The dog style, mtu mzima yule, watoto wa elfu mbili hawamjui rapa huyo maarufu wa kambi ya kina 2pac. Akija apokelewe na bongo fleva wakongwe kina sugu, juma nature, inspector haroun, asipokelewe na kina diamond na wenzake walamba midomo wa miaka ya hivi karibuni