi ambalo sio man made ila ni shimo ambalo hakuna mtu amewahi kuingia. Ni giza tupu, inasemekana ndilo Wajurumani walilitumia kuwatumbukiza watu waliokuwa wasumbufu kwenye utawala wao. Ni shimo refu sana kiasi kwamba hata anayekutumbukiza...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti Bloomberg: Watu milioni 37 wameambukizwa COVID-19 ndani ya siku 1 nchini China

    Mtandao wa #Bloomberg umeripoti kuwa maambukizi hayo huenda yamewafikia watu Milioni 248 ambao ni sawa na 18% ya idadi ya watu wote ndani ya siku 20 za Desemba 2022. Desemba 22, 2022, kampuni ya Airfinity inayohusika na utunzaji Data za #Afya ilikadiria kuwa kuna uwezekano wa Vifo vya kila siku...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

    Ndugu zangu, Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Ni kiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yajisifia kutokua na desturi ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi za watu - je Ukraine sio nchi ya watu???

    Hawa jamaa sijui huvuta bangi ya aina gani, eti hawana historia au desturi ya kuingilia mambo ya nchi za watu, ilhali kule Ukraine wanaiba hadi ardhi..... Russia has said it is invariably committed to its principle of not interfering in the domestic affairs of other countries, including...
  7. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kwanini Copa America ilifanyika mara nne ndani ya miaka sita kinyume na utaratibu?

    Kuna hoja kuwa shirikisho la soka la Amerika ya Kusini (CONMEBOL) waliandaa michuano ya Copa America mara nne katika kipindi cha miaka sita kinyume na utaratibu ili tu mchezaji fulani aweze kushinda kombe akiwa na timu yake ya taifa. Kwakawaida, Copa America huwa inafanyika kila baada ya miaka...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mungu akiwa ndani yako kila kombora lako kwa maadui atarusha yeye

    Ifahamike ya kwamba Mungu hupenda roho safi, mioyo safi, na utakaso ndani ya nafsi zetu, hivyo basi ukimtegemea na kumuishi yeye, hutumii nguvu ya kuhangaika na Ibilisi akufuataye kwenye maisha yako. Mungu wa kweli hupigana yeye kama yeye dhidi ya maadui zako, maana kila kombora na silaha zote...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya kazi ya kupoteza watu ndani ya "Kitengo" wanapataje kazi hii?

    Kwa mwenye kujua, hivi watu wanaofanya hii kazi ya kikatili wanakuwa na sifa gani za kupewa hii kazi ndani ya Kitengo? Kama ni vibarua, Je, hununuliwa vitu kama bangi waweze kuifanya hiyo kazi pasipo kujali wanachokiofanya? Au watu wakishapata ajira, baadhi yao hupangiwa hii kazi wapende...
  10. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Young killer atupa wimbo wa vijembe wa aina yake kwa Lunya ndani ya Sinaga Swaga 6

    Ni baada ya maneno mengi ya mipasho kutoka kwa muimba taarabu iliyochangamka a.k.a young lunya au mbuzi Kama anavyojiita yeye kwenda kwa young killer msodoki. Naona this time around killer ameamua kujibu vijembe hivyo ndani ya sinaga swaga 6, kwa kumuonya na kumuambia hana uwezo wa kukaa ligi...
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

    Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu. Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili... Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima...
  12. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke anaswa akiweka chupi kwenye chakula

    Kwa kawaida watu wa mitandaoni hupenda kushabiki mambo, lakini katika hili wanaonekana kukerwa na video ambayo inaonesha mwanamke mmoja akivua nguo yake ya ndani na kuiweka kwenye sufuria la mboga jikoni. Katika video inayosambaa kwa kasi ya ajabu, mwanamama huyo ambaye tabia yake hiyo imetajwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akiachia Uenyekiti CHADEMA itakufa na kusambaratika ndani ya miezi michache

    Ndugu zangu sote Tunaona na kusikia yanayoendelea huko Chadema ambapo Baadhi ya wafuasi na viongozi wa chadema wakimuona Mwenyekiti wao Kama Msaliti na anayepaswa kuwapisha, leo Baadhi ya viongozi wanamuona Mbowe Kama muda wake umekwisha,amapitwa na wakati ,Anawachelewesha mambo yao...
  14. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Wakongomani 10,000 wameitikia wito wa kujiunga na jeshi ndani ya mwezi mmoja

    Ile mobilisation aliyoianzisha rais Tshisekedi ni kama inaanza kuzaa matunda, vijana wanaonekana kuwa na morali na hasira kali sana. Japo sijajua uiamara wa mafunzo yao, ila kwa kinachoendelea, nadhani at some point Kagame itabidi afanye reassessment ya alichokuwa anakifanya Congo. Kama vita...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Kambi nyingine ya kijeshi yalipuliwa tena ndani ya Urusi

    Tuliambiwa kwamba Ukraine akithubutu kulipua ndani ya Urusi ndio itakua mwisho wake, haya, imekua kawaida sasa kwa kambi za kijeshi kulipuka mabomu ndani ya Urusi. Huyu Putin aguswe wapi ndio afanye kweli, kwenu wadadisi wa mambo.... Bwana Utam Urusi teule --- An explosion was heard overnight...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa kurejea CHADEMA? Tume ya Warioba ilitugharimu vikao vingi vya ndani

    Dr Slaa leo tar 13 Dec 2022 akiwa ktk Mtandao wa Club house kwenye mjadala unaoendelea kuhusu mahitaji na Katiba Mpya, na Demokrasia nchini. Dr Slaa anasema wanaisemea sana CHADEMA kwa kuwa ndio Chama chenye Nguvu. Hata hivyo amesema madai ya Katiba Mpya bado yanahitaji maridhiano kati ya...
  17. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watu wanaweza kuloga mvua isinyeshe?

    Hello, Mimi nataka kufahamu kuna ukweli ndani yake wanaposema kuna watu wanaloga mvua isinyeshe, na kama kweli for which purpose? I want to know how.
  18. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha mafanikio na malengo ndani ya mwaka

    Wadau habari za mida hii, poleni na jukumu la kujenga taifa kwa wale wapambanaji tuu. Nisiwe na mambo mengi niingie kwenye maada. Mwaka mmoja una siku zaidi ya 365, kila mmoja huku kajiwekea malengo yake, ila kuweka malengo ni jambo moja na kufikia malengo ni jambo lingine. Na sisi Watanzania...
  19. Yofav

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya Wallpapers, Na installation kupamba ndani kwako, pitia uzi huu

    HABARI WAKUU, Kwanza nianze na gharama ya kila kitu kwa ufupi kisha mwisho ni malize na sample ya kazi zangu, •Roller moja ya wallpaper ni Tsh.20,000/= ina urefu mita 10, Upana Cm 50 so kwa expirience yangu roller moja huwa unamaliza mita 1.5 ya upande mmoja wa kuta. •Gundi ni Tsh.10,000/= hii...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nishati ya Upendo wengi wanaipigania kufa kupona

    NISHATI YA UPENDO WENGI WANAIPIGANIA KUFA KUPONA Anaandika, Robert Heriel Ili uweze kuishi utahitaji pumzi, Pumzi ni nishati inayotuwezesha kuishi. Pumzi itokapo katika miili yetu maisha yetu yanakoma. Hata hivyo pumzi pekee yake haitufanyi tuwe hai. Zipo Nishati nyingine nyingi ambazo...
Back
Top Bottom