Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao..
Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana...
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam.
Mfuko wa Mazingira Duniani (GEF) kupitia Programu ya Ruzuku ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili kutekeleza miradi ya Uhifadhi wa...
Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa inayodaiwa kusamba na Mtanzania aitwaye Issa Azam aliyedai kuna raia wa Tanzania ambao walikuwa Abiria waliotelekezwa na Ndege hizo katika jiji la Guangzhou
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league
Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo,
Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni
Simba
Mamelody
Esperance
Tp mazembe
Je, atafanikiwa.
Mwanamuziki kutokea nchini David Adeleke, maarufu kama “Davido”, amekanusha uvumi kwamba amekamatwa nchini Kenya alipokuwa katika ziara ya muziki Aprili 1, 2024 baada ya dawa za kulevya kupatikana kwenye ndege yake binafsi.
Kufuata uvumi huo mwimbaji huyo wa Nigeria amesema atachukua hatua za...
Iran kupitia balozi wake wa Umoja wa mataifa umeitaka UN kulaani shambulizi lililofanywa na Israel kwa kushambulia ubalozi wake uliopo Syria.
Iran imesema Israel ni tishio kubwa mashariki ya kati huku ikiapa kulipa kisasi.
Hapo Jana waziri wa ulinzi wa Israel alisema Taifa hilo lipo tayari kwa...
Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani.
Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu.
Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama...
Naiuliza serikali LAKINI pia wadau woote wa maendeleo;
Iwapo tunamazingira mazuuuri ya uwekezaji Tanzania nikwavipi serikali inapata hasara kuuubwa tena ya aibu ya mabilioni katika uwekezaji wake?
Serikali imewekeza kwenye sekta muhimu saana kama mafuta(TANOIL), MAWASILIANO(TTCL), usafirishani...
1. Kwa Kodi ya Shilingi Milioni Moja za Uganda ( Tanzania Shilingi Laki Tano ) nitapata Nyumba ya Hadhi gani ya Kupanga?
2. Je, mfumo wa Ulipaji Kodi huko ni kama wa huku Tanzania wa Miezi Mitatu, Sita na Mwaka au unaweza ukalipia hata Kodi ya Mwezi Mwezi?
3. Gharama za Maisha kwa sasa nchini...
Mathalani,
Ushindani wa jadi baina ya simba na Yanga uchochee kuibua vipaji vya soka na kuinua ubora na viwango vya soka la Tanzania, kitaifa na kimataifa 🐒
Viongozi wa serikali na wasio wa serikali, wahamasishe na kusimamia ushindani huu, uwe mkubwa zaid na uwe wa amani na utulivu ili kusudi...
Great Thinkers.
Hakuna sehemu hao viumbe walishawahi kukaa pakapendeza. Ni waharibifu na wanyonyaji wakubwa.
Huwezi ukategemea watu wa Asia wasukume uchumi wako mbele this is the open truth.
Instead Raia watageuzwa manamba na kutumikishwa kama enzi za ujima huku wakilipwa ujira mdogo sana...
Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu.
Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na roof huyo ni afisa usafirishaji baada ya kuchapwa ndiye katulia hapo jumla.
Kwa muonekano huo wa...
Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Silas Lucas Isangi akikabidhi vifaa vya Michezo kwa nahodha wa timu Dectaforce Boniface na Msaidizi wake Hamida Nassoro Mussa Kwa niaba ya Wanariadha 9 na Kocha mmoja wanaokwenda kwenye Mbio za Dunia za Nyika Huko Belgrade, Nchini Serbia.
Rais amekabidhi...
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na Serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye...
Bila shaka sisi wapenda siasa tunajua kuwa kuna kijana mwenye umri wa miaka 44 ambaye anaweza kuibuka mshindi katika uchaguzi wa urais huko Senegali.
Mitandaoni watu wanajadili kuhusu umri na uongozi wa nchi. Kutokana na assessment yangu ya haraka huko mitandaoni, nimeona kuwa vijana hawako...
Mazingira ya kutoa na kupokea Rushwa yanaweza kutofautiana kulingana na Utamaduni, Mifumo ya Kisheria, na muktadha wa Kisiasa wa nchi husika.
Watu au makundi yanayohisi kutengwa na Mifumo ya Kijamii au Kiuchumi wanaweza kuona Rushwa kama njia pekee ya kupata Huduma au fursa ambazo zinapaswa...
WATOTO KUTEGEANA KUTUNZA M/WAZAZI NA KUWATELEKEZA NI JANGA LINALOKUA KWA KASI NCHINI. WEWE UMEJIPANGAJE?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Niliwahi andika, sio lazima (wajibu) wa mtoto kutunza wazazi wake. Nikaongeza mzazi angalau afikishe miaka 60 ndio unaweza kumfikiria kumtunza na kubeba...
Kutokana na Uharaka wakujibu Zelensky anahusika moja kwa moja,pia mipango iliyoanzishwa na marekani mapema mwezi huu kuwa kunaweza kutokea shambulizi la kigaidi basi hizo zilikuwa ni propaganda zilizotengenezwa kuiaminisha jamii kuwa ikitokea wasema hata marekani alisha sema!
Sasa wakasahu kuwa...
Rushwa inaweza kustawi katika Mazingira mengi ikiwemo Pale ambapo hakuna Mfumo wa Uwajibikaji unaofanya kazi kwa ufanisi, Watu wanaweza kujisikia huru kufanya vitendo vya Rushwa bila hofu ya kufuatiliwa au kuchukuliwa hatua
Aidha, panapokuwa na Udhaifu wa Taasisi za Sheria Rushwa inaweza...