JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 626
- 938
Rushwa inaweza kustawi katika Mazingira mengi ikiwemo Pale ambapo hakuna Mfumo wa Uwajibikaji unaofanya kazi kwa ufanisi, Watu wanaweza kujisikia huru kufanya vitendo vya Rushwa bila hofu ya kufuatiliwa au kuchukuliwa hatua
Aidha, panapokuwa na Udhaifu wa Taasisi za Sheria Rushwa inaweza kustawi kwa urahisi. Hii ni kwasababu Watu wanaweza kutumia Rasilimali zao na uhusiano wao ili kuathiri au kuepuka mchakato wa Kisheria.