nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli Rais Samia ameipokea barua iliyotokea kwa Nchimbi kwenda kwa Nchimbi kama nani wa Nchimbi?

    Hizi barua za kujiuzilu za viongozi wakubwa zinaandikagwa na nani? Au wanaziandikaga wenyewe wakiwa under arrest? Ebu we msomaji iangalia au TAFUTA barua ya kujiuzilu kwa Nchimbi inaonekana inatoka kwa Nchimbi na kwenda kwa Nchimbi Sasa Samia kaipokea kama nani ili Hali haijaelekezwa kwake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ili Mapinduzi ya umma ya fanikiwe, Defections ya viongozi wa juu lazima ifanyike, la Nchimbi ni hatua nzuri

    Suala la kuachia ngazi kwa Nchimbi ni hatua muhimu katika mapinduzi ya Umma. Serikali huanguka pale maafisa ndani ya dola, chama tawala na Jeshi huachia ngazi na kuwaunga mkono wananchi. Tutarajie viongozi majasiri wa Tanganyika kutoka hadharani na kumuunga mkono Nchimbi na Watanganyika.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kujiuzulu siasa ni ujumbe kwa CCM!

    Nchimbi hata mara moja hajazungumzia CCM na amesema anajiuzulu siasa maana yake ni kwamba kapiga dongo CCM kwa kiasi kikubwa. Sasa kama wewe bado upo CCM jiulize kusudi lako hasa ni lipi! Kwa serikali hii ya wanzanibari pekee na machawa
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jinsi Dk Nchimbi alivyogundua Rais Samia anatamani mabadiliko

    Katika barua yake kwa umma Mhe Dk Emmanuel Nchimbi amesema kwamba nanukuu "... nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Mhe. Rais anatamani mabadiliko, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu...." Alipoona baadhi ya viongozi na wabunge wa ccm wanasimama hadharani na kumuita Yuda alidhani wanajituma...
  5. JamiiForums Tanzania Tuweni makini kuna CCM team Samia watajifanya Chadema damu ili kusudi kumpaka matope Nchimbi asikubalike na wananchi

    Kuna maccm team Samia yanapata tabu sana kipindi hiki. Wengi wanakuja na gia eti Nchimbi asipokelewe na wananchi na pia kama atataka kujiunga na chadema pia asipokelewe. Binafsi mtu anayemzungumzia kwa mabaya Nchimbi kipindi hiki namuona punguani. Nchimbi ameamua ku sacrifice maisha yake ...
  6. JamiiForums Tanzania Nchimbi hakuomba radhi na/au kuwapa pole Watanzania kwa serikali yao kuuwa maelfu, kutesa, kupoteza na kuwapa kesi za uongo

    Ushirika wa wachawi haudumu. Ni hivyo. Hivyoje? hivyo! Imma Nchimbi alikuwa na hamu ya ofisi na akasahau mamlaka ya damu yana laana. Lazima anajuta kuwa angefanya tofauti, ikiwemo kukaa nje ya dola la damu za Watu. That is basic decency. Tanzania will never be the same after Oktoba 29. Mamlaka...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hongera Kwako na Wote Walioamua Kujitenga na Utawala wa Tamaa ya Madaraka, Huwapofusha Wengi

    Wale wawili, kwa sababu walikuwa jikoni, wakijua uharamia ambao ulikuwa ukipangwa dhidi ya wananzengo, mapema kabisa waliamua kujiweka mbali. Makamu aliamua kuachia ngazi. Kiranja wa mawaziri licha ya kutangaza kuwa angegombea tena, baada ya kujua kilichokuwa kikipangwa, aliamua kujiweka mbali...
  8. JamiiForums Tanzania Nchimbi ni bora umewawahi hawa watu

    Li nchi linakwenda zigzaga utafikiri halina jeshi. Kikundi cha watu kinaendesha nchi upumbavu mtupu. Kwa katiba ilivyo akitokea Kiongozi kichaa anaweza kuwaamuru hata jeshi lifanye jambo la ajabu na jeshi likatii...
  9. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi: Mahojiano na Jambo FM

    https://youtu.be/HbPhXOsTTJI?si=hS_Hj3UZBVvvtJij
  10. JamiiForums Tanzania Mzee wangu nchimbi natumaini utaendelea kubaki CCM, naimani sana, MUNGU akujalie na akusimamie katika maisha mapya

