Nani kumrithi E. NCHIMBI?

Nani kumrithi E. NCHIMBI?

Mnandi Jr

Member
Joined
May 30, 2026
Posts
67
Reaction score
95
Salam.
nani kumrithi nchimbi? Je ni januari makamba? Au ni dotto biteko?

je ni palamagamba kabudi au ni poul makonda?

isije ikawa ni mwigulu nchemba! Au ridhiwani kikwete?

amani iwe nanyi..
 
Mwigulu Nchemba, na ili litimie lile Mungu analolitaka kwa watu wake

Maandalio ya moyo ni ya wanadamu, jawabu la ulimi latoka kwa Bwana

NB: Sipendi siasa
 
Salam.
nani kumrithi nchimbi? Je ni januari makamba? Au ni dotto biteko?

je ni palamagamba kabudi au ni poul makonda?

isije ikawa ni mwigulu nchemba! Au ridhiwani kikwete?

amani iwe nanyi..
1787735855618.jpeg
 
Kwa akili ya kawaida waziri mkuu hawezi kuwa makamu wa Rais. Kabudi ni sahihi, Biteko sawa, ila kuna watu km John Mongela, Bashungwa hawa watu wametulia!
 
Salam.
nani kumrithi nchimbi? Je ni januari makamba? Au ni dotto biteko?

je ni palamagamba kabudi au ni poul makonda?

isije ikawa ni mwigulu nchemba! Au ridhiwani kikwete?

amani iwe nanyi..
Afadhali mchengerwa au wanu kuliko makonda.
 
Back
Top Bottom