nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naombeni elimu kuhusu Jeshi la Uhifadhi Tanzania

    Katika pita zangu mitaani kulikuwa na hoja mbalimbali za majeshi nikasikia kuna jeshi jipya la Uhifadhi nchini lenye vikosi ndani yake, swali kwa nini lilianzishwa? Je, nini majukumu ya jeshi hilo? Nani Mkuu wa Jeshi hilo? Muundo wake ukoje? Wachambuzi na wajuvi wa mambo ya kijeshi nijuzeni...
  2. JamiiForums Tanzania Mume wa aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nigeria, amekanusha mashtaka ya mauaji ya mkewe

    Peter Nwachukwu,aliyekuwa Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili wa Nigeria aliyefariki mwezi Aprili mjini Abuja amekana mashtaka yote yanayohusiana na kifo chake na madai ya unyanyasaji katika ndoa yao Kifo cha Osinachi Nwachukwu kilizua ghadhabu baada ya familia yake kudai kuwa alikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

    Kwema Wakuu! Tangu napata Akili nikiwa sekondari nasikia matukio ya kikatili yanayotokea huko Kwa Ndugu zetu wa Kanda ya ziwa, mpaka nafika chuo na sasa nimekuwa mtu mzima bado nasikia matukio ya kikatili huko kanda ya ziwa. Haiwezi kuisha siku mbili bila kusikia matukio ya kikatili kutokea...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Umoja wa Mataifa auawa Nchini Mali

    Mmoja wa wanajeshi walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa wote wakiwa ni raia wa Jordan, jana Juni Mosi, 2022 katika shambulio la kigaidi dhidi ya msafara wao katika Jimbo la Kidal, Kaskazini mwa Mali. Msafara wao ulishambuliwa kwa silaha ndogo katika...
  5. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kujitahidi kuondoa ukakasi wa uadui wa kisiasa nchini

    Makamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao. Membe karudi CCM alikofukuzwa. Mashitaka ya Mbowe yakafutwa. Waliokuwa lupango kwa kesi za kubambikwa wameachiwa. Mikutano ya kisiasa imerudi upya. Polisi wameanza kuwaheshimu wananchi wa itikadi tofauti na chama tawala Tundu Lissu alionana na...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani yakubali kupeleka Roketi za Masafa Marefu nchini Ukraine

    Inaelezwa kuwa Marekani imekubali ombi la muda mrefu la #Ukraine la msaada wa silaha nzito zikiwemo roketi hizo ili kupambana na vikosi vya #Russia kutoka umbali mrefu, ambalo hapo awali lilikataliwa Silaha hizo zitajumuisha Mfumo wa Roketi wa Kivita wa M142 (HIMARS), ambao unauwezo wa kurusha...
  7. JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni mosi, huku kukiwa na unafuu kutoka na ruzuku ya shilingi Bilioni 100 iliyotolewa na Rais Samia mapema mwanzoni mwa mwezi huu. Bei mpya zilizotangazwa na EWURA zinaonesha kuwa petrol itauzwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ripoti: Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa Nchini Mali

    Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na vikundi mbalimbali Nchini Mali kuanzia Januari hadi Machi, 2022. Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeelea kuwa hali ya usalama si nzuri, ikiwa ni ishara kuwa Jeshi limeshindwa kuwa na nguvu ya kudhibiti Nchi hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Takriban watu 100 wafariki katika mapigano ya wachimba madini nchini Chad

    Mapigano kati ya wachimba madini wadogo, yaliyodumu ndani ya juma moja kaskazini mwa Chad yamesababisha takriban watu 100 kupoteza maisha na 40 kujeruhiwa, na kupelekea machimbo hayo kufungwa kwa muda usiojulikana Inaelezwa kuwa mgogoro huo ulianza kama mzozo wa kawaida kati ya watu wawili...
  10. JamiiForums Tanzania Mchungaji wa Kanisa atekwa Nchini Nigeria

    Mkuu wa Kanisa la Methodist Nchini Nigeria, Samuel Kanu pamoja na mapadri wawili wametekwa wakati walipokuwa wakirejea kutoka kwa shughuli za la kanisa. Tukio limetokea Mei 29, 2022 katika Jimbo la Abia ambapo haijajulikana watekaji lakini Polisi wanaendelea na msako wa kumtafuta. Utekaji...
  11. JamiiForums Tanzania Mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Nigeria (Osinachi Nwachukwu) akamatwa

    Polisi wamemkamata mume wa mwimbaji nyota wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu, baada ya kufariki siku ya Ijumaa Aprili 8, 2022 katika hospitali ya Abuja. Ripoti za awali zilisema kuwa msanii huyo mwenye umri wa miaka 42 alikuwa akiugua saratani ya koo, lakini familia yake...
  12. JamiiForums Tanzania Mfano CHADEMA imeshinda na kimekuwa chama tawala hapa nchini, unadhani nini kitabadilika?