    Katika harakati za CHAMA, nafahamu ugumu wake Kuna muda una kaa kuanzia asubuhi Hadi jioni bila kula, mfano Mimi sijawahi NUFAIKA na pesa yoyote chamani labda Kwa sababu sio mtu wakujishusha sana, nakuombea maisha mema naimani utaendelea kuwep chamani.
  11. JamiiForums Tanzania Nchimbi kajiuzulu Katiba inasemaje endapo rais akipata changamoto ya kushindwa kuendelea na majukumu yake

    Katiba inasemaje kama Samia akimteua Makamu wa rais Mwingine baada ya Nchimbi kujiuzulu na Ikatokea Samia kapata changamoto yoyote ya kibinadamu itakayofanya ashindwe kuendelea na majukumu yake na kuacha kiti wazi Je huyu makamu aliyeteuliwa na akupigiwa kura pamoja na samia j Ataapishwa na kua...
  12. JamiiForums Tanzania FALSE Tanzania’s vice president nchimbi resign over alleged interference in zambia’s elections

    Following the resignation announcement by Tanzania’s Vice President, Dr. Emmanuel John Nchimbi, several posts have circulated on social media, particularly in Zambia and other countries, claiming that his resignation was linked to allegations that Tanzania had been involved in sending people to...
  13. JamiiForums Tanzania Makosa ya kiprotokali katika 'barua ya Nchimbi'

    Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umakamo wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu. Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Dr. Nchimbi kujiuzulu: Siku hizi adhabu ni kubwa kubwa - ulimi ukikosea tu unafukuzwa kazi. Tanzania yetu?

    Kila mtu alijua kinachofuata! Dr. Philip Isidori Mpango alifanywa kuwa one term Vice president, Majaliwa kwa bashasha alifurahia kustaafu, akaona aendelee kuwawakilisha watu wake wa Ruangwa, akapigwa stop, Aargh...nini tena? Akaambiwa hatakiwi tena, Tulia Ackson hakukwepa rungu la mama , Rais...
  15. JamiiForums Tanzania UVCCM wameandika barua kwa niaba ya NCHIMBI ikasambazwa kwa kutumia pesa, Nchimbi kanyimwa nafasi ya kukanusha.

    Barua FEKI, haina hata sifa za kuitwa ni barua ya Makamu wa rais Nimedokezwa mbinu yao ni ile ile waliyotumia kwa Ndugai. Wamewatumia akina Ayo, Kitenge, na wote wanaosambaza habari kwa malipo ili ionekane ni barua halali. Wanachohakikisha ni kwamba Nchimbi hapati nafasi ya kuzungumza jukwaani...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu atamuongeza Nchimbi ktk mashahidi wake?

    ..Mama hawezi kuitwa kutoa ushahidi. ..lakini Mpango, na Nchimbi, hawawezi kukwepa samans kwenda mahakamani. ..habari ya mjini ndiyo hiyo.
  17. JamiiForums Tanzania Nchimbi ni zaidi ya mhaini, alaaniwe na kila mtanzania

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mambo ya leo ni mengi. Alichokifanya bwana Nchimbi kutangaza "kujiuzulu" umakamu wa rais ni zaidi ya uhaini. Nasema haya kwa sababu anuai. Kwanza, kitendo cha kukubali kuachia nafasi yake baada ya kushinikizwa na wanaCCM mtandao, kinaashiria...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania Stand Up, Heshima kubwa kwa Viongozi wa Kiroho wa Nchimbi na Mpango

    Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa, Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na...
  19. JamiiForums Tanzania Jambo pekee ninaloweza kumpongeza Emmanuel Nchimbi.

    ……ni [mpaka sasa] kutokutamka kuunga mkono mauaji ya Oktoba 29. Kama keshatoa kauli kuunga mkono, basi nasimama kusahihishwa. Kitendo cha yeye kutokusema chochote kuunga mkono mauaji hayo, labda ni dalili kwamba hakukubaliana nayo. Lakini pia, kama hakukubaliana na hayo mauaji, kwa nini...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tunajua Dr. Nchimbi kalazimishwa kujiuzulu na hili linaweza kuwa ndio chanzo cha mpasuko mkubwa ndani ya CCM utakaomwondoa Samia madarakani

    Kama kuna jambo moja ambalo Samia linamshinda katika uongozi wake, ni kuwa na uwezo wa kuona mbali katika baadhi ya maamuzi yake na kuletea kujijengea maadui wengi sana wa kisiasa. Kwa mfano, hadi sasa, hawa huwezi tena kuwaita watu wa Samia, pamoja na wale wanaowaunga mkono Dr. Nchimbi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…