nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Inaumiza sana Gaidi na Mhaini Nchimbi yupo Uraiani na Hai hadi mda huu.

    Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi? Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu iloyochaguliwa kwa Asilimia kubwa 98% Vyombo vya ulinzi vipo tu vinamuangalia huyu Mtu IGP, Mkuu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo matatu yanawezekana kuhusu Nchimbi na kauli zake.

    Kauli tata za Nchimbi tangu awe makamu wa Rais zinaweza kuwa zinasukumwa na yafuatayo 1. Inawezekana amegundua hayuko kwenye mbio za urais 2030, kwamba tayari wenye chama wameshaamua ni kati ya Mwigulu, Ridhiwani na wengine ila sio yeye hivyo ameamua kujilipua kwa maslahi yake binafsi akiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna jipya alilolisema Nchimbi.

    Baadhi yetu humu, tena kwa zaidi ya miaka 20 sasa, tumekuwa tukiyasema yale ambayo Emmanuel Nchimbi kayasema jana kuhusu katiba. Hivyo hakuna lolote jipya alilolisema. Tunaweza hata kusema kuwa kaiga hoja zetu bila kutaja alikozitoa. Kwa mfano, kuna mabandiko yangu mengi tu humu ambapo...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Pambaneni Mpate Katiba Mpya ya Mwafaka Itakayodumu Miaka 50" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa kauli nzito kuhusu Katiba Mpya. Alisema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Hakuna Sheria Inayotengua Katiba, Watanzania Pambaneni Mpate Katiba Mpya!" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi. Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi unawatakia nini vijana ? Ya tarehe 29 uliyakalia kimya unataka vijana waingie barabarani kwa ulinzi upi ?

    Na katika hali ya sasa katiba imeshindikana kabisa kupatikana kwa njia ya kidiplomasia Kwa muda mrefu zimekuwa ni sinema zetu za kujirudia Vijana wengi sana tumewapoteza waliouwa wakitaka katiba mpya na kilele kilikuwa ni October 29 Je muda huo Nchimbi alikuwa wapi akikemea ? ndie anataka...
  7. JamiiForums Tanzania Hotuba ya leo ya Dr Emmanuel Nchimbi imethibitisha kuwa hana nguvu yoyote serikalini

    Yupo upande wa victims of a system, naye anategemea sauti za wananchi wanaoweka maisha yao hatarani kwa kuwasemea watanzania. Kwa mamlaka ya makamu wa raisi tu angebadilisha mambo mengi sana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi anaweza kufuata Strategy ya Lissu dhidi ya Mbowe

    Katika nafasi yake Lissu alifanikiwa kupindua meza na kuufuta utawala wa Mbowe katika mazingira ambayo hayakutarajiwa. Nchimbi nafikiri anahitaji mtu wa nafasi/Role ya Mnyika na Heche. Same playbook
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Makamu wa Rais ana nafasi gani katika nchi?

    Naomba kueleweshwa. Makamu wa rais ana nafasi gani katika nchi? 👉Anahamasisha wananchi wapambane na nani ili kupata katiba mpya? 👉Wanasiasa Wanaoishi mahabusu na magereza Leo siyo kwa sababu ya wimbo wa katiba mpya? 👉Yeye siyo makamu wa rais kutoka chama kilichoahidi katiba mpya ndani ya siku...
  10. JamiiForums Tanzania NCHIMBI sasa usubiri comeback

    Baada ya kumsikiliza Nchimbi leo sasa asubiri comeback yake , maana baada ya kumsikiliza, sasa wapo jikoni wanajipika kuja na mashambulizi upya dhidi ya nchimbi, hivyo kaa tayari
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA tusiingie kwenye mtego wa Nchimbi na CCM yake

    Habari wakuu. Leo tarehe 24/7/2026 Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi ametoa kauli za kisiasa ambazo kwangu ni kama mtego kwa CHADEMA. Kabla CHADEMA haijaanza kufurahia kauli hiyo ijiulize maswali yafuatayo. 1. Kwanza, Kama Nchimbi anahimiza watanzania waipiganie katiba mpya, kwanini wanachama...
  12. JamiiForums Tanzania Dr. Nchimbi kaniacha kinywa wazi

    Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?. Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya...
  13. JamiiForums Tanzania Anayendelea kuchafuka ni samia, alie rahisi kushawishika ni mwananchi, anaejua anachokifanya ni Nchimbi

    Mitazamo mitatu 1. kama Nchimbi anamaanisha anachosema, maana yake haungi mkono mwenendo wa serikali ambayo na yeye yupo, na huenda ndio Yuda alietajwa kwa mtazamo wa wanaCCM washabiki wa kizimkazi: i. hapa Samia anaendelea chafuka na raia wanazidi kumchukia, ii. Nchimbi anasimamia prosperity...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu, Samia na Nchimbi wanatuchezea akili

    Hawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa. Kwakifupi mimi simtambui Samia kama Rais wala simtambui Nchimbi kama makamu wa Rais. Nawatambua kama walioshindwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kutupa makamu anayekuwakilisha vema, kwa sasa hatukudai

    Hongera Dr.Nchimbi kwa kumuwakilisha vema Rais wetu kipenzi cha watu Dr.Samia Suluhu Hassan hakika haikuwa bahati mbaya kuwa mteule wake. Kiukweli leo umegusa mioyo ya watanzania wengi. Umeiambia dunia kuwa Tanzania ni nchi inayothamini haki ya kila mtanzania ili kudumisha amani na mshikamano...
  16. JamiiForums Tanzania Nchimbi wanaharakati tunakushukuru siyo yule alituita sisi ni magaidi, Asante kwa kumtaja Maria Sarungi

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nchimbi anadai kuwa anawaheshimu Wana harakati kwa uwezo wao wa kujenga hoja Amkumbuka dada yangu maria sarungi Asante Sana sisi ni wapigania Khaki sisi siyo magaidi LONDON BOY
  17. JamiiForums Tanzania PHD Nchimbi anadai KATIBA Mpya, Vilaza akina Ridhiwani, Mwigulu, Abdul, wanasema Achaneni na KATIBA Mpya

    Mwigulu, na Magenge yenu yote, nyinyi fahamu ya kua JINAI HAIFI. Kama sio kuwaadhibu Nyinyi, Tutaadhibu Vizazi VYENU , Vizazi VYENU na vyenyewe vitalazimika Kuaanza Upya !!.
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Taifa haliwezi kuwaza kila kitu pamoja binadamu sio maroboti, kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema taifa haliwezi kuwaza kitu pamoja katika kila kitu, ikiwa hivyo hao watakuwa maroboti siyo binadamu, na kwamba kama kuna tofauti lazima ziendelee kuzungumzwa, amesema hayo leo Julai 24, 2026.
  19. JamiiForums Tanzania DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

    https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya misheni ya bifu Kati ya Samia na NCHIMBI kubuma Sasa TISS wamekuja na misheni ya Muungano

    Je watafanikiwa ? Baada ya kushindwa kupitia Samia na NCHIMBI kuwaadaa watanzania Sasa wametengeneza misheni nyingine eti mgogoro wa Tanganyika na Zanzibar. Hivi Kuna mzanzibar mwenye ubavu wa kuvunja Muungano? Wakati Muungano ukivunjika 40% ya wazanzibar watarudi kwao na Wana baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…