Taasisi ya National Earthquake Information Center (NEIC) inayochunguza Taarifa kuhusu Tetemeko la Ardhi, inakadiria kuwa Matetemeko 20,000 ya ukubwa tofauti yanatokea duniani kote kila mwaka sawa na wastani wa Matetemeko 55 kila siku.
Mwaka 2021, Dunia ilipigwa na Matetemeko 2,200 yenye ukubwa...