    Huwa nawashangaa sana baadhi ya watanzania kutanuka mishipa ya shingo kwa kutaka CCM ipigwe chini na kikae chama kingine madarakani. Ni upuuzi, ujinga na ukosefu wa akili. Watu ni walewale, nchi ni hiihii kama ulikuwa hujui! Acha kupoteza muda na kushabikia ulaji wa wenzako. Hao wote ni kitu...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna watu wanafiki na wabaguzi hapa nchini kama masikini

    Yaani hawa watu sijui wakoje kipindi huna hela au huna issue ya kufanya hata siku moja huwezi kuona kuona simu yake akikutafuta mzungumze mpeane mawazo jinsi ya kutoka kimaisha hata ukimtafuta wewe unampa idea zako tufanyeje tutoboe maisha anakuona kama unajipendekeza kwake alafu hata ukiwa una...
  14. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza kwanini Passport za kusafiria hazitolewi bure nchini?

    Hello guys! Ebu imagine nini kitatokea iwapo passport au hati za kusafiria zitatolewa bure kwa wananchi bila malipo yoyote?!
  15. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari 13 waswekwa rumande ndani ya wiki moja nchini Ethiopia

    Waandishi wa habari 13 wamedaiwa kuwekwa vizuizini nchini katika eneo la Amhara Ethiopia ndani ya wiki moja hatua iliyoonekana kama ukandamizaji wa sauti muhimu, za wanaoripoti kuhusu mgogoro uliopo katika eneo hilo Inaelezwa kuwa Mei 23, 2022 Siku ya Jumatatu, viongozi wa Amhara, eneo la pili...
  16. JamiiForums Tanzania Mifumo ya malipo Tanzania inaongeza watu kuwa wavivu makazini

    Mtu anaenda safari analipwa 250000 kwa siku lakini mtu anayekesha na kazi mahali fulani analipwa chini ya 60000. Kwa hiyo mtu anayesafiri sana ndo anafanya kazi na sijui serikali ya mama samia imechukua kigezo gani. Kwa kweli hili halijakaa sawa maana linaendekeza nchi kuwa na wavivu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Tembelea moja ya barabara hatari zaidi duniani: Ajali nyingi za magari hutokea kwenye 'Death trampoline' nchini Colombia

    Mei 25, 2022, huko Putumayo, Colombia, trampoline ya kifo ni moja ya barabara hatari zaidi duniani, inaanzia kutoka Mocoa hadi San Francisco na ilijengwa mwaka 1930. Watu wengi walikufa wakiwa wanaendesha magari kwenye barabara hiyo.
  18. JamiiForums Tanzania NBS na takwimu za utalii nchini

    Aprili 19 Ofisi ya Takwimu (NBS) walitoa data za kuonesha uingiaji watalii nchini ambayo kwa takwimu zilizopo ukilinganisha na mwaka 2021 utalii umeongezeka. Naweka Jedwali kwa mujibu wa press yao. Maoni yangu: Inawezekana kuwa hii ni namna ya kuisifu royal tour, na mimi kama mtafiti nasema...
  19. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe wafikia kiwango cha zaidi ya 130%

    Kiwango cha mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe kimeongezeka hadi asilimia 131.7 hadi kufikia Mei, 2022, ikielezwa kuwa athari za vita vya Ukraine zimechangia kuathiri zaidi uchumi ambao tayari ulikuwa umeathirika. Mfumo ulifika asilimia 100 tangu Juni 2021 mbapo mafuta ya kupikia na mikate bei...
  20. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa matukio ya UBAKAJI Nchini, tatizo ni nini? Tujadiliane tuokoe taifa letu

    Mimi ni mmoja wa watu ambao wamekuwepo kwenye ulimwengu wa habari kwa muda mrefu, siyo mkongwe lakini nakaribia kwenye Dunia ya wanahabari wakongwe. Moja kati ya nyakati ambazo zimekuwa zikitawaliwa na matukio ya ukatili kwa binadamu hasa ubakaji, ulawiti na udhalilishaji kwa Wanawake na watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